Malaika wa Misukosuko JF-Expert Member Joined Jul 16, 2021 Posts 2,470 Reaction score 7,376 Dec 19, 2024 #41 Kuanzia Shetani, Mungu, Huyo mwanamke mpaka Ayubu wote hawajawahi kuwepo.....zote hizo ni hadithi za kutiana moyo tu huku tukisogeza siku.
Kuanzia Shetani, Mungu, Huyo mwanamke mpaka Ayubu wote hawajawahi kuwepo.....zote hizo ni hadithi za kutiana moyo tu huku tukisogeza siku.
Palmoni JF-Expert Member Joined Jun 13, 2024 Posts 1,968 Reaction score 3,760 Dec 19, 2024 #42 Rabbon said: Na ni afadhali uadhibiwe na shetani kuliko Mungu, Maana ukishambuliwa sana na shetani, Mungu aweza ingilia kati akakuokoa, Lakini Ukiadhibiwa na Mungu, ukikumbana na hasira yake, hayupo wa kukusaidia. Click to expand... Haya!
Rabbon said: Na ni afadhali uadhibiwe na shetani kuliko Mungu, Maana ukishambuliwa sana na shetani, Mungu aweza ingilia kati akakuokoa, Lakini Ukiadhibiwa na Mungu, ukikumbana na hasira yake, hayupo wa kukusaidia. Click to expand... Haya!