Wasiwasi: Sakata la Gwajima lisipotatuliwa ifikapo alfajir, sidhani kama kuna barabara itapitika, tahadhari ichukuliwe mapema

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
40,956
Reaction score
47,046
Binafsi naona kuna kila dalili ya waumini wa Gwajima kuendeleza mapambano kwa kufunga barabara zaidi, hasa zile za muhimu za rushhour ya kuelekea mjini.., panaweza pakatokea unprecedented chaos.

Serikali ijishushe na kuachana na huyo jamaa, inawezekana ana majini, maana hii si kawaida, serikali itapata aibu ya muda mfupi, ila itapita, amani yetu ni muhimu zaidi.

Tuachane naye tu..!
 
Et majini? Mungu wake ni majini. Hebu fikiria siku ya kwanza ya maombi kati ya siku saba tayari watekaji wa kenge wamejitokeza, unadhani maombi yakiendelea itakuaje? Na usiku huu wa manane tunaomba. There's no way to get justice bali kutumia nguvu. Busara imeshindikana wananchi tunaitwa makenge.
 
Huyu mama nadhani ile kupitishwa bila kupingwa anaona ashapata urais.

Angetulia zake asubiri uchaguzi uishe, safari bado mbichi hii, hata mtumbwi ulio karibu na fukwe unaweza kupinduka
Mama kakata tamaa wakati huohuo anahofu na wakati huohuo anajipa moyo she is in mixed feeling mode.... Ila kiukweli siwezi kupoteze kura yangu kuichagua hii shida ituharibie nchi tena. Enough is Enough
 
Dini vs Siasa ...... Siasa vs Dini

Africa kazi tunayoo
 
Binafsi naona kuna kila dalili ya waumini wa Gwajima kuendeleza mapambano kwa kufunga barabara zaidi, hasa zile za muhimu za rushhour ya kuelekea mjini.., panaweza pakatokea unprecedented chaos.

Serikali ijishushe na kuachana na huyo jamaa, inawezekana ana majini, maana hii si kawaida, serikali itapata aibu ya muda mfupi, ila itapita, amani yetu ni muhimu zaidi.

Tuachane naye tu..!
Tupo hapa opposite kanisani kwake na mabomu yetu ya machozi tukuwaasubiri askari waanze vurugu nasi tulianzishe. Huyu Mama Abdul lazima ang'oke tu madarakani. anatuharibia nchi yetu.
 
Hakuna mtu mwenye uwezo wa kufunga barabara ni sawa na kuteka kipande cha nchi
 
Tupo hapa opposite kanisani kwake na mabomu yetu ya machozi tukuwaasubiri askari waanze vurugu nasi tulianzishe. Huyu Mama Abdul lazima ang'oke tu madarakani. anatuharibia nchi yetu.
Keyboard warrior una vituko
 
Back
Top Bottom