Kuna watu wanachukuwa kichapo kuchukuwa wake za watu tu sababu ziko alfu 1Kwahiyo watu gani wakisema wametekwa tuamini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu wanachukuwa kichapo kuchukuwa wake za watu tu sababu ziko alfu 1Kwahiyo watu gani wakisema wametekwa tuamini?
InasikitishaYeye anaendelea kuamini kuwa Nondo alijiteka, anaungana na sa100 kuziita hz ni drama.
Halafu mtu huyo huyo anajiona ni Mpinzani, kumbe the enemy wihin!
Serikali ikitaka kukupoteza hutekwi unapigwa kimya kimya tu unajikuta hoi unapelekwa India unakatika kutekana ni ushamba tu.Mtoa post tumia akili, unataka kutuambia Kuwa A Nondo amejiteka ,akajitesa then akajitupa coco Beach,lengo lako ni kupunguza ukubwa wa hili suala kwa faida yako ya nani
Watanzani siku hizi ni zaidi ya viumbe kunguni achilia mbali chawa.Tunauzana wenyewe kwa wenyewe kwa majambazi yanayotuibia kila uchao.1. Picha za kuonesha hali yake baada ya kupatikana zingeliwa zina trend
2. Picha za hospital zingelikuwa zinatrend
3. Most likely, nasema most likely with emphasis, CLOSE relatives wa Abdul wangelikuwa wameshatoa neno
4. Tv za mitandaoni zingelikuwa zimemwaga habari kedekede angani! na mahojiano na walio wengi wa karibu na Nondo....
Kuna mchezo unachezwa hapa!
I stand to be corrected and apology for any inconvenience this message might cause to some of us!
Sii lazima ikawa hivyo,malengo na mipango ndio mpango mzimaSerikali ikitaka kukupoteza hutekwi unapigwa kimya kimya tu unajikuta hoi unapelekwa India unakatika kutekana ni ushamba tu.
Hakuna upuuzi, Zito ni mshirika mzuri wa samia. You can not dny this hard fact! Kama alimpigia simu Samia kwenye isue ya Sative, why not this one of his own?Upuuzi mtupu, kuna kakundi ka Maria kanaamini haki ya kutekwa ni ya watu fulani. Hii chi ina manaharakati ya hovyo sana.
Rekebisha kwanza..hakuna kitu kinautwa haki ya kutekwa...kanaamini haki ya kutekwa ni ya watu fulani
Punguza kushinda JF. Juzi taarifa ya habari ya ITV imetangaza Nondo ametekwa kwenye kituo cha mabasi. Wewe unabisha km nani? Kwahiyo ITV nao ni waongo?View attachment 3167224
Mkumbuke Nondo aliwai jiteka
Wasi uulionao hata mimi ninao hivyo hivyo hii issue imekuja katikati ya mijaddala mikali kuusu uchagguzi wa serkalli za mitaa ulio mmalizika karibuni isije ikawa ni maswala ya kupangwa kufifisha mijadala juu yaliyo jiri ktk uchaguzi wa serikali za mitaa,Ila yote kwa yote Mwezetu ameumizwa kwahiyo kwanza tuweke nguvvu kwenye matibabu yake. Hayo mengine yatajiset yenyewe1. Picha za kuonesha hali yake baada ya kupatikana zingeliwa zina trend
2. Picha za hospital zingelikuwa zinatrend
3. Most likely, nasema most likely with emphasis, CLOSE relatives wa Abdul wangelikuwa wameshatoa neno
4. Tv za mitandaoni zingelikuwa zimemwaga habari kedekede angani! na mahojiano na walio wengi wa karibu na Nondo....
Kuna mchezo unachezwa hapa!
I stand to be corrected and apology for any inconvenience this message might cause to some of us!
Maiti haioneshwi hadharani.........Picha za Roma na vijana wenzie baada ya kutupwa ununio uliziona..?
Picha za mwili ulioharibika vibaya Kwa acid wa mzee kibau uliziona ?
Ukiendelea na tabia hizi utakuwa mchawi !
sijakuelewa, fafanuaUnazani uko salama sababu uko kalibu na watawala?
sativa tuliona picha zake hospitl, katavi, .Kwenye hili, umekosa maarifa. Hakuna jamii iloyostaarabika huwa inapiga picha za wagonjwa waliolazwa hospitali au miili ya marehemu iliyopo mortuary na kuisambaza mitandaoni.
Siamini kuwa ni tukio la kutengenezwa.
SawaNimeacha matusi siku hizi, ila wewe kumanyoko zako.
Wewe jamaa huwa ni mnafaiki huwa sikuelewi kabisa!!Kwa Mganga wa Kienyeji hazipigwi picha
Damu ya Ngamia asiye na hatia inawalilia ACT Wazalendo 🐼
Kwani hajapatikana?!Wewe jamaa huwa ni mnafaiki huwa sikuelewi kabisa!!
Mara utoke huko useme ZITTO siyo kama MBOWE na hivyo lazima NONDO apatikane .
Sasa hivi unakuja na kashfa zako !!
Stupid
"...lipo kundi mahala linajaribu kufarakanisha upinzani na serikali..."?Punguzeni uchama,
Usichokijua, lipo kundi mahala linajaribu kufarakanisha , upinzani na Serikali Ili kufikia malengo Yao kisiasa.
Jaribu wewe, pengine utafanikiwa walipo shindwa wengi juu ya huyo mtu unaye mjibu hapo.Wewe jamaa huwa ni mnafaiki huwa sikuelewi kabisa!!
Mara utoke huko useme ZITTO siyo kama MBOWE na hivyo lazima NONDO apatikane .
Sasa hivi unakuja na kashfa zako !!
Stupid
Kwani uliyaona hayo kwenye mauaji ya wagombea wa Chadema.1. Picha za kuonesha hali yake baada ya kupatikana zingeliwa zina trend