Wasomali wamjia juu binti yao kwa kumlilia Diamond

Wasomali wamjia juu binti yao kwa kumlilia Diamond

Kama hawataki kuchanganyika si wabaki kwao Huko Somalia, huku nchi zetu wanakuja kutafuta nini sasa, mabinti sio wabaguzi shida ni wazazi wao au ndugu, dawa yao unabananisha akiwa bado hajalishwa sumu ya ubaguzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This is very true. Wengi hua hawaowi na kuolewa. Sababu wapo selective sana kwenye ndoa. Msichana akisoma tu hata ka degree, akifikisha 25yrs au asipofuata utamaduni wa kimavazi huyo haolewi tena. Wazazi wapo radhi bint yao azeeke ndani kuliko kuolewa na jamii tofauti.wanaume nao unless awe vizuri financially otherwise hapati mke.
It is a backward judgemental community.
Tuttyfruity, best naomba uni-PM. Nina jambo la muhimu.
 
Back
Top Bottom