Chupayamaji
JF-Expert Member
- Sep 19, 2017
- 5,784
- 13,642
Mtoto wa mjini sana yule kajifunzia upigaji Akiwa Clouds na Akina Gardner.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂 Naomba na ikiwezekana yaprintiwe Mabango ya bilion 2 yakisema tunamshukuru mama kwa kuanzisha Jamiiforums …….Nampongeza mama samia kwa kuanzisha jamii forum, tunakuomba mama huyo Wasiwasi Mwabulambo arudishe hiyo laki nane iende ikajenge madarasa, madaraja, na barabara....
Sidhani…! Kwanza hii clip ilikuwa kwenye habari ya Nifah hapa nadhani Jf wanatakiwa kuwa wanaziwekea mihuri clip au habari zao hata mtu akiwa anatoa hapa iwe inajulikana imetoka hapa… mbona ni jambo rahisi!
mhehe 100%.Patrick Kahemele sio mrundi huyu bwana?
ile video niliiokota kule tiktok katika pitapita zangu.Halafu wewe ndio uliniletea video ujue? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
tina ni sports manager. hausiki na content za chaneli ya sinema zetu. katika hili anabaki salama.Dah ,sasa km wasi kahusika boss wake je yule mdada Tina inakuaje? PK anakazi
Kuna watu hawana heshima hata kidogo kaniudhi sanaaHivi ilikuwa muhimu kuandika hivi mzee?
Hivi vitu brother husimlie mtu yamini kwani hata yy anaweza kutumika kama dalali sababu anajuana na muhusika anaye zipitisha hizo sinema.Akala chake cha udalali.tina ni sports manager. hausiki na content za chaneli ya sinema zetu. katika hili anabaki salama.
Kinachotuponza watanzania tunaiga kila kitu. Sanaa na michezo inaopumbaza jamii na kuifanya ishindwe kudai haki na kuona mwelekeo wa nchi kwa ujumla. Miaka 300 hadi 400 iliyopita wakati Marekani na Nchi za ulaya zinajitafuta hivi vitu havikuwepo. Baada ya Industrialisation, sanaa na michezo ikaanza. Hata ukifuatilia michezo ya soka, rugby na basketball ilianza kipindi hiki. Watanzania tuamke tunajaza wasanii na wanamuziki katika vyombo vya habari na mitandao. Tunabomoa nchi kwa hali ya Juu sana.
Yule zamaradi alitoka?tina ni sports manager. hausiki na content za chaneli ya sinema zetu. katika hili anabaki salama.
Sio mhaya?mhehe 100%.
Mrushwa sana huyu jamaa.Ntu wa dili huyu ndo maana mfupi kama bibo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
safi sana, umeshaanza kupaelewa humuKumbe humu kuna watu ni vichaa na sio kila mtu ni sahihi kureply comment zake
Yaani wapuuzi kweli😂safi sana, umeshaanza kupaelewa humu
Una maanisha sanaa na michezo vinadididmiza nchi zinazoendelea?Kinachotuponza watanzania tunaiga kila kitu. Sanaa na michezo inaopumbaza jamii na kuifanya ishindwe kudai haki na kuona mwelekeo wa nchi kwa ujumla. Miaka 300 hadi 400 iliyopita wakati Marekani na Nchi za ulaya zinajitafuta hivi vitu havikuwepo. Baada ya Industrialisation, sanaa na michezo ikaanza. Hata ukifuatilia michezo ya soka, rugby na basketball ilianza kipindi hiki. Watanzania tuamke tunajaza wasanii na wanamuziki katika vyombo vya habari na mitandao. Tunabomoa nchi kwa hali ya Juu sana.
ile video niliiokota kule tiktok katika pitapita zangu.
ilikuwa ni kama coincidence, baada ya kunitaka nilete ushahidi kuhusu azamtv,ile naingia tiktok nikakuta na ile video.
aliyepost video ni muandaji na muigazi wa movie za kibongo Deogratius Shija.
kama huwa unatembelea tiktok, bonyeza hii link:
View: https://vm.tiktok.com/ZM6eQdVJp/
Nimekusoma sana, una tabia za hovyo hovyo sana, haka ka id chako umekafanya kakichaka cha uropokaji...mjinga sana weweSwali la kichokozi mkuu, rushwa sio Pesa tu hujasoma story nzima ilivyo au kuna rushwa ya Pesa na pia kuna rushwa ya ngono, haujui wezombi?