Wasomi elimu isiwapumbaze mnapishana na fursa nyingi

Indeed , wanaleta swagger kwenye maisha, ubishoo na u sister duu wa kuchagua chagua ndo huwapeleka kwenye depression
 
Mkuu Kuna kitu kinaitwa UNYONYAJI kuna siku nikitulia nitaandika uzi nielezee, vijana wengi wanakumbana na hio situation bila msaada wowote wa watu wa Serikali hususani viwandani
 
Dah inasikitisha sana, mimi muda mwingine naona vijana kusoma mpaka huko juu ni kama wanawaharibu ubongo wao "Brainwashed" maana hawana maono wao maisha ni kazi wavae tai.[emoji16] ilikuwa zamani hio.
Wakija mtaani wakakutana na hali tofauti wanachanganyikiwa na kupata msongo wa mawazo , coz wana high expectation than reality
 
Baadhi wamejazana kule Tweeter wanajiita majobless sie wote tumesoma na tunalowa maoil, waje kitaa tupambanie goli, kwenye white colar walioitwa ni wengi wateule wachache
 
Baadhi wamejazana kule Tweeter wanajiita majobless sie wote tumesoma na tunalowa maoil, waje kitaa tupambanie goli, kwenye white colar walioitwa ni wengi wateule wachache
Nakubali mkuu [emoji817]
 
Huna akili , kwa hiyo wewe kilaza na akili yako fupi kama mkia wa mbuzi unataka watu wawe wanasoma mpaka chuo kikuu halafu warudi kufanya kazi za kipumbavu kama hizo ? Tena wengi wamezoea hawa kwa pesa za serikali ,hizo pesa za walipa kodi si bora zingetumika kufanya vitu vya msingi ? ,Yaani mtu asome awe Engineer ,doctor , mwanasheria nk aje kuuza uji na kufanya usenge mwingine ,aisee ,kuna watu ni mataahira sana

Ninyi ngumbaru mna matatizo sana ya akili , huko kuuza uji na kufanya kazi za kipumbavu kama hizo kuna leta tija gani kiuchumi kwenye taifa ? , Pumbav , kauze uji na kutembeza chupi za wanawake mwenyewe , acha kupangia watu maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…