Hata wewe post hizo picha achana na kuwategemea hao kina Maria.Upuuzi mtupu, kuna kakundi ka Maria kanaamini haki ya kutekwa ni ya watu fulani. Hii chi ina manaharakati ya hovyo sana.
Halafu pengine wewe umemaliza chuo kikuu kabisa, halafu kuna watu wanajiuliza kwanini taifa maskini. Akili zenyewe ndio kama hizi unadhani taifa litakuwa vipi?1. Picha za kuonesha hali yake baada ya kupatikana zingeliwa zina trend
2. Picha za hospital zingelikuwa zinatrend
3. Most likely, nasema most likely with emphasis, CLOSE relatives wa Abdul wangelikuwa wameshatoa neno
4. Tv za mitandaoni zingelikuwa zimemwaga habari kedekede angani! na mahojiano na walio wengi wa karibu na Nondo....
Kuna mchezo unachezwa hapa!
I stand to be corrected and apology for any inconvenience this message might cause to some of us!
Propaganda hizi zako.Huyu alichukuliwa kwenda kupumzika tu ili kuua story za uchaguzi
Hata Kama hauna D mbili utaelewa ili
Abudu nondo act CCM ni mtu na dadayake!!
Millard Ayo naye anatumika vibaya Sana na CCM
Hii nchi ya kipumbavu Sana hamtakaa mpate maendeleo ya kweli!!
Weka picha Ustaadh ππHalafu pengine wewe umemaliza chuo kikuu kabisa, halafu kuna watu wanajiuliza kwanini taifa maskini. Akili zenyewe ndio kama hizi unadhani taifa litakuwa vipi?
Tomaso πHuyu alichukuliwa kwenda kupumzika tu ili kuua story za uchaguzi
Hata Kama hauna D mbili utaelewa ili
Abudu nondo act CCM ni mtu na dadayake!!
Millard Ayo naye anatumika vibaya Sana na CCM
Hii nchi ya kipumbavu Sana hamtakaa mpate maendeleo ya kweli!!
Ya kunguru?Weka picha Ustaadh ππ
Hapo mnaamini ripoti ya polisi!View attachment 3167224
Mkumbuke Nondo aliwai jiteka
Ya Abdul baada ya kushushwa na Bodoboda πYa kunguru?
Jibu hoja usilalamikeHalafu pengine wewe umemaliza chuo kikuu kabisa, halafu kuna watu wanajiuliza kwanini taifa maskini. Akili zenyewe ndio kama hizi unadhani taifa litakuwa vipi?
Majibu ndio hayoJibu hoja usilalamike