Alimtumia kwa kumwambia amtukane Mungu ili afe!Wanatheolojia wa jf, baada ya kupitia kitabu cha Ayubu kilicho andikwa mambo mengi ambayo shetani alimtendea Ayubu kama majaribu.
Kama ilivyo andikwa shetani alirdhuru mifugo,wajakazi,utajiri,watoto na zaidi afya ya Ayubu mwenyewe ,ila mke wake yeye tu alikua safe, wanasema Kila kitu na sababu hapo imekaaje wajuzi.
Umemaliza,awe tuu mbishi kama Thomas!Shetani anafanya kazi yake kwa malengo na mikakati. Anajua nani amfanyie nini na kwa namna gani ili amwangushe.
Si ajabu alimwendea Kristu jangwani akiwa amefunga siku 40 mchana na usiku, lakini akashindwa pia.
Tageti hapa ilikuwa ni Ayubu kwa sababu ndiye alikuwa mwakilishi wa Mungu kiroho na kitabia, tofauti na mkewe ambaye alikuwa mguu pande, mguu sawa.
Ingekuwa rahisi zaidi kummaliza Ayubu kupitia mtu wake wa karibu zaidi - mkewe. Japo pia akashindwa! Mungu atukuzwe milele amina!
Maana jaribu halikuwapata ninyi, isipokuwa lile lililo kawaida ya wanadamu; ila Mungu ni mwaminifu; ambaye hatawaacha mjaribiwe kupita mwezavyo; lakini pamoja na lile jaribu atafanya na mlango wa kutokea, ili mweze kustahimili. (1Kor 10:13).
Shetani akikwama anaomba assist kwa mwanamkeMwanamke mda wowote anakuwa mshikaji na shetani..
Sasa kama mwanamke n nyoka na nyoka n shetan sasa atamgusaje shetan mwezie wakat wote n Wa mojaWanatheolojia wa jf, baada ya kupitia kitabu cha Ayubu kilicho andikwa mambo mengi ambayo shetani alimtendea Ayubu kama majaribu.
Kama ilivyo andikwa shetani alirdhuru mifugo,wajakazi,utajiri,watoto na zaidi afya ya Ayubu mwenyewe ,ila mke wake yeye tu alikua safe, wanasema Kila kitu na sababu hapo imekaaje wajuzi.
Shetani siku zote hahangaiki na wale wote walio kwenye zizi lake never. Hao ni mali yake tayari. Anahangaika na wale wasio kwenye himaya yake.Wanatheolojia wa jf, baada ya kupitia kitabu cha Ayubu kilicho andikwa mambo mengi ambayo shetani alimtendea Ayubu kama majaribu.
Kama ilivyo andikwa shetani alirdhuru mifugo,wajakazi,utajiri,watoto na zaidi afya ya Ayubu mwenyewe ,ila mke wake yeye tu alikua safe, wanasema Kila kitu na sababu hapo imekaaje wajuzi.
(Ayubu 2:9)
Mke wa Ayubu akasema: Makufuru Mungu ufe.
Ndipo utajua shetani alimwacha Ili aje kuwa silaha ya mwisho.
Lakini pia ujue, shetani alikatazwa na Mungu kugusa uhai wa Ayubu, mke wa Ayubu ni sehemu ya uhai wa Ayubu sababu ni mwili mmoja, ndio sababu hakuguswa.
Hapo umeiweka vizuri mkuuShetani anafanya kazi yake kwa malengo na mikakati. Anajua nani amfanyie nini na kwa namna gani ili amwangushe.
Si ajabu alimwendea Kristu jangwani akiwa amefunga siku 40 mchana na usiku, lakini akashindwa pia.
Tageti hapa ilikuwa ni Ayubu kwa sababu ndiye alikuwa mwakilishi wa Mungu kiroho na kitabia, tofauti na mkewe ambaye alikuwa mguu pande, mguu sawa.
Ingekuwa rahisi zaidi kummaliza Ayubu kupitia mtu wake wa karibu zaidi - mkewe. Japo pia akashindwa! Mungu atukuzwe milele amina!
Maana jaribu halikuwapata ninyi, isipokuwa lile lililo kawaida ya wanadamu; ila Mungu ni mwaminifu; ambaye hatawaacha mjaribiwe kupita mwezavyo; lakini pamoja na lile jaribu atafanya na mlango wa kutokea, ili mweze kustahimili. (1Kor 10:13).
Categorical syllogismSasa kama mwanamke n nyoka na nyoka n shetan sasa atamgusaje shetan mwezie wakat wote n Wa moja
AAAHMwanamke mda wowote anakuwa mshikaji na shetani..
Shetani Na Mungu Ni Washikaji Kinoma(Ayubu 2:9)
Mke wa Ayubu akasema: Makufuru Mungu ufe.
Ndipo utajua shetani alimwacha Ili aje kuwa silaha ya mwisho.
Lakini pia ujue, shetani alikatazwa na Mungu kugusa uhai wa Ayubu, mke wa Ayubu ni sehemu ya uhai wa Ayubu sababu ni mwili mmoja, ndio sababu hakuguswa.
We unapaswa kuwa Rabbi kwa kugundua hiyo dosari katika kazi ya shetani.