Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 15,670
- 14,647
Polisiccm
Huyu mama anadhani ile kupitishwa bila kupingwa anaona ashapata urais.
Angetulia zake asubiri uchaguzi uishe, safari bado mbichi hii, hata mtumbwi ulio karibu na fukwe unaweza kupinduka
Ndiyo madhara ya bunge lenye wabunge wa kuteuliwa badala ya kuchaguliwa kwa kura, (bunge la CCM)Wewe umeona sahihi, shida ni Yale Mazee ya ccm yeshindwa kumuongoza Mama, kila anachosema, yanapiga makofi
Na kesho yake iwe siku ya mapumzikoNashauri tu jumanne iwe siku ya mapumziko🐼
Sawa pambana ila it wont change the fact kwamba Samia hana uwezo wa kuongoza nchi. Ameshindwa muda mrefu sio makusudi ila uwezo wake wa kufikiri na kuchambia mambo ni mdogo sana. Ana ishi kiswahili Swahili ana deal na pet issue without delivery spiritHatuhitaji kura zenu na Oktoba kiti tunachukua.