Tatizo ni kwamba wasomali hawapendi kuwekwa kundi moja na waafika licha ya kuwa ni waafrika, wao hujiona waarabu lakini hata hao waarabu wanawaona ni waafrika, kiufupi wao hawana strong bond na waafrika wengine, ukiingia jamiiforums yao inayoitwa somalinet utakutana na nyuzi nyingi sana zikiwaponda waafrika wengine hasa wabantu, Ni kwamba wabantu ni ngumu kuishi kukiwa na wasomali wenye power aidha economically, popilation au kisiasa.
Sehemu kubwa ya Nairobi yenye Maendeleo ni East Leigh, sehemu hii karibu 90% ni wasomali wamejaa + kumiliki biashara. mfano Hapa ni majuzi, Rais wa Somali kaalikwa na wasomali wa Eastleigh kuwa mgeni rasmi wa kufungua mall kubwa zaidi Afrika mashariki na ya kati,
Your browser is not able to display this video.
Kwenye Power nako wameanza kuingia, awamu hii ya Ruto kuna Mawaziri wanne, Sekta ya ulinzi na jeshini wasomali wamepenya vyeo vikubwa.
Juhudi binafsi.. sema Wasomali siri zao wanazijua wenyewe utakuta hiyo Mall ni mali ya raisi huyo huyo anayekuja kuifungua... For Sure hata me nilienda Nairobi miaka furahi maduka ya Simu mengi na spare ni ya wasomali.. Hongereni sana japo sijala Mandi siku nyingi... kisa kibaya kuna Mama alinitobolea matairi ya gari langu miaka furani kisa lipo karibu na nyumba aliyopanga nilishikwa sana na hasira bora angetoa upepo tu ila katia kisu rubber zote japo sijawahi msamehe yule bibi ila kwa sasa nimesahahu namsamehe moyoni

Wasomali wanatumika kwa vile hawana mfungamano na makabila mkubwa yenye migogoro...Wasomali ni rahisi kupata wateja ila wale wakikuyu na wajaluo wnaangaliana kweny ukabila mpaka kweny biashara.
Wasomali wanatumika unakuta mall ya mtu fulani , anatumia wasomali apate wateja wote kama ilivyo kwa waarabu hapa bongo wanavyofanya kuendesha biashara za wanasiasa .

Hapa umebugi, ukabila upo Kenya ila sio kwa kiwango hiki ulichoaminishwa.
Wapo wasomali wengi raia wa Kenya, wana mkoa wao kabisa, Wasomali ni watu wenye hulka ya kujituma, sema dini ya uislamu ndio iliwachelewesha sana na kusababisha waharibu nchi yao, kila wakijaribu kunyanyuka wanapigana kila mmoja akisema Akbar Akbar.

ukabila upo lakini wana tatizo kubwa zaidi linaitwa clanissm (ukoo lism), Yani mnaweza kuwa kabila moja lakini kuna vita, ubaguzi, kunyanyasana kwa ngazi za ukoo.
Sehemu kubwa ya Nairobi yenye Maendeleo ni East Leigh, sehemu hii karibu 90% ni wasomali wamejaa + kumiliki biashara. mfano Hapa ni majuzi, Rais wa Somali kaalikwa na wasomali wa Eastleigh kuwa mgeni rasmi wa kufungua mall kubwa zaidi Afrika mashariki na ya kati,
PESA ZA KUTEKA MELI NA UFADHILI WA MAGAIDI ZINAWATOA SANA.
Kipindi cha kuteka meli pesa nyingi zilikuwa zinapokelewa south afrika sehemu jozi huko my fair na kwenda nairobi.
Sehemu kubwa ya Nairobi yenye Maendeleo ni East Leigh, sehemu hii karibu 90% ni wasomali wamejaa + kumiliki biashara. mfano Hapa ni majuzi, Rais wa Somali kaalikwa na wasomali wa Eastleigh kuwa mgeni rasmi wa kufungua mall kubwa zaidi Afrika mashariki na ya kati,
Hapa umebugi, ukabila upo Kenya ila sio kwa kiwango hiki ulichoaminishwa.
Wapo wasomali wengi raia wa Kenya, wana mkoa wao kabisa, Wasomali ni watu wenye hulka ya kujituma, sema dini ya uislamu ndio iliwachelewesha sana na kusababisha waharibu nchi yao, kila wakijaribu kunyanyuka wanapigana kila mmoja akisema Akbar Akbar.
Kwani wewe hutaki kwenda kufanya ngono peponi na mabikira 72? Hakuna kulala ni kupigana miti tu,pembeni kuna Osama bin laden, Mullah Omary,Alzawahil,muddy, Marehemu rais wa Iran etc etc
Sehemu kubwa ya Nairobi yenye Maendeleo ni East Leigh, sehemu hii karibu 90% ni wasomali wamejaa + kumiliki biashara. mfano Hapa ni majuzi, Rais wa Somali kaalikwa na wasomali wa Eastleigh kuwa mgeni rasmi wa kufungua mall kubwa zaidi Afrika mashariki na ya kati,
Sehemu kubwa ya Nairobi yenye Maendeleo ni East Leigh, sehemu hii karibu 90% ni wasomali wamejaa + kumiliki biashara. mfano Hapa ni majuzi, Rais wa Somali kaalikwa na wasomali wa Eastleigh kuwa mgeni rasmi wa kufungua mall kubwa zaidi Afrika mashariki na ya kati,
Kuna waafrika wabaguzi sana, na wadini sana. Hapo msomali unataka afanyiwe figisu mpaka waishiwe ndio mfurahi sio? Msomali atabakia msomali na hawezi kuwa mwafrika, na mwafrika hawezi kuwa msomali, ndivyo ilivyo kwa waarabu, wahindi na wazungu. Sasa wao hujiona sio waafrika, unataka wawe waafrika kwa lazima!!
Hizi nchi zilizo na manaswara ni tabu tupu, ukiwa muislamu utafanyiwa zengwe kukwamishiwa mambo yako, ukiwa mtu wa race flani utafanyiwa figisu sana sana ili wasione unafanikiwa. Roho mbaya na hasadi zinawatesa.
Sehemu kubwa ya Nairobi yenye Maendeleo ni East Leigh, sehemu hii karibu 90% ni wasomali wamejaa + kumiliki biashara. mfano Hapa ni majuzi, Rais wa Somali kaalikwa na wasomali wa Eastleigh kuwa mgeni rasmi wa kufungua mall kubwa zaidi Afrika mashariki na ya kati,
Ndio wao wasomali, na wanajitambua hivyo, wako sahihi kabisaa. Kama ilivyo nchi za kaskazini Morocco au algeria, wao ni waarabu na sio waafrika ila ni waarabu wa Afrika. Hata wakijiita wao ni waarabu pia wako sahihi haswaa.
Wasomali wanatumika kwa vile hawana mfungamano na makabila mkubwa yenye migogoro...Wasomali ni rahisi kupata wateja ila wale wakikuyu na wajaluo wnaangaliana kweny ukabila mpaka kweny biashara.
Wasomali wanatumika unakuta mall ya mtu fulani , anatumia wasomali apate wateja wote kama ilivyo kwa waarabu hapa bongo wanavyofanya kuendesha biashara za wanasiasa .
Umesahau kusema pia kwamba Wasomali wana ndugu zao wengi huko nje Ulaya, Marekani na Uarabuni ambao wanawapa michongo ya biashara, mbinu mbalimbali za kukwepa kodi, kusafirisha na kuficha pesa za kila aina.