DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Kwani Ayoub Hakumtukana Mungu??Alimtumia kwa kumwambia amtukane Mungu ili afe!
Kasemaje mkuu!Nikumbushe.Kwani Ayoub Hakumtukana Mungu??
Ukisoma Kitabu cha Ayoub Utagundua sehemu za Kusifia Mungu Ziliongelewa na wale madaktari watatu marafiki.zake waliokuja Kumsalimia..
Ila Ayoub wa Kwenye Biblia Kamnenea Mbovu sana Mungu
Umesoma Kitabu cha Ayoub?Kasemaje mkuu!Nikumbushe.
Hakuwa mlengwaWanatheolojia wa jf, baada ya kupitia kitabu cha Ayubu kilicho andikwa mambo mengi ambayo shetani alimtendea Ayubu kama majaribu.
Kama ilivyo andikwa shetani alirdhuru mifugo,wajakazi,utajiri,watoto na zaidi afya ya Ayubu mwenyewe ,ila mke wake yeye tu alikua safe, wanasema Kila kitu na sababu hapo imekaaje wajuzi.
Mkuu hili andiko la 1Kor ni kweli kila jaribu lana mlango wakutokea? maana kwangu naona milango yote imejifungaShetani anafanya kazi yake kwa malengo na mikakati. Anajua nani amfanyie nini na kwa namna gani ili amwangushe.
Si ajabu alimwendea Kristu jangwani akiwa amefunga siku 40 mchana na usiku, lakini akashindwa pia.
Tageti hapa ilikuwa ni Ayubu kwa sababu ndiye alikuwa mwakilishi wa Mungu kiroho na kitabia, tofauti na mkewe ambaye alikuwa mguu pande, mguu sawa.
Ingekuwa rahisi zaidi kummaliza Ayubu kupitia mtu wake wa karibu zaidi - mkewe. Japo pia akashindwa! Mungu atukuzwe milele amina!
Maana jaribu halikuwapata ninyi, isipokuwa lile lililo kawaida ya wanadamu; ila Mungu ni mwaminifu; ambaye hatawaacha mjaribiwe kupita mwezavyo; lakini pamoja na lile jaribu atafanya na mlango wa kutokea, ili mweze kustahimili. (1Kor 10:13).
Ayubu2:9mkewe Ayubu anamshutumu Ayubu kwamba Bado anashikamana na Mungu,amkufuru afe!2:10,Ayubu anamjibu mkewe kwamba anafanana na wanawake wapumbavu,! Itaendelea kusema Ayubu hakunena Dhambi kwa mdomo wake Hao hawakuwa madaktari mkuu ni jamaa zake tuu.Umesoma Kitabu cha Ayoub?
Nitajie sehemu ayoub alipomsifia Mungu?
Au kunena Mema juu Yake..
Ukiacha Zile sehemu za Rafiki zake..
Ambao ni Elifazi mtemani, Bildadi Mshuhi na Sofari mnaamathi ..
Hawa ndo walikuwa Wanamsihi asitoe maneno ya Kashfa kwa Mungu..
Nataka Tuende sawa!
Ili unielewe
Una uhakika hawakuwa Madaktari (Physician) ??Ay
Ayubu2:9mkewe Ayubu anamshutumu Ayubu kwamba Bado anashikamana na Mungu,amkufuru afe!2:10,Ayubu anamjibu mkewe kwamba anafanana na wanawake wapumbavu,! Itaendelea kusema Ayubu hakunena Dhambi kwa mdomo wake Hao hawakuwa madaktari mkuu ni jamaa zake tuu.
Hao ni ndugu hΓ wΓ wezi kudhuriΓ na.Alimtumia kwa kumwambia amtukane Mungu ili afe!
Na vitatu vinaruhusiwa kumwacha mke.Na pia kupitia mke wa Ayubu kuna kitu cha kujifunza
Ni muhimu sana unapokuwa na mwenza Imani zenu ziambatane pamoja yaani wote kama mnamtumikia Mungu basi mumtumikie Mungu kiuwaminifu haswa hata linapotokea. Jaribu kwa pamoja mnaweza kusolve
Hapa inaonesha mke wa Ayubu hakuwa vizuri na Mungu yaani alikuwa mjanja janja mlokole jinaπ na usikute jamaa hakustukia mpaka pale mke alivyomwambia amkufuru Mungu wake ndipo jamaa akaona sura halisi ya mkewe ni wa aina gani.
Na ni afadhali uadhibiwe na shetani kuliko Mungu,Shetani Na Mungu Ni Washikaji Kinoma
Kuna sababu kadhaa zinazoweza kufanya aonekane kutojumuishwa kwenye jaribu la Ayubu alilofanyiwa na shetani kwa ruhusa ya Mungu.Wanatheolojia wa jf, baada ya kupitia kitabu cha Ayubu kilicho andikwa mambo mengi ambayo shetani alimtendea Ayubu kama majaribu.
Kama ilivyo andikwa shetani alirdhuru mifugo,wajakazi,utajiri,watoto na zaidi afya ya Ayubu mwenyewe ,ila mke wake yeye tu alikua safe, wanasema Kila kitu na sababu hapo imekaaje wajuzi.
Brooo! π ππ»Shetani akikwama anaomba assist kwa mwanamke
Bro shetani na mwanamke ni BFF πΉBrooo! π ππ»
Kama mimi na wewe πBro shetani na mwanamke ni BFF πΉ
DuuuuWanatheolojia wa jf, baada ya kupitia kitabu cha Ayubu kilicho andikwa mambo mengi ambayo shetani alimtendea Ayubu kama majaribu.
Kama ilivyo andikwa shetani alirdhuru mifugo,wajakazi,utajiri,watoto na zaidi afya ya Ayubu mwenyewe ,ila mke wake yeye tu alikua safe, wanasema Kila kitu na sababu hapo imekaaje wajuzi.
Huo mstari ni miongoni mwa mistari ya kumpa matumaini mtu anayepitia matatizo.Mkuu hili andiko la 1Kor ni kweli kila jaribu lana mlango wakutokea? maana kwangu naona milango yote imejifunga
Tumia akili alimgusa ...sijui watanzania mna matatizo gani ya mtindio wa ubongo ama nini ! hadi mnakuwa wagumu kuelewa mambo ...kuna mtu alianzisha uzi wa watakatifu ambao awakufa kabisa bali walitwaliwa na katika huo uzi alimtaja nabii Eliya mimi nikamwambia kuwa Eliya alikufa tena kwa kuchinjwa yeye wala hqkuelewa hakabisha.....ndiyo kama weweWanatheolojia wa jf, baada ya kupitia kitabu cha Ayubu kilicho andikwa mambo mengi ambayo shetani alimtendea Ayubu kama majaribu.
Kama ilivyo andikwa shetani alirdhuru mifugo,wajakazi,utajiri,watoto na zaidi afya ya Ayubu mwenyewe ,ila mke wake yeye tu alikua safe, wanasema Kila kitu na sababu hapo imekaaje wajuzi.