Uchaguzi 2020 Wasiwasi wangu ni kwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi lazima itamkata Lissu kwa kile itachodai kufanya Mikutano ya hadhara

Hivi kweli mgombea anasema atahamisha bahari kwenda Dodoma! Unatarajia aende kutafuta wadhamini??. Ukiacha Chama tawala, ACT, CDM na Nccr unadhani kuna wadhamiriaji wa kweli kwenye hili.
Tume iwakubali wenye nia ili mpambano ueleweke.
 
Huyo mataga wa Lumumba anajitangaza kua anajipiga ukuni mwenyewe, sasa akili yake itakua timamu kweli! Si ndio wale wale akina nabii Tito
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23] mbali na kujipiga miti mwenyewe, pia anapigwa miti na pole pole
 
Lisu pumzi itamkata soon!

Kaja na mihemko wenzie wanamuangalia tu
Mnatetemeka tu dadeeeki, mlidhani mmeua upinzani kwa kuwanunua watumwa wa mawazo kumbe mlikuwa mnadanganywa na musiba
 
Labda mumuengue mgombea wenu kwani hakubaliki kwa watanzania
 
Kumbuka ni mwanasheria na anajua anachokifanya na alishaliezea hili kuwa ile si mikutano ya kisiasa. Wont go into much details about this
 
Wachache watakuelewa mkuu

Mkuu, kuna tofauti ya kuelewa na kukataa kuelewa.

Wameshindwa kueleza tatizo nini kuwa na mgombea huyu:



Kipi shida hapo? Kwa nini shida? Kwa nini mgombea wao anakwaza na hayo au mojawapo?

Kuwa hawaoni hii itatupa taifa la haki?

Labda tu kama hawana nia nje na taifa hili. Hiyo nayo kama ni nia yao si haba kujipanga kukabiliana nayo vilivyo.
 
Ndiyo tatizo la kutofanya siasa kwa muda mrefu Lazima watu watafurika tu hata hivyo nilazima uwambie kusudio lako, je sheria za uchaguzi zinasemaje
 
Tundu Lissu hafanyi vitu kishirikina na kienyeji. Ameshatafsiri hizo sheria na kupata uhalali wa anachokifanya.
Kama kumkata basi ni hila tu, hata angekaa kimya wangemtafutia sababu mfu ili wamkate.
Wakimkata ndipo ataupata Urais kiulaini.
Ngoja niwape haki yao hapa chini
Pepo mchafu toka
Pepo unayewatesa wanaomwogopa Lissu toka.
Pepo wa upumbavu na ujinga toka
Pepo wa kutangatanga toka
 
Pia Lissu anaweza akawa na uraia pacha kitu ambacho kitamtoa kwenye reli
 
Magufuli alifanya nini siku ile Dodoma? Au ukifanya mara moja siyo kosa?
 
Huu uchaguzi mwaka huu haufanyiki....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…