Wasomi hawa wafuatao, wafikishwe mahakamani haraka sana!

Umetukosea sana tena sana wasomi kwa kumuweka Nape kwenye kundi la wasomi. Nape alikuwa sahihi kabisa kwa level yake ya elimu hata kama ukimwambia paka anaweza kumzaa nyangumi atakubali.
Mkuu, yeye yupo upande wa siasa mkuu, nitaedit aisee
 
Mpaka sasa utafiti huo umeleta impact ipi mkuu
 
Poleni watu wa Dar kwa mafuriko, watu wa Hanang'i, kule Morogoro, Geita, Mwanza n.k, Pole na hongera pia kwa Serikali kwa kuwajali wahanga wa mafuriko na kuwapatia mahitaji na vitu kadha wa kadha vya kibinadamu.
Mafuriko ya el Nino yanatokana na mgandamizo wa hewa huko mashariki ya mbali wala haina connection na miti ya Tanzania. Hata mvua zile za vuli huwa zinatokana na misitu ya Congo huko!! So geography inategemeana kwa nchi moja hadi nyingine na sio necessarily madhara yaonekane sehemu A pekee. Ukiwa na elimu ndogo haya mambo huwezi elewa utaongozwa na ushabiki.

Ni kama tu serikali JPM ilivyokua inakataza tusikate miti kwa ajili ya mkaa huko Selous je walikosea? Kisa tu mvua zinanyesha basi tuendelee kukata miti kwa ajili ya kuni? Au ikiwa vice versa ndio utapeli.


View: https://youtu.be/7hhfvrDm4Lc?si=9m4yt4sbsdcayxHp
Msikilize JPM mwenyewe akieleza madhara ya ukataji miti selous itakavyoathiri nchi miaka 23 ijayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…