Wasomali wanazidi kukuwa kiuchumi, population na power Nairobi, wao hujiona sio waafrika, Je kuna hatari kwa wakenya weusi dorminance yao ikizidi ?

Kwani waarabu sio waafrica
Ukishasema Arabs tayari unawatoa Africa.. Arabs ni wavamizi tu kila maeneo ile hali ya uislam kuoa wake wanne ndio ilileta balaa vizazi vinaongezeka sawa na wazaa mapacha.. Egypt, Mauritania,Algeria, Morocco japo wamasema Morocco sio Arabs ni jamii furani iliyohamia Africa then Arabs akaingia humo, Sudan, Tunisia
 
Hapa umebugi, ukabila upo Kenya ila sio kwa kiwango hiki ulichoaminishwa.
Wapo wasomali wengi raia wa Kenya, wana mkoa wao kabisa, Wasomali ni watu wenye hulka ya kujituma, sema dini ya uislamu ndio iliwachelewesha sana na kusababisha waharibu nchi yao, kila wakijaribu kunyanyuka wanapigana kila mmoja akisema Akbar Akbar.
usiingize dini kwa vitu vya uongo,wasomali hawaoigani kwa ajiki ya dini
 
Uis
Hapa umebugi, ukabila upo Kenya ila sio kwa kiwango hiki ulichoaminishwa.
Wapo wasomali wengi raia wa Kenya, wana mkoa wao kabisa, Wasomali ni watu wenye hulka ya kujituma, sema dini ya uislamu ndio iliwachelewesha sana na kusababisha waharibu nchi yao, kila wakijaribu kunyanyuka wanapigana kila mmoja akisema Akbar Akbar.
Uislam ni upumbvu kabisa. Imagine unampigania mungu asidharirike🤣🤣🤣🤣
 
mwamba trump awashugulike hawa makobaz...wanaihangaisha dunia popote walipoo
 
Tatizo ni kwamba wasomali hawapendi kuwekwa kundi moja na waafika licha ya kuwa ni waafrika, wao hujiona waarabu lakini hata hao waarabu wanawaona ni waafrika, kiufupi wao hawana strong bond na waafrika wengine, ukiingia jamiiforums yao inayoitwa somalinet utakutana na nyuzi nyingi sana zikiwaponda waafrika wengine hasa wabantu, Ni kwamba wabantu ni ngumu kuishi kukiwa na wasomali wenye power aidha economically, popilation au kisiasa.

Sehemu kubwa ya Nairobi yenye Maendeleo ni East Leigh, sehemu hii karibu 90% ni wasomali wamejaa + kumiliki biashara. mfano Hapa ni majuzi, Rais wa Somali kaalikwa na wasomali wa Eastleigh kuwa mgeni rasmi wa kufungua mall kubwa zaidi Afrika mashariki na ya kati,

View attachment 3006826

Kwenye Power nako wameanza kuingia, awamu hii ya Ruto kuna Mawaziri wanne, Sekta ya ulinzi na jeshini wasomali wamepenya vyeo vikubwa.
Huyo bodyguard wa rais mbona kakonda hivo?
Lishe kwa wasomali wengi ni tatizo itakuwa
 
Kuna waafrika wabaguzi sana, na wadini sana. Hapo msomali unataka afanyiwe figisu mpaka waishiwe ndio mfurahi sio? Msomali atabakia msomali na hawezi kuwa mwafrika, na mwafrika hawezi kuwa msomali, ndivyo ilivyo kwa waarabu, wahindi na wazungu. Sasa wao hujiona sio waafrika, unataka wawe waafrika kwa lazima!!

Hizi nchi zilizo na manaswara ni tabu tupu, ukiwa muislamu utafanyiwa zengwe kukwamishiwa mambo yako, ukiwa mtu wa race flani utafanyiwa figisu sana sana ili wasione unafanikiwa. Roho mbaya na hasadi zinawatesa.
Umenifanya nirudi kusoma upya ili nijiridhishe na hayo malalamiko yako; mbona sijapona mahali ambapo mleta UZI kaonesha hata robo ya unacho mlalamikia? Au wewe ndio una chuki na baadhi ya watu? Halafu sometimes guys mnatakiwa kua mnamwogopa Mungu badala ya kua watii wa dini. Popote walipo Waislamu hakunaga amani, mkitibua amani mnakimbilia kwa hao unawaita Malnaswala. Zanzibar tu hapo mfano mdogo; wabunge wao wapo Dodoma (kwetu ) lakini mtu hata aibu hana, hataki twende kwao; yaani yupo kwetu, tunamlisha na kiwafanya wanae waliopo kule waende chooni lakini hataki twende kwao. Hakuna sehemu kwenye hi dunia, Waislamu wanakimbiliaga kwa Waislamu wenzao; HAKUNA. Libya hawakimbilii Morocco au Misri kwa majirani zao, wanakimbilia Spain, yaani wanavuka maji kabisaa. Nyie ni wachoyo na waongo waongo na hamnaga shukurani
 
mwamba trump awashugulike hawa makobaz...wanaihangaisha dunia popote walipoo
Alishindwa kuwashughulikia miaka yake minne alivyokuwa raisi aweze leo unadhani marekani inaendeshwa kwa hisia? Unajua saudi arabia na mbs imewekeza pesa kiasi gani kwa familia ya trump na marekani?
 
Umenifanya nirudi kusoma upya ili nijiridhishe na hayo malalamiko yako; mbona sijapona mahali ambapo mleta UZI kaonesha hata robo ya unacho mlalamikia? Au wewe ndio una chuki na baadhi ya watu? Halafu sometimes guys mnatakiwa kua mnamwogopa Mungu badala ya kua watii wa dini. Popote walipo Waislamu hakunaga amani, mkitibua amani mnakimbilia kwa hao unawaita Malnaswala. Zanzibar tu hapo mfano mdogo; wabunge wao wapo Dodoma (kwetu ) lakini mtu hata aibu hana, hataki twende kwao; yaani yupo kwetu, tunamlisha na kiwafanya wanae waliopo kule waende chooni lakini hataki twende kwao. Hakuna sehemu kwenye hi dunia, Waislamu wanakimbiliaga kwa Waislamu wenzao; HAKUNA. Libya hawakimbilii Morocco au Misri kwa majirani zao, wanakimbilia Spain, yaani wanavuka maji kabisaa. Nyie ni wachoyo na waongo waongo na hamnaga shukurani

"Walipo waislamu hakunaga amani"

Mpaka leo hujui amani inavurugwa na nani! Wewe hata kama huna dini ila usie biased.
 
Nimeweka vingi mule, uchoyo na uongo pia; so umekubaliana na mengine isipokua hilo la amani?
Haya nambie; nani anasababisha Somalia kusiwe na amani? Nani anasababisha Nigeria kaskazini kuliko na Waislamu wengi kusiwe na amani? Again unajua chanzo cha vita ya kule Nigeria kupitia kikundi cha Islamic extremists? Boko Haram? Hawataki elimu hi tunayo fundishwa shule; yaani hicho ndio kinasababisha mauaji na utekaji ule; hilo nalo unataka kumsingizia nani kaka? Mifano ipo mingi hata hapa Tanzania na tusijifanye vipofu. Mamlaka sehemu nyingi zimekua zinatumia mkono wa chuma ili msilete fujo; demokrasia na Uislam ni maji ma mafuta; havipatanagi
 
Wazungu wamewaingiza chaka, unataka kusema alshabaab ni kikundi cha dini! Uislamu ndio umeagiza wafanye hayo! Ipo siku mtaelewa
 
Hapa umebugi, ukabila upo Kenya ila sio kwa kiwango hiki ulichoaminishwa.
Wapo wasomali wengi raia wa Kenya, wana mkoa wao kabisa, Wasomali ni watu wenye hulka ya kujituma, sema dini ya uislamu ndio iliwachelewesha sana na kusababisha waharibu nchi yao, kila wakijaribu kunyanyuka wanapigana kila mmoja akisema Akbar Akbar.
uislam unaivuruga sn Afrika
 
Wazungu wamewaingiza chaka, unataka kusema alshabaab ni kikundi cha dini! Uislamu ndio umeagiza wafanye hayo! Ipo siku mtaelewa
kwamb dunia nzima waislam hawana akili wanawasikiliza makafir wazungu ? hiz hoja za kujificha nyuma ya wazungu ni kujitukana kuwa akili zenu ni zero mpk mzungu awaongoze nn cha kufanya kweny dini ya mnyaz mung
 
Wakalenjin na wakikuyu hawataruhusu hiyo dominance itokee.
Mark my word kaka.
Hao wasomali hawakutakiwa hata kujiunga EAC sema basi tu hawa viongozi wa sasa sijui wameona nini na kuiruhusu.
jamii zao zipo kwetu huku na wanaleta matatizo kibao , kuyatatua lzm wawe ndan ya umoja huu ili tuwe na kauli kwa serikali yao
 
Wao wanajutambua ni wasomali zaidi, hawataki kuwekwa kundi moja na waafrika
Waafrika wapo kwenye makundi yafuatayo
  1. Khoisan-bushmen wa namibia na botswana wanamacho kama ya kichina
  2. Niger congo b (bantu)
  3. Niger conga a (west afrika nigeria mpaka senegal)
  4. Nilotic wamasai na watu wa sudan kusini
  5. Kush ambao ni watusi, wasomal na waethiopia
Wasomali ni waafrika kuna mda najiuliza huko shuleni mlienda kusoma au kukua
 
Back
Top Bottom