Wasiwasi wangu: Ingelikuwa story za Abdul Nondo kutekwa za kweli, haya yangelikuwa wazi kwa wananchi

Wasiwasi wangu: Ingelikuwa story za Abdul Nondo kutekwa za kweli, haya yangelikuwa wazi kwa wananchi

Yeye anaendelea kuamini kuwa Nondo alijiteka, anaungana na sa100 kuziita hz ni drama.

Halafu mtu huyo huyo anajiona ni Mpinzani, kumbe the enemy wihin!
Inasikitisha
 
Mtoa post tumia akili, unataka kutuambia Kuwa A Nondo amejiteka ,akajitesa then akajitupa coco Beach,lengo lako ni kupunguza ukubwa wa hili suala kwa faida yako ya nani
Serikali ikitaka kukupoteza hutekwi unapigwa kimya kimya tu unajikuta hoi unapelekwa India unakatika kutekana ni ushamba tu.
 
1. Picha za kuonesha hali yake baada ya kupatikana zingeliwa zina trend
2. Picha za hospital zingelikuwa zinatrend
3. Most likely, nasema most likely with emphasis, CLOSE relatives wa Abdul wangelikuwa wameshatoa neno
4. Tv za mitandaoni zingelikuwa zimemwaga habari kedekede angani! na mahojiano na walio wengi wa karibu na Nondo....

Kuna mchezo unachezwa hapa!

I stand to be corrected and apology for any inconvenience this message might cause to some of us!
Watanzani siku hizi ni zaidi ya viumbe kunguni achilia mbali chawa.Tunauzana wenyewe kwa wenyewe kwa majambazi yanayotuibia kila uchao.
 
Serikali ikitaka kukupoteza hutekwi unapigwa kimya kimya tu unajikuta hoi unapelekwa India unakatika kutekana ni ushamba tu.
Sii lazima ikawa hivyo,malengo na mipango ndio mpango mzima
 
Upuuzi mtupu, kuna kakundi ka Maria kanaamini haki ya kutekwa ni ya watu fulani. Hii chi ina manaharakati ya hovyo sana.
Hakuna upuuzi, Zito ni mshirika mzuri wa samia. You can not dny this hard fact! Kama alimpigia simu Samia kwenye isue ya Sative, why not this one of his own?
 
kanaamini haki ya kutekwa ni ya watu fulani
Rekebisha kwanza..hakuna kitu kinautwa haki ya kutekwa...
1. Kwani kuna mtu wa CCM ametekwa? ALiyeuawa? and the like?
2. Kuna mtu wa vyama hivi ametekwa?
CUF

TLP

NCCR-Mageuzi)

NLD

DP

Demokrasia Makini

(ACT-Wazalendo)

CHAUMMA
 
1. Picha za kuonesha hali yake baada ya kupatikana zingeliwa zina trend
2. Picha za hospital zingelikuwa zinatrend
3. Most likely, nasema most likely with emphasis, CLOSE relatives wa Abdul wangelikuwa wameshatoa neno
4. Tv za mitandaoni zingelikuwa zimemwaga habari kedekede angani! na mahojiano na walio wengi wa karibu na Nondo....

Kuna mchezo unachezwa hapa!

I stand to be corrected and apology for any inconvenience this message might cause to some of us!
Wasi uulionao hata mimi ninao hivyo hivyo hii issue imekuja katikati ya mijaddala mikali kuusu uchagguzi wa serkalli za mitaa ulio mmalizika karibuni isije ikawa ni maswala ya kupangwa kufifisha mijadala juu yaliyo jiri ktk uchaguzi wa serikali za mitaa,Ila yote kwa yote Mwezetu ameumizwa kwahiyo kwanza tuweke nguvvu kwenye matibabu yake. Hayo mengine yatajiset yenyewe
 
Picha za Roma na vijana wenzie baada ya kutupwa ununio uliziona..?
Picha za mwili ulioharibika vibaya Kwa acid wa mzee kibau uliziona ?

Ukiendelea na tabia hizi utakuwa mchawi !
Maiti haioneshwi hadharani.........
Yes za Roma zilionekana nitakuwekea hapa nazitafuta
 
Kwenye hili, umekosa maarifa. Hakuna jamii iloyostaarabika huwa inapiga picha za wagonjwa waliolazwa hospitali au miili ya marehemu iliyopo mortuary na kuisambaza mitandaoni.

Siamini kuwa ni tukio la kutengenezwa.
sativa tuliona picha zake hospitl, katavi, .

1733144561273.jpeg

Sijasema maiti, wapi nimmesema maiti? Umekosa maarifa
 
Kwa Mganga wa Kienyeji hazipigwi picha

Damu ya Ngamia asiye na hatia inawalilia ACT Wazalendo 🐼
Wewe jamaa huwa ni mnafaiki huwa sikuelewi kabisa!!

Mara utoke huko useme ZITTO siyo kama MBOWE na hivyo lazima NONDO apatikane .

Sasa hivi unakuja na kashfa zako !!

Stupid
 
Wewe jamaa huwa ni mnafaiki huwa sikuelewi kabisa!!

Mara utoke huko useme ZITTO siyo kama MBOWE na hivyo lazima NONDO apatikane .

Sasa hivi unakuja na kashfa zako !!

Stupid
Kwani hajapatikana?!

Kumtaja mbowe ndio ukapata makasiriko 🤣
 
Punguzeni uchama,

Usichokijua, lipo kundi mahala linajaribu kufarakanisha , upinzani na Serikali Ili kufikia malengo Yao kisiasa.
"...lipo kundi mahala linajaribu kufarakanisha upinzani na serikali..."?

Haya ni maneno uliyo yaandika wewe, mkuu 'Rabbon'?
 
Wewe jamaa huwa ni mnafaiki huwa sikuelewi kabisa!!

Mara utoke huko useme ZITTO siyo kama MBOWE na hivyo lazima NONDO apatikane .

Sasa hivi unakuja na kashfa zako !!

Stupid
Jaribu wewe, pengine utafanikiwa walipo shindwa wengi juu ya huyo mtu unaye mjibu hapo.
 
Mimi mwenyewe nimekuwa na dout kubwa KUU ya tulio Hilo nafikikiri walilenga kudaivegi mjadala wa uchaguzi wa serikali za mitaa
 
Ila dah! Hii ya Nondo ni kama chai hivi! anyway ngoja tuu niamini.
 
1. Picha za kuonesha hali yake baada ya kupatikana zingeliwa zina trend
2. Picha za hospital zingelikuwa zinatrend
3. Most likely, nasema most likely with emphasis, CLOSE relatives wa Abdul wangelikuwa wameshatoa neno
4. Tv za mitandaoni zingelikuwa zimemwaga habari kedekede angani! na mahojiano na walio wengi wa karibu na Nondo....

Kuna mchezo unachezwa hapa!

I stand to be corrected and apology for any inconvenience this message might cause to some of us!
Kwani uliyaona hayo kwenye mauaji ya wagombea wa Chadema.
 
Back
Top Bottom