jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
Hii MIKUTANO ambayo anaifanya Tundu kwa hakika inaenda kumgharimu sana kwa namna NEC itavyoitafsiri itakuwa tofauti na wengi tunavyodhani.
Kusanyiko lolote la umati wakati wa kutafuta wadhamini na kulihutubia kana kwamba kampeni zimeshaanza ni kosa ambalo ndilo bwana Tundu litamnyanganya Tonge mdomoni.
Tujiulize kwa nini wenzake wote Magufuli,Membe na wengineo hawakutanishi makumi ya watu?!
Ninawiwa na hata kuchelea kuamini kwamba Tundu kwa vyovyote vile NEC itamuengua.