Wasomali wamewezaje kuipiga system na kuiba mabilioni na mabilioni ya pesa kwa muda mrefu hapo Minnesota, Marekani?

Akili mtu wangu
Hakika nakubaliana na wewe.

Walitumia mwanya wa huruma wa democrats za kuwaruhusu kujitengenezea hii scheme kisa tu wametoka sehemu masikini lakini pia mimi naamini ni moja ya njia ya kutakagisha fedha kwa viongozi wengine wakubwa hapo minnesota.
 
Mpunga wa maana!
Unaaambiwa audit ilifanyika ni mabilionu ya dollar wamejitengenezea ovetime.

Ndio maana tunashangaa mbona al shabab haifi hadi iliitishia jeshi la kenya wakarudi nyuma, ssasa pesa ndio hii😁
 
Hakika nakubaliana na wewe.

Walitumia mwanya wa huruma wa democrats za kuwaruhusu kujitengenezea hii scheme kisa tu wametoka sehemu masikini lakini pia mimi naamini ni moja ya njia ya kutakagisha fedha kwa viongozi wengine wakubwa hapo minnesota.
Loop holes huwa hazikosekani ni mwendo wa kujiongeza na kufanya ujasiri.

Mara nyingi, sio zote, mara nyingi micjezo kama hii huwa kuna mikono ya wazito..
Kama wamefanya wenyewe tupu basi ni akili kubwa sana.
 
Ila hawa jamaa bana , kaaanchi kao ni kamasikini balaa

Ila ukija kenya, tz, uganda wao ndio wanaaongoza kwa mzunguko wa pesa, jamaa hawa ni hatar
 
Njee ya mada ni warembo sana wanaume kazi mnayo

Ndani ya mada mala mia ule chuma / ufungwe kwa kupiga hela ndefu

Sio upigwe mpka kifo/kufungwa kwa kesi ya kuku😅

Nb; siungi mkono wezi
 
Ila hawa jamaa bana , kaaanchi kao ni kamasikini balaa

Ila ukija kenya, tz, uganda wao ndio wanaaongoza kwa mzunguko wa pesa, jamaa hawa ni hatar
Ni akili kubwa na wana take risk saana, sio waoga, nadhani wana akili ya "HAKUNA CHA KUPOTEZA"
ni mwendo wa GET RICH OR DIE TRYING
 
Hawa jamaa walishaagana na kifo. Hawakiogopi kabisa. Miaka ya 90 walisumbua sana Ngorongoro mpaka kina Afande Sabasita ilibidi waende frontline. Ngorongoro iligeuka uwanja wa vita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…