Tatizo ni kwamba wasomali hawapendi kuwekwa kundi moja na waafika licha ya kuwa ni waafrika, wao hujiona waarabu lakini hata hao waarabu wanawaona ni waafrika, kiufupi wao hawana strong bond na waafrika wengine, ukiingia jamiiforums yao inayoitwa somalinet utakutana na nyuzi nyingi sana zikiwaponda waafrika wengine hasa wabantu, Ni kwamba wabantu ni ngumu kuishi kukiwa na wasomali wenye power aidha economically, popilation au kisiasa.
Sehemu kubwa ya Nairobi yenye Maendeleo ni East Leigh, sehemu hii karibu 90% ni wasomali wamejaa + kumiliki biashara. mfano Hapa ni majuzi, Rais wa Somali kaalikwa na wasomali wa Eastleigh kuwa mgeni rasmi wa kufungua mall kubwa zaidi Afrika mashariki na ya kati,
Kwenye Power nako wameanza kuingia, awamu hii ya Ruto kuna Mawaziri wanne, Sekta ya ulinzi na jeshini wasomali wamepenya vyeo vikubwa.