Zouzoutz
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 1,883
- 2,732
AaahaaaUkienda maeneo ya South C,Kitegela na mji wa mombasa majengo makubwa na hoteli zote ni za wasomali,wakenya wanachomiliki ni kingereza tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AaahaaaUkienda maeneo ya South C,Kitegela na mji wa mombasa majengo makubwa na hoteli zote ni za wasomali,wakenya wanachomiliki ni kingereza tu
AaahaaaKwani wewe hutaki kwenda kufanya ngono peponi na mabikira 72? Hakuna kulala ni kupigana miti tu,pembeni kuna Osama bin laden, Mullah Omary,Alzawahil,muddy, Marehemu rais wa Iran etc etc
Mjaluo na Mkikuyu hawateki Meli na Msomali anateka Meli halafu anaingiza Pesa yake Nairobi ananunua Mtaa mzima.wale wakikuyu na wajaluo
e bibi ya gidion moi mbona unachuki na waislamu walikufanya nini?Hapa umebugi, ukabila upo Kenya ila sio kwa kiwango hiki ulichoaminishwa.
Wapo wasomali wengi raia wa Kenya, wana mkoa wao kabisa, Wasomali ni watu wenye hulka ya kujituma, sema dini ya uislamu ndio iliwachelewesha sana na kusababisha waharibu nchi yao, kila wakijaribu kunyanyuka wanapigana kila mmoja akisema Akbar Akbar.
Umoja, kama walivyo , wahindi, waarabu, wachaga, wakinga, waha. Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu. Fedha itazunguka Kati Yao kabla hamjatoka nje , hivyo kukuza biashara zao.Hivi siri ya Mafanikio yao nini?!
Hiyo Strategy nzuri sana.Umoja, kama walivyo , wahindi, waarabu, wachaga, wakinga, waha. Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu. Fedha itazunguka Kati Yao kabla hamjatoka nje , hivyo kukuza biashara zao.
Pia wamesoma sanaKenya wanafanikiwa kwa sababu siyo Wakenya wote ni Wasomali. Wakiwa pekeyao hawawezi kufanikiwa.
Ndiyo maana kote duniani Wasomali wanafanikiwa wakiwa kwenye nchi zenye makafiri wengi
Hapa ndio mnaponishangaza, Yesu ametajwa kwenye kitabu chenu na mnamtambua kama Nabii wa Mungu hamuishi kumkejeli na kumkebehi. Bikira Maria pia katajwa kwenye kitabu chenu ila ona unachoandika hapa?! Kulikuwa na namna nzuri ya kumjibu huyo jamaa kuliko hicho ulichoandika. Hapo ni dhahiri unakejeli kitabu chako.Katika hao mabikra 72 je na bikra wenu Maria yumo? Kama yumo niwekee oder nije nimtoe rinder
Na huu ndio ujinga kwenye dini. Umewahi kufa? Umewahi kukutana na Mungu akakuambia dini yako ni ndio yenyewe hawa wengine nitawachoma moto?Kwa hakika Makafiri wamepotea laiti wangelitambua! Ahsante kaka kwa kunirekebisha
Usijifanye mjuaje kumbe kinyesi tu! Yesu na Nabii Essa ni vitu viwili tofauti, Mariam na Maria ni watu tofauti.Hapa ndio mnaponishangaza, Yesu ametajwa kwenye kitabu chenu na mnamtambua kama Nabii wa Mungu hamuishi kumkejeli na kumkebehi. Bikira Maria pia katajwa kwenye kitabu chenu ila ona unachoandika hapa?! Kulikuwa na namna nzuri ya kumjibu huyo jamaa kuliko hicho ulichoandika. Hapo ni dhahiri unakejeli kitabu chako.
Maneno mengi kumbe ushuzi tu, si bora mimi ninae a mini Islam kuliko nyinyi makafiri mnaamini mtu anakunya na kujamba eti ndio mungu wenu??? Mtu huyo alieuliwa msalabani kwa akili ya kawaida mungu gani auliwe na aliewaumba?? Nyinyi si ndio mnaoabudu lisanamu la yesu na Maria???Na huu ndio ujinga kwenye dini. Umewahi kufa? Umewahi kukutana na Mungu akakuambia dini yako ni ndio yenyewe hawa wengine nitawachoma moto?
For the love of God just for once come to your sense. Chukulia Wewe ni Muislamu unaswali Swala tano lakini kila ukitoka swala ni lazima upitie kuiba ndio urudi. Halafu jirani yako haamini katika dini yoyote isipokuwa anaishi kwenye upendo tu, asichopenda kutendewa hamtendei mwingine. Mwisho wa siku nani ana nafasi ya kuiona pepo kati ya nyie wawili?
Unahisi dini inakusaidia nini ikiwa wewe ni jambazi na mnyang'anyi?
Unaweza kutoa pesa ya mwisho kupeleka sadaka nyumba ya ibada wakati nyumbani watoto hawajala?
Huoni kwamba dini ni jambo la ziada baada ya matendo yako?
Unaweza kumtofautisha Mungu na Dini?
Unaweza kutofautisha Imani na Dini?
Uzuri hata ambae hajamskia Mungu naye atahukumiwa tu kwa matendo yake, kwa sababu binadamu anajua lipi jema lipi baya automatically.
Actually ugomvi wa wasomali ni between clans. Wasomali wapo organized in Clans (wenyewe wanaziita ni quabil i.e kabila)..Hapa umebugi, ukabila upo Kenya ila sio kwa kiwango hiki ulichoaminishwa.
Wapo wasomali wengi raia wa Kenya, wana mkoa wao kabisa, Wasomali ni watu wenye hulka ya kujituma, sema dini ya uislamu ndio iliwachelewesha sana na kusababisha waharibu nchi yao, kila wakijaribu kunyanyuka wanapigana kila mmoja akisema Akbar Akbar.
kwanini wasijenge kwaoKuna waafrika wabaguzi sana, na wadini sana. Hapo msomali unataka afanyiwe figisu mpaka waishiwe ndio mfurahi sio? Msomali atabakia msomali na hawezi kuwa mwafrika, na mwafrika hawezi kuwa msomali, ndivyo ilivyo kwa waarabu, wahindi na wazungu. Sasa wao hujiona sio waafrika, unataka wawe waafrika kwa lazima!!
Hizi nchi zilizo na manaswara ni tabu tupu, ukiwa muislamu utafanyiwa zengwe kukwamishiwa mambo yako, ukiwa mtu wa race flani utafanyiwa figisu sana sana ili wasione unafanikiwa. Roho mbaya na hasadi zinawatesa.
YaapNi kama Kimasai?!
wao wanaita makabila dhaifu siyo koo wao wanaonana kama makabila kwadababu koo zao n kubwa balaaukabila upo lakini wana tatizo kubwa zaidi linaitwa clanissm (ukoo lism), Yani mnaweza kuwa kabila moja lakini kuna vita, ubaguzi, kunyanyasana kwa ngazi za ukoo.
View attachment 3007043
Mimi sio mkenya lakini wasomali wana umoja sana Uingereza kuna supermarket zinaendeshwa na wasomali kila moja anashika kitengo chake. Unakuta ni ubia wa watu wengi kuna wanaosimamia kitengo cha matunda, Nyama, Bakery na spices kila mtu anasimama katika kitengo chake.Tatizo ni kwamba wasomali hawapendi kuwekwa kundi moja na waafika licha ya kuwa ni waafrika, wao hujiona waarabu lakini hata hao waarabu wanawaona ni waafrika, kiufupi wao hawana strong bond na waafrika wengine, ukiingia jamiiforums yao inayoitwa somalinet utakutana na nyuzi nyingi sana zikiwaponda waafrika wengine hasa wabantu, Ni kwamba wabantu ni ngumu kuishi kukiwa na wasomali wenye power aidha economically, popilation au kisiasa.
Sehemu kubwa ya Nairobi yenye Maendeleo ni East Leigh, sehemu hii karibu 90% ni wasomali wamejaa + kumiliki biashara. mfano Hapa ni majuzi, Rais wa Somali kaalikwa na wasomali wa Eastleigh kuwa mgeni rasmi wa kufungua mall kubwa zaidi Afrika mashariki na ya kati,
View attachment 3006826
Kwenye Power nako wameanza kuingia, awamu hii ya Ruto kuna Mawaziri wanne, Sekta ya ulinzi na jeshini wasomali wamepenya vyeo vikubwa.