Wasomali wamjia juu binti yao kwa kumlilia Diamond

Wasomali wamjia juu binti yao kwa kumlilia Diamond

Mkuu, hufai kuwa baba wa familia...vijana/wanao hawana cha kujifunza kutoka kwako babaa...
Mimi ni Baba na family yangu haina changamoto sana. Ninao mabinti na wavulana .

Kinachonishangaza ni kuwa binti mkubwa anaenda disko unamchaguliaje mpenzi ?!.
 
Nakubaliana

Ila sio wasomali pekee hata watanzania wenzetu kutoka kule kwa Maalim usajiri mpya wa ACT wanatubagua kuoa mabinti zao wanatuita sisi WASWAHILI. SIJUI wao wazungu?
We jamaa ushaleta siasa kwenye uzi wa watu?
 
Wenyewe wanavyodai asili yao nikati ya mwarabu wa Yemen na mwafrika Nubian wale wa Sudan.

Wanadai mtume alipokimbia kunusuru maisha yake Ethiopia alipitia Somalia akakutana na mama mwafrika mweusi na mme wake mwarabu wa Yemen. Walimkarimia sana mtume. Mtume aliwabariki na kuwaombea wawe taifa kubwa.

Nimeshawahi kusoma pahali wasomali wanadai kijakazi Hagar alikuwa msomali. Waethiopia nao wanadai hivyo hivyo

Ila kihistoria inaweza kuwa kweli. Cushites(oromo, Gurage, Borana Somali, Tutsi na Fulani etc) pamoja na Semites (Tigray na Eritrean tribes Ethiopian ) hawa wote ni mchanganyiko wa waarabu wa Yemen na Nubians waafrika weusi hata kisayansi vina saba imethibitisha.
Ethiopians wana asili ya kiyahudi suleman alipita na queen of sheba
 
Ethiopians wana asili ya kiyahudi suleman alipita na queen of sheba
Wayahudi na waarabu wako kwenye kundi jamii semites. Ndio maana Ethiopian na eretrians nao ni semites ila si wa Ethiopia wote ni semites bali ni kabila la Tigray ambapo queen sheba(wao wanasoma sabaa) alipotokea na mtoto alizaa na suleiman alikuwa anaitwa Menelik. Siyo yule melik 2
 
Familia duni, maisha duni, elimu duni, nchi duni unategemea nini? Hata dini hawajui utafikiri wao ndio wanajua uislam
mtu akikutenga na ww umtenge kwani shida iko wpi. ngoma draw
 
Wayahudi na waarabu wako kwenye kundi jamii semites. Ndio maana Ethiopian na eretrians nao ni semites ila si wa Ethiopia wote ni semites bali ni kabila la Tigray ambapo queen sheba(wao wanasoma sabaa) alipotokea na mtoto alizaa na suleiman alikuwa anaitwa Menelik. Siyo yule melik 2
Uko deep bro umenikumbusha topic moja kwa history ilkua inaitwa "peopling people of africa"
 
Dah manzi hapo na kulowa kashalowa.

Hormones ziko at its height.

Jamaa akigusa tu demu anakojoa.

Mapenzi yana mengi aisee. Ila wanaume tutafute hela.
Mstari wa mwisho ndo ujumbe fasaha kabsaa kwa Kila mwanaume.
 
Wayahudi na waarabu wako kwenye kundi jamii semites. Ndio maana Ethiopian na eretrians nao ni semites ila si wa Ethiopia wote ni semites bali ni kabila la Tigray ambapo queen sheba(wao wanasoma sabaa) alipotokea na mtoto alizaa na suleiman alikuwa anaitwa Menelik. Siyo yule melik 2
Thibitisha hii kamba
 
This is very true. Wengi hua hawaowi na kuolewa. Sababu wapo selective sana kwenye ndoa. Msichana akisoma tu hata ka degree, akifikisha 25yrs au asipofuata utamaduni wa kimavazi huyo haolewi tena. Wazazi wapo radhi bint yao azeeke ndani kuliko kuolewa na jamii tofauti.wanaume nao unless awe vizuri financially otherwise hapati mke.
It is a backward judgemental community.
Jamii ya wasomali kama inapungua vile...alafu cha kushangaza hawa jamaa huwa hawaowi wala kuolewa isipokuwa wachache sana.
 
Mzuqa

Ile Jamii iliyoko Africa ambayo inadai wenyewe siyo waafrika ni jamii tofauti na marufuku katika mila yao kuchanganyikana na wengine hata kama ni dini moja wamemjia binti yao juu na kumponda.

Wasomali kutoka sehemu mbalimbali duniani kwa anzia Somalia Kwenye, ukanda wa Afrika mashariki, ulaya, Australia na Marekani wameonyesha kukasirishwa kwao waziwazi na binti yao huyo kukububujikwa na machozi baada ya kumuona diamond na kumkumbatia.

Wengine walienda mbali nakumponda atawezaje kumkumbatia Mwafrika na kulia.

Wengine waliponda huenda hata Mungu na mama yake hajawahi kuwalilia.

Ila uzuri ni kwamba watoto wengi wa kisomali waliozaliwa ulaya ama nje wamepevuka sana siku hizi wanajitambua.

Wasomali wa huku skendinevia wanatuita sisi waafrika wengine Njeree. Marufuku sisi wanaume waafrika kutongoza, kutembea ama kuoa binti zao. Wanaweza kukuletea fujo hata wakikuona unaongozana na mwanamke wa kisomali.

Majuzi tu hapa Denmark walifanya juu chini kuvuruga harusi ya kijana wa kihausa kutoka Ghana kumuoa binti yao wa kisomali licha ya wote kuwana imani moja.

Ni Wapumbavu sana Wasomali

Kwanza wanawake wao almost 95% wanatahiriwa.

Halafu wanatuita ''Nywele Ngumu''

Halafu kwenye mapenzi wanawake wao ni Zero.

Wanachojua zaidi ni kupika.

Ninaishi nao na pia nimesoma nao.
 
Aptii...!
Mkuu ni wapi hapo Wasomali wanapodai kua sio Waafrika? Suala la wao kutokutaka kuchanganyika ni la kiutamaduni zaidi na wala sio sheria kama ambavyo wewe Mmakonde au Mkwere au Mpogoro uende ndani kabisa wanapoishi Wamasai ukatake kumposa binti yao. Kutakua na ile sociala protest ya jamii inayowazunguuka pale lakini sio sheria kwamba ukioa hapa ndio atatengwa au hautatambulika na watu wake

Ninachokiona kwenye uzi wako ni chuki dhidi ya Wasomali na mila zao, kwani wao ni miongozi mwa jamii chache zilizoendelea kushikilia mila zao kwa muda mrefu licha ya mabadiliko ya kiteknolojia yaliyopelekea mmomonyoko mkubwa wa kimaadili hasa kwa vijana dunia nzima

Wasomali wapo kila mahali na wanachanganyika vizuri tu na watu wengine ikiwemo wanawake wao kuolewa na watu wa tamaduni tofauti.Ndio maana kuna mtu amesema humu kwenye mchango wake kuwa wanawake wa Kisomali wanachukuliwa na Wakinga na wanaume wa makabila mengine. Ni kwamba hiyo ipo siku nyingi na wala sio jana au leo.

Hebu tuonyeshe hao Wasomali wanaopiga kelele dunia nzima kwa huyo msichana wa Kisomali kutaka kuolewa na Diamond. Pengine kama kuna kelele ni labda za kuhisi binti yao aliyelelewa kwenye maadili anapigana mabusu hadharani mbele ya kamera na mwanaume ambaye sio mumewe, na hilo linaweza likawakasirisha jamii yoyote yenye kujitambua. nadhani huyo binti angekua ni dada yako aua binti yako nawe pia usingeona fahari kwa alichokifanya sio kwa sababu ya ubaguzi au imani
 
Back
Top Bottom