Wasomali wamjia juu binti yao kwa kumlilia Diamond

Wasomali wamjia juu binti yao kwa kumlilia Diamond

mwanamke hana dini wala kabila. mwanaume mistari kila kitu. wasomali ,wahindi, masai ni watu wenye mila zao. baharia nyosha mistari mambo ya mila imepitwa na wakati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubaliana

Ila sio wasomali pekee hata watanzania wenzetu kutoka kule kwa Maalim usajiri mpya wa ACT wanatubagua kuoa mabinti zao wanatuita sisi WASWAHILI. SIJUI wao wazungu?
 
Mzuqa

Ile Jamii iliyoko Africa ambayo inadai wenyewe siyo waafrika ni jamii tofauti na marufuku katika mila yao kuchanganyikana na wengine hata kama ni dini moja wamemjia binti yao juu na kumponda.

Wasomali kutoka sehemu mbalimbali duniani kwa anzia Somalia Kwenye, ukanda wa Afrika mashariki, ulaya, Australia na Marekani wameonyesha kukasirishwa kwao waziwazi na binti yao huyo kukububujikwa na machozi baada ya kumuona diamond na kumkumbatia.

Wengine walienda mbali nakumponda atawezaje kumkumbatia Mwafrika na kulia.

Wengine waliponda huenda hata Mungu na mama yake hajawahi kuwalilia.

Ila uzuri ni kwamba watoto wengi wa kisomali waliozaliwa ulaya ama nje wamepevuka sana siku hizi wanajitambua.

Wasomali wa huku skendinevia wanatuita sisi waafrika wengine Njeree. Marufuku sisi wanaume waafrika kutongoza, kutembea ama kuoa binti zao. Wanaweza kukuletea fujo hata wakikuona unaongozana na mwanamke wa kisomali.

Majuzi tu hapa Denmark walifanya juu chini kuvuruga harusi ya kijana wa kihausa kutoka Ghana kumuoa binti yao wa kisomali licha ya wote kuwana imani moja.


Mbona demu mbovu tu....
ww mtu mweusi..
 
Back
Top Bottom