Wasiwadanganye kwa picha wanazotupia mtandaoni, Watanzania waliokuja Qatar kwa ajili Kombe la Dunia wengi wanaishi kwa shida sana

Andiko zuri sana, habari za indilimunyu lakini, mmeshaletewa umeme wa grid?
 
Tutajie basi majina ya hizo hotel ulizohama na ikawaje ukata wabongo wenzio waje kupiga picha matokeo yake ukawapa hela wakale nyota Tano. Ndugu wahi tiba ya afya ya akili.
 
Huyu memba nahic ni mnoa visu mtaani kwake hapo kwa kutumia zile baiskeli...hamna mwandiko wa tajir anaejielewa anajisifia ujinga hivi
 
Maabako...
Kuanzia leo, nimekutoa kwenye JF FORBES rich list...
, kumbe unakikorosho, wakati huo utajiri wa kimtandao wenyewe ni sisi tumekutunuku wazee wa kutoa "like".....
 
Unaota wewe
 
Watu wamepaniki tayari..

Wabongo bana..
Watu wana stress sana nashangaa wanachopaniki...

Binafsi jamaa ana ni inspire sana kutafuta pesa anachosema ndivo watu wenye pesa wanavyoishi...

Ukiwa na pesa huwez shindwa kwenda Ibiza ukakutana na Messi mkapiga stori...

Tutafute hela wakuu

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
 
Upuuuzi tuh story ya kujitungia kabisa an alaf upo hapa hap TZ una ng'aa macho
 
Tafuta pesa
 
Chai,
Kumbe uko zako Mbagala Charambe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…