jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,245
Huyo mataga wa Lumumba anajitangaza kua anajipiga ukuni mwenyewe, sasa akili yake itakua timamu kweli! Si ndio wale wale akina nabii Tito[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijui kwanini huyu jamaa haandiki mada kumhusu Hashimu Rungwe!We jamaa unahangaika na Lissu balaa
Busara itumike ili wananchi ndo waamue lakini Lissu hajafikia viwango vya kumshinda JpmHii MIKUTANO ambayo anaifanya Tundu kwa hakika inaenda kumgharimu sana kwa namna NEC itavyoitafsiri itakuwa tofauti na wengi tunavyodhani.
Kusanyiko lolote la umati wakati wa kutafuta wadhamini na kulihutubia kana kwamba kampeni zimeshaanza ni kosa ambalo ndilo bwana Tundu litamnyanganya Tonge mdomoni.
Tujiulize kwa nini wenzake wote Magufuli,Membe na wengineo hawakutanishi makumi ya watu?!
Ninawiwa na hata kuchelea kuamini kwamba Tundu kwa vyovyote vile NEC itamuengua.
Sijui kwann huyu jamaa haandiki mada kumhusu Hashimu Rungwe!
Atamuandikaje Rungwe au Lyatonga au Mbatia au Lipumba wakati hao ni wenzao?Sijui kwann huyu jamaa haandiki mada kumhusu Hashimu Rungwe!
Safari hii ikulu ni mapeema sana na nyinyi mataga lazima mrudi kwenu BurundiHii MIKUTANO ambayo anaifanya Tundu kwa hakika inaenda kumgharimu sana kwa namna NEC itavyoitafsiri itakuwa tofauti na wengi tunavyodhani.
Kusanyiko lolote la umati wakati wa kutafuta wadhamini na kulihutubia kana kwamba kampeni zimeshaanza ni kosa ambalo ndilo bwana Tundu litamnyanganya Tonge mdomoni.
Tujiulize kwa nini wenzake wote Magufuli,Membe na wengineo hawakutanishi makumi ya watu?!
Ninawiwa na hata kuchelea kuamini kwamba Tundu kwa vyovyote vile NEC itamuengua.
Hata aspoenguliwa na time STD 7 huku tutamuengua TU maana siyo kwa vijidharau hivyo alivyonavyo!? Maana kwenye macho na akili za TL yy tu ndio anajua kila kitu wengine wote no STD 7! Tunamsubiri kwa hamu Kama tume itamuacha wapiga kura wenye hasira x1000 zaidi ya waliokuwa nayo wanakyela kwa Mwakembe tunamsubiri kwa hamu I see!?Hii MIKUTANO ambayo anaifanya Tundu kwa hakika inaenda kumgharimu sana kwa namna NEC itavyoitafsiri itakuwa tofauti na wengi tunavyodhani.
Kusanyiko lolote la umati wakati wa kutafuta wadhamini na kulihutubia kana kwamba kampeni zimeshaanza ni kosa ambalo ndilo bwana Tundu litamnyanganya Tonge mdomoni.
Tujiulize kwa nini wenzake wote Magufuli,Membe na wengineo hawakutanishi makumi ya watu?!
Ninawiwa na hata kuchelea kuamini kwamba Tundu kwa vyovyote vile NEC itamuengua.
Naelewa mkuu [emoji38][emoji38]Kwani watu wenye sifa hiyo siunajua majina yao?
Watu wengine siyo wa kuwajadili kabisa maana hawana sifaHuyo mataga wa Lumumba anajitangaza kua anajipiga ukuni mwenyewe, sasa akili yake itakua timamu kweli! Si ndio wale wale akina nabii Tito
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hashim Rungwe mzee wa kubet[emoji23]Sijui kwann huyu jamaa haandiki mada kumhusu Hashimu Rungwe!
Wachache watakuelewa mkuuWewe hujui mikutano yoyote lazima iwe na vibali?
Ni Mutoro au Mamboleo atakubali ufanyike mkutano wapi bila ruksa yake?
Itakuwa kukosa busara kuliko pitiliza kuita watu wanaojitokeza kumwona mfu aliyefufuka na kusalimiana naye kuwa ni mkutano wa hadhara.
Waacheni wajumbe wafanye yao Oct 28. Mengine haya ni kujaribu kutuletea uchuro kutokana na kiwewe cha kuhofia kushindwa kitakatifu.
Ni mwanga peke yake anayeweza kusikia aliyekufa na kufufuka anapita karibu yake naye akaamua kuuchuna kwake asiende hata kumwona.
Kumbuka JKNIA kulifurika watu achilia njia yote alikopita Lissu licha ya vitisho na utayari wa polisi kutumia nguvu. Sembuse katazo la kwenda kumwona kipenzi cha watu huyu kinapokuwa hakipo?
Tundu Lissu ni mwanasheria na anajua vizuri sheria za Uchaguzi hivyo usiwe na wasi wasi kuhusu Tume Lissu atawafundisha kampeni ina tofauti gani na kutafuta wadhamini.Hii MIKUTANO ambayo anaifanya Tundu kwa hakika inaenda kumgharimu sana kwa namna NEC itavyoitafsiri itakuwa tofauti na wengi tunavyodhani.