Wasomaji wa Biblia Kwanini shetani hakumgusa mke wa Ayubu

Wasomaji wa Biblia Kwanini shetani hakumgusa mke wa Ayubu

Kuanzia Shetani, Mungu, Huyo mwanamke mpaka Ayubu wote hawajawahi kuwepo.....zote hizo ni hadithi za kutiana moyo tu huku tukisogeza siku.
 
Na ni afadhali uadhibiwe na shetani kuliko Mungu,

Maana ukishambuliwa sana na shetani, Mungu aweza ingilia kati akakuokoa,

Lakini Ukiadhibiwa na Mungu, ukikumbana na hasira yake, hayupo wa kukusaidia.
Haya!
 
Back
Top Bottom