Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 2,404
- 5,682
Hakika nakubaliana na wewe.Akili mtu wangu
Unaaambiwa audit ilifanyika ni mabilionu ya dollar wamejitengenezea ovetime.Mpunga wa maana!
Loop holes huwa hazikosekani ni mwendo wa kujiongeza na kufanya ujasiri.Hakika nakubaliana na wewe.
Walitumia mwanya wa huruma wa democrats za kuwaruhusu kujitengenezea hii scheme kisa tu wametoka sehemu masikini lakini pia mimi naamini ni moja ya njia ya kutakagisha fedha kwa viongozi wengine wakubwa hapo minnesota.
Ila hawa jamaa bana , kaaanchi kao ni kamasikini balaaLoop holes huwa hazikosekani ni mwendo wa kujiongeza na kufanya ujasiri.
Mara nyingi, sio zote, mara nyingi micjezo kama hii huwa kuna mikono ya wazito..
Kama wamefanya wenyewe tupu basi ni akili kubwa sana.
Ni akili kubwa na wana take risk saana, sio waoga, nadhani wana akili ya "HAKUNA CHA KUPOTEZA"Ila hawa jamaa bana , kaaanchi kao ni kamasikini balaa
Ila ukija kenya, tz, uganda wao ndio wanaaongoza kwa mzunguko wa pesa, jamaa hawa ni hatar
Akili halafu unakamatwaAkili mtu wangu
Mambo ya kawaida..Akili halafu unakamatwa
Isingekuwa vita vya wenyewe kwa wenyewe Somalia ingekuwa ndio nchi tajiri East AfricaIla hawa jamaa bana , kaaanchi kao ni kamasikini balaa
Ila ukija kenya, tz, uganda wao ndio wanaaongoza kwa mzunguko wa pesa, jamaa hawa ni hatar
Akili haunaHizo ni mbinu za Trump kuwaswaga huko Usa
Wanashirikian na WANASIASA Ambao Wanaujua Mfumo .......