Kuna waafrika wabaguzi sana, na wadini sana. Hapo msomali unataka afanyiwe figisu mpaka waishiwe ndio mfurahi sio? Msomali atabakia msomali na hawezi kuwa mwafrika, na mwafrika hawezi kuwa msomali, ndivyo ilivyo kwa waarabu, wahindi na wazungu. Sasa wao hujiona sio waafrika, unataka wawe waafrika kwa lazima!!
Hizi nchi zilizo na manaswara ni tabu tupu, ukiwa muislamu utafanyiwa zengwe kukwamishiwa mambo yako, ukiwa mtu wa race flani utafanyiwa figisu sana sana ili wasione unafanikiwa. Roho mbaya na hasadi zinawatesa.