We naye hujitambui, mtu kafanya utafiti sasa utamkamataje? Wao wali recommend kwamba baada ya bwawa kujengwa miti ifidiwe mahali pengine na Serikali ilifanya hivyo ilipanda sio chini ya miti million 1 within the vicinity.
Kingine mazingira ni suala mtambuka madhara yake hayaonekani ndani ya mwezi mmoja ila ecology ikiwa disturbed inaweza leta madhara miaka hata 25 ijayo, so kama hauna elimu ndio utapima impact za mazingira ndani ya miaka 5.
Nachoweza shauri kila mtu asimamie taaluma yake, kama madhara yanaweza kuwa mitigated basi mnafanya mradi kwa kufuata ushauri ila kusema kwamba tafiti ni za uongo na kuamini wanasiasa kuliko watafit ni kifo cha taifa lolote lile.