Wasiwasi Mwabulambo wa Azam TV atajwa kupokea Rushwa ya Tsh. 800,000 ili aidhinishe kipindi cha TV

kwetu sisi ambao tumefanya kazi na waandishi mara kadhaa, tunajua hakuna mwandishi wa habari asiyependa rushwa au tips. wanapenda tips utafikiri mabaamed wanaodanga, na ukienda nao vibaya wanaweza kurusha habari inayoweza kuumiza maisha yako yote. ila shida ni kwamba vituo vyao vya kazi wanawapa mshahara mdogo sana jambo linalowafanya wao wenyewe waishi kiajabu. imagine ukimwambia kuna tukio, wewe ndio unagarimia kuanzia mafuta ya gari yake hadi perdiem yake na mwisho wa siku yeye ndio anaonekana ametafuta habari na pengine hela ya kutafutia habari alikuwa nayo.
 
Sawa. Lakini mbaya maana Kwa wasioweza kupata hiyo pesa watakuwa wanaangalia ndugu yao anakufa live kabisa
 
Ulifikiria kabla ya kuniambia hivi?
Sijapenda hata kidogo, Unaonesha jinsi gani unakosa adabu kuongea huu upuuziii
Kumbe humu kuna watu ni vichaa na sio kila mtu ni sahihi kureply comment zake
Ungejibu hapana ungepungukiwa nini? Kuuliza sio ujinga ni sehemu ya kutaka kupata maarifa mapya, hata Mahakamani lazima ungeulizwa swali km hilo vipi ungemuita wakili anaekuuliza swali tatanishi kwa kusema kumbe humu Mahakamani mnaajiri mawakili vichaa?
 
Halafu wewe ndio uliniletea video ujue? 🀣🀣🀣
 
Basi mwenyewe unajiona kama Mange hivi au Kigogo kwa kuwasagia kunguni wenzio. Wakijinyonga tunakutafuta.πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜πŸ˜†πŸ˜…πŸ€£πŸ˜‚
Hapana Mkuu, sijasagia mtu kunguni. Nimeripoti suala ambalo lipo, sijaongeza chochote!
Ni katika kuuhabarisha umma tu kile kinachoendelea.
Msaga kunguni ni Isike Samweli, na alizisagaa kwelikweli.

Huyo jamaa aliyeniletea video, mwanzoni alileta malalamiko ya kinachoendelea Azam TV, nikamkatalia kwa kutaka ushahidi, ndio akaniletea hiyo video.

Ningekuwa hivyo ulivyosema kusaga kunguni si ningeruka nayo bila ushahidi? Na sijaiongelea Azam Tv bado, pengine nikipata ushahidi wa kutosha naweza kufanya hivyo.
 
πŸ˜€πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜πŸ˜†πŸ˜…πŸ€£
 
Dah ,sasa km wasi kahusika boss wake je yule mdada Tina inakuaje? PK anakazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…