Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
We acha zako bn! Sema Kuna namba E flan dukani Kwa mchina ππππni moto wa kuotea mbaliππππ Mnavunja mahusiano ya watu na my zao uko mitaani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We acha zako bn! Sema Kuna namba E flan dukani Kwa mchina ππππni moto wa kuotea mbaliππππ Mnavunja mahusiano ya watu na my zao uko mitaani
Umeanza ππππWe acha zako bn! Sema Kuna namba E flan dukani Kwa mchina ππππni moto wa kuotea mbali
Usajili gani tena mbona kama naingia leo mjiniAkhu mi nafatilia ubuyu wa wambea wa JF
Sijui na mimi nije na story zenu wazee wa usajili mpya?! π€£π€£π€£π€£
Yaani unatongoza kwa kizungu? Duh kazi ipoπBaby how are you?
Acha umbea πππUsajili gani tena mbona kama naingia leo mjini
Huyu huyu akiripoti kutokea mbeya ni wasiwasi mwabulambo!
π«£π«£ tunashtua ubongo kidogoAcha umbea πππ
Mchina wa (......), Acha tu! Yule hata ww wa kike unasema pale uumbaji ulifanyikaUmeanza ππππ
Mate yamekujaa hapo!! Haya kwa mchina yupi?!
Braza white acha tamaa!Mchina wa (......), Acha tu! Yule hata ww wa kike unasema pale uumbaji ulifanyika
Mchina na πwapi na wapi? Mchina anaangalia hela na sigara yakeBraza white acha tamaa!
Mchina yeye anasemaje? Hajafolu ini lavu kwa bi dada?! π€£π€£π€£π€£
Ndogo?Laki nane?Kweli bongo njaa kali.
Jidanganye πππMchina na πwapi na wapi? Mchina anaangalia hela na sigara yake
Ndogo sana.Ndogo?
Huyu mara ya kwanza nilimyona kwenye movie ya kibongo inaitwa KIGODOROππππ Hivi huyu ndio yule anayetangaza matokeo ya uongo ya ndondi kwenye vitasa ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaBaby nilipie ada kwa Ras Simba ili nikujibu swali lako! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilikutana na story ya mwalimu wa kike kugawa rushwa ya fedha na ngono ili awe mwalimu mkuu huko Mkuranga - Pwani.Rushwa siyo kwa traffic tu
Kila mahali ipo
Ova