Wasomi hawa wafuatao, wafikishwe mahakamani haraka sana!

Sayansi ya kweli ilikufa na akina Archimedes na akina Newton huko. Siku hizi anayefadhili utafiti ndiye anayeamua matokeo ya utafiti huo yaweje. Ndiyo maana siku hizi unakuta utafiti unahusu kitu kile kile lakini matokeo yake yanakinzana.

Majuzi hapa ukatoka utafiti huko US eti watu wanaokula kitimoto wanaishi maisha marefu, wakati inajulikana kwamba ulaji wa nyama nyekundu unaweza kuleta matatizo lukuki ya afya yakiwemo lehemu mbaya, magonjwa ya moyo, unene n.k. Kuja kufuatilia kumbe utafiti ulikuwa umefadhiliwa na chama cha umoja wa wafuga nguruwe! 😁😁😁😁

Tumefika mahali hata kwenye sayansi inakubidi akili za kuambiwa uchanganye na zako!
Kawaida la elimu yetu hatuna cha kuuliza zaidi tunafuata vilivyowekwa la sivyo unafeli..
 
Wote waliokaa kitako kuitishia serikali ya awamu ya tano kwamba, iachane na ujenzi wa Bwawa la Umeme huko Rufiji kwa sababu kutasababisha madhara makubwa, moja wapo ni kutokunyesha mvua nchini, kwani miti itakayokatwa, inatosha kabisa kuifanya nchi yetu isiwe inapata mvua.

Kama utafiti wao ni kweli, Hizi mvua zinatokana na nini?

Naishauri Serikali, kama kweli tumedhamiria kupiga hatua za kimaendeleo, wasomi aina hii ya watu waongo kiasi kile, wachukuliwe hatua kali ili iwe fundisho kwa wasomi wengine wenye nia ya kupotosha.

Poleni watu wa Dar kwa mafuriko, watu wa Hanang'i, kule Morogoro, Geita, Mwanza n.k, Pole na hongera pia kwa Serikali kwa kuwajali wahanga wa mafuriko na kuwapatia vifaa vingi vya kibinadamu.

Shida yoote hii huwenda inasababishwa na wasomi waongo, wachumia tumbo, kwa kuwa wamekuwa wakifanya tafiti za kiulaghai bila kizingatia masilahi ya nchi yetu kwanza.

Mungu ibariki TANZANIA

R.I.P Magufuli
 
Wote waliokaa kitako kuitishia serikali ya awamu ya tano kwamba, iachane na ujenzi wa Bwawa la Umeme huko Rufiji kwa sababu kutasababisha madhara makubwa, moja wapo ni kutokunyesha mvua nchini, kwani miti itakayokatwa, inatosha kabisa kuifanya nchi yetu isiwe inapata mvua.

Kama utafiti wao ni kweli, Hizi mvua zinatokana na nini?

Naishauri Serikali, kama kweli tumedhamiria kupiga hatua za kimaendeleo, wasomi aina hii ya watu waongo kiasi kile, wachukuliwe hatua kali ili iwe fundisho kwa wasomi wengine wenye nia ya kupotosha.

Poleni watu wa Dar kwa mafuriko, watu wa Hanang'i, kule Morogoro, Geita, Mwanza n.k, Pole na hongera pia kwa Serikali kwa kuwajali wahanga wa mafuriko na kuwapatia mahitaji na vitu kadha wa kadha vya kibinadamu.

Hongera nyingi zimwendee Hayati Magufuli kwa kuwapuuza hawa wasomi njaa na kuendelea kujenga hiki kituo kikubwa kabisa nchini cha kuzalishia Umeme, si ajabu hata hao wasomi watanufaika na umeme huo

Professor Muhongo anakusikia!
 
Elimu ya mzungu haipo sawa 100% zaidi ya assumption ambazo tumekariri na kuaminishwa.

Unakuta mtu anachambua mambo ambayo yameandikwa na binadamu mwenzake. Inawezekana miaka ijayo watu wakaja na hoja nyingine.

Ndio maana inaitwa elimu ya mazingira.
Ipi ipo sawa 100%?
 
Wote waliokaa kitako kuitishia serikali ya awamu ya tano kwamba, iachane na ujenzi wa Bwawa la Umeme huko Rufiji kwa sababu kutasababisha madhara makubwa, moja wapo ni kutokunyesha mvua nchini, kwani miti itakayokatwa, inatosha kabisa kuifanya nchi yetu isiwe inapata mvua.

Kama utafiti wao ni kweli, Hizi mvua zinatokana na nini?

Naishauri Serikali, kama kweli tumedhamiria kupiga hatua za kimaendeleo, wasomi aina hii ya watu waongo kiasi kile, wachukuliwe hatua kali ili iwe fundisho kwa wasomi wengine wenye nia ya kupotosha.

Poleni watu wa Dar kwa mafuriko, watu wa Hanang'i, kule Morogoro, Geita, Mwanza n.k, Pole na hongera pia kwa Serikali kwa kuwajali wahanga wa mafuriko na kuwapatia mahitaji na vitu kadha wa kadha vya kibinadamu.

Hongera nyingi zimwendee Hayati Magufuli kwa kuwapuuza hawa wasomi njaa na kuendelea kujenga hiki kituo kikubwa kabisa nchini cha kuzalishia Umeme, si ajabu hata hao wasomi watanufaika na umeme huo

Shida yoote hii huwenda inasababishwa na wasomi waongo, wachumia tumbo, kwa kuwa wamekuwa wakifanya tafiti za kiulaghai bila kizingatia masilahi ya nchi yetu kwanza.

Mungu ibariki TANZANIA
Makonda yupo Tabora watu wanasombwa kwenye mabasi ya NBS... kuna mtoa taarifa wangu ananiambia kuna land cruiser ubavuni MPANGO WA TAITA WA UDHIBITI KIFUA KIKUU NA UKOMA WIZARA YA AFYA NA MAENDELEO YA JAMII JINSIA WAZEE NA WATOTO MKOA WA TABORA. Imesomba watu sana na Sasa iko Kiloleni karibu na mataa free park lodge wananyonya mafuta ( kidebe) namba ya gari ni DFPA 7168 NAAMBIWA DEREVA ANAITWA TIMO...NI MTU WA IRINGA
 
Vipi wewe hujapewa mgao mkuu?
 
Elimu ya mzungu, pesa za tafiti zinatolewa na mzungu, lazima ujikute unaegemea kwenye nadharia zake tu vinginevyo utaonekana mganga wa kienyeji.....
Unashaurije kiongozo
 
Sayansi ya kweli ilikufa na akina Archimedes na akina Newton huko. Siku hizi anayefadhili utafiti ndiye anayeamua matokeo ya utafiti huo yaweje. Ndiyo maana siku hizi unakuta utafiti unahusu kitu kile kile lakini matokeo yake yanakinzana.

Majuzi hapa ukatoka utafiti huko US eti watu wanaokula kitimoto wanaishi maisha marefu, wakati inajulikana kwamba ulaji wa nyama nyekundu unaweza kuleta matatizo lukuki ya afya yakiwemo lehemu mbaya, magonjwa ya moyo, unene n.k. Kuja kufuatilia kumbe utafiti ulikuwa umefadhiliwa na chama cha umoja wa wafuga nguruwe! [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Tumefika mahali hata kwenye sayansi inakubidi akili za kuambiwa uchanganye na zako!
Sema tu utafiti unafanyika na unaingiliwa.Unakuta mtu akiwa KIONGOZI anakataa hadharan nas tunamwamin.Unategemea nn?
 
wote waliokaa kitako kuitishia serikali ya awamu ya tano kwamba, iachane na ujenzi wa Bwawa la Umeme huko Rufiji kwa sababu kutasababisha madhara makubwa, moja wapo ni kutokunyesha mvua nchini, kwani miti itakayokatwa, inatosha kabisa kuifanya nchi yetu isiwe inapata mvua.

Kama utafiti wao ni kweli, Hizi mvua zinatokana na nini?
We naye hujitambui, mtu kafanya utafiti sasa utamkamataje? Wao wali recommend kwamba baada ya bwawa kujengwa miti ifidiwe mahali pengine na Serikali ilifanya hivyo ilipanda sio chini ya miti million 1 within the vicinity.

Kingine mazingira ni suala mtambuka madhara yake hayaonekani ndani ya mwezi mmoja ila ecology ikiwa disturbed inaweza leta madhara miaka hata 25 ijayo, so kama hauna elimu ndio utapima impact za mazingira ndani ya miaka 5.

Nachoweza shauri kila mtu asimamie taaluma yake, kama madhara yanaweza kuwa mitigated basi mnafanya mradi kwa kufuata ushauri ila kusema kwamba tafiti ni za uongo na kuamini wanasiasa kuliko watafit ni kifo cha taifa lolote lile.
 
Back
Top Bottom