FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,956
- 47,046
Et majini? Mungu wake ni majini. Hebu fikiria siku ya kwanza ya maombi kati ya siku saba tayari watekaji wa kenge wamejitokeza, unadhani maombi yakiendelea itakuaje? Na usiku huu wa manane tunaomba. There's no way to get justice bali kutumia nguvu. Busara imeshindikana wananchi tunaitwa makenge.Binafsi naona kuna kila dalili ya waumini wa Gwajima kuendeleza mapambano kwa kufunga barabara zaidi, hasa zile za muhimu za rushhour ya kuelekea mjini.., panaweza pakatokea unprecedented chaos.
Serikali ijishushe na kuachana na huyo jamaa, inawezekana ana majini, maana hii si kawaida, serikali itapata aibu ya muda mfupi, ila itapita, amani yetu ni muhimu zaidi.
Tuachane naye tu..!
Wavuta bange 😅😅😅 jokes tajiri!Nashauri tu jumanne iwe siku ya mapumziko🐼
Nyie washauri uchwara ndiye mnampotosha mama.Nashauri tu jumanne iwe siku ya mapumziko🐼
Mama kakata tamaa wakati huohuo anahofu na wakati huohuo anajipa moyo she is in mixed feeling mode.... Ila kiukweli siwezi kupoteze kura yangu kuichagua hii shida ituharibie nchi tena. Enough is EnoughHuyu mama nadhani ile kupitishwa bila kupingwa anaona ashapata urais.
Angetulia zake asubiri uchaguzi uishe, safari bado mbichi hii, hata mtumbwi ulio karibu na fukwe unaweza kupinduka
Hatuhitaji kura zenu na Oktoba kiti tunachukua.Mama kakata tamaa wakati huohuo anahofu na wakati huohuo anajipa moyo she is mixed feeling mode.... Ila kiukweli siwezi kupoteze kura yangu kuichagua hii shida ituharibie nchi tena. Enough is Enough
Oktoba ya nyoko, kaa hapo usubiri..Hatuhitaji kura zenu na Oktoba kiti tunachukua.
Tupo hapa opposite kanisani kwake na mabomu yetu ya machozi tukuwaasubiri askari waanze vurugu nasi tulianzishe. Huyu Mama Abdul lazima ang'oke tu madarakani. anatuharibia nchi yetu.Binafsi naona kuna kila dalili ya waumini wa Gwajima kuendeleza mapambano kwa kufunga barabara zaidi, hasa zile za muhimu za rushhour ya kuelekea mjini.., panaweza pakatokea unprecedented chaos.
Serikali ijishushe na kuachana na huyo jamaa, inawezekana ana majini, maana hii si kawaida, serikali itapata aibu ya muda mfupi, ila itapita, amani yetu ni muhimu zaidi.
Tuachane naye tu..!
Hakuna mtu mwenye uwezo wa kufunga barabara ni sawa na kuteka kipande cha nchiBinafsi naona kuna kila dalili ya waumini wa Gwajima kuendeleza mapambano kwa kufunga barabara zaidi, hasa zile za muhimu za rushhour ya kuelekea mjini.., panaweza pakatokea unprecedented chaos.
Serikali ijishushe na kuachana na huyo jamaa, inawezekana ana majini, maana hii si kawaida, serikali itapata aibu ya muda mfupi, ila itapita, amani yetu ni muhimu zaidi.
Tuachane naye tu..!
Keyboard warrior una vitukoTupo hapa opposite kanisani kwake na mabomu yetu ya machozi tukuwaasubiri askari waanze vurugu nasi tulianzishe. Huyu Mama Abdul lazima ang'oke tu madarakani. anatuharibia nchi yetu.
Abdul. Mama yako analiboronga kishenzi aisee.Keyboard warrior una vituko
Hebu wafanye kama wanamteka Gwajima hivi..Hakuna mtu mwenye uwezo wa kufunga barabara ni sawa na kuteka kipande cha nchi