Uchaguzi 2020 Wasiwasi wangu ni kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi lazima itamkata Lissu kwa kile itachodai kufanya Mikutano ya hadhara

Uchaguzi 2020 Wasiwasi wangu ni kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi lazima itamkata Lissu kwa kile itachodai kufanya Mikutano ya hadhara

Hivi kweli mgombea anasema atahamisha bahari kwenda Dodoma! Unatarajia aende kutafuta wadhamini??. Ukiacha Chama tawala, ACT, CDM na Nccr unadhani kuna wadhamiriaji wa kweli kwenye hili.
Tume iwakubali wenye nia ili mpambano ueleweke.
 
Huyo mataga wa Lumumba anajitangaza kua anajipiga ukuni mwenyewe, sasa akili yake itakua timamu kweli! Si ndio wale wale akina nabii Tito
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23] mbali na kujipiga miti mwenyewe, pia anapigwa miti na pole pole
 
Lisu pumzi itamkata soon!

Kaja na mihemko wenzie wanamuangalia tu
Mnatetemeka tu dadeeeki, mlidhani mmeua upinzani kwa kuwanunua watumwa wa mawazo kumbe mlikuwa mnadanganywa na musiba
 
Hata aspoenguliwa na time STD 7 huku tutamuengua TU maana siyo kwa vijidharau hivyo alivyonavyo!? Maana kwenye macho na akili za TL yy tu ndio anajua kila kitu wengine wote no STD 7! Tunamsubiri kwa hamu Kama tume itamuacha wapiga kura wenye hasira x1000 zaidi ya waliokuwa nayo wanakyela kwa Mwakembe tunamsubiri kwa hamu I see!?
So unajua ya wajumbe bana...Basi hao ni chamtoto[emoji1787][emoji23][emoji1787]!
Labda mumuengue mgombea wenu kwani hakubaliki kwa watanzania
 
Hii MIKUTANO ambayo anaifanya Tundu kwa hakika inaenda kumgharimu sana kwa namna NEC itavyoitafsiri itakuwa tofauti na wengi tunavyodhani.

Kusanyiko lolote la umati wakati wa kutafuta wadhamini na kulihutubia kana kwamba kampeni zimeshaanza ni kosa ambalo ndilo bwana Tundu litamnyanganya Tonge mdomoni.

Tujiulize kwa nini wenzake wote Magufuli,Membe na wengineo hawakutanishi makumi ya watu?!

Ninawiwa na hata kuchelea kuamini kwamba Tundu kwa vyovyote vile NEC itamuengua.
Kumbuka ni mwanasheria na anajua anachokifanya na alishaliezea hili kuwa ile si mikutano ya kisiasa. Wont go into much details about this
 
Wachache watakuelewa mkuu

Mkuu, kuna tofauti ya kuelewa na kukataa kuelewa.

Wameshindwa kueleza tatizo nini kuwa na mgombea huyu:

IMG_20200804_210728_515.jpg

Kipi shida hapo? Kwa nini shida? Kwa nini mgombea wao anakwaza na hayo au mojawapo?

Kuwa hawaoni hii itatupa taifa la haki?

Labda tu kama hawana nia nje na taifa hili. Hiyo nayo kama ni nia yao si haba kujipanga kukabiliana nayo vilivyo.
 
Ndiyo tatizo la kutofanya siasa kwa muda mrefu Lazima watu watafurika tu hata hivyo nilazima uwambie kusudio lako, je sheria za uchaguzi zinasemaje
 
Tundu Lissu hafanyi vitu kishirikina na kienyeji. Ameshatafsiri hizo sheria na kupata uhalali wa anachokifanya.
Kama kumkata basi ni hila tu, hata angekaa kimya wangemtafutia sababu mfu ili wamkate.
Wakimkata ndipo ataupata Urais kiulaini.
Ngoja niwape haki yao hapa chini
Pepo mchafu toka
Pepo unayewatesa wanaomwogopa Lissu toka.
Pepo wa upumbavu na ujinga toka
Pepo wa kutangatanga toka
 
Pia Lissu anaweza akawa na uraia pacha kitu ambacho kitamtoa kwenye reli
 
Magufuli alifanya nini siku ile Dodoma? Au ukifanya mara moja siyo kosa?
Hii MIKUTANO ambayo anaifanya Tundu kwa hakika inaenda kumgharimu sana kwa namna NEC itavyoitafsiri itakuwa tofauti na wengi tunavyodhani.

Kusanyiko lolote la umati wakati wa kutafuta wadhamini na kulihutubia kana kwamba kampeni zimeshaanza ni kosa ambalo ndilo bwana Tundu litamnyanganya Tonge mdomoni.

Tujiulize kwa nini wenzake wote Magufuli,Membe na wengineo hawakutanishi makumi ya watu?!

Ninawiwa na hata kuchelea kuamini kwamba Tundu kwa vyovyote vile NEC itamuengua.
 
Hii MIKUTANO ambayo anaifanya Tundu kwa hakika inaenda kumgharimu sana kwa namna NEC itavyoitafsiri itakuwa tofauti na wengi tunavyodhani.

Kusanyiko lolote la umati wakati wa kutafuta wadhamini na kulihutubia kana kwamba kampeni zimeshaanza ni kosa ambalo ndilo bwana Tundu litamnyanganya Tonge mdomoni.

Tujiulize kwa nini wenzake wote Magufuli,Membe na wengineo hawakutanishi makumi ya watu?!

Ninawiwa na hata kuchelea kuamini kwamba Tundu kwa vyovyote vile NEC itamuengua.
Huu uchaguzi mwaka huu haufanyiki....
 
Back
Top Bottom