Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,535
Kurundika vyuo vikuu vingi nchini ni kuongeza idadi ya masikini nchini, wasomi ni waoga kujaribu fursa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imagine wazazi wako masikini na wewe umemaliza chuo.Mambo mengine ni vichekesho kabisa hawa wasomi wa siku hizi wamekuwa na hoja dhaifu sana yaani mtu anarudi mtaani kufanya kazi aliyokuwa anaifanya mzazi au mlezi wake kwa taabu ili amsomeshe chuo halafu wanasema kajiongeza?
Kama ni hivyo kumbe hata anaeishia darasa la saba au form four halafu akaenda kutafuta maisha yake anajiongeza basi.
Huko sio kujiongeza ni mgangaji tu kama wangangaji wengine. minadhani ingekuwa amejiongeza kama angekuwa ametengeneza bajaji yake kwa ubunifu wake halafu ndio anaiendesha hapo sawa. Yaani kuwa dereva bajaji wa kawaida iwe inshu pengine hata bajaji sio yake anapeleka hesabu?! No! no! no! Ieleweke tu kwamba ameamua kuwa dereva wa bajaji kama kazi aliyoamua na si vinginevyo kuwaambia watu waige mfano wake eti kajiongeza. Kulikuwa na haja gani ya kusoma kote huko halafu uje kuendesha bajaji za watu angetengeneza yakwake tuone elimu ilivyo msaidia sio kwa hilo hapana bana.
Kwa hiyo lienda Chuo ili ajekuwa Derev Bajaji?View attachment 1660302
Tofauti na mawazo ya wengi kuwa ukisoma hadi chuo kikuu lazima uajiriwe, Mwasu Mavere ameonyesha upande mwingine wa shilingi, kwamba unaweza kujiajiri na kufanikiwa zaidi. Licha ya kuwa na shahada ya uzamili kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), yeye ameamua kuwa dereva wa pikipiki ya miguu mitatu (bajaji) akisafirisha abiria katikati ya makao makuu ya nchi, Dodoma.
Dada Mwasu anasema wasomi wengi wanatembea na bahasha miaka hadi mitatu bila kupata kazi, kumbe wangeuza hata karanga zingewaingizia kipato badala ya kuzunguka na vyeti. Hata hivyo, anasema mfanyabiashara msomi ni tofauti na asiyesoma, kwa kuwa ile elimu aliyonayo msomi anaitumia kufanya vizuri kwenye biashara zake. “Kuna wasomi wengi wanaendesha bajaji na bodaboda na wapo wengine wengi mtaani wanatafuta kazi, hawajajua kuwa kuna kazi ya kuendesha bajaji na kujipatia fedha kama walioajiriwa, hivyo niwatake waache kuchagua kazi,” alisema Mwasu alipozungumza na Mwananchi.
Mwasu alianza shughuli za usafirishaji abiria Desemba 2018 katika eneo la eneo la Royal Village, Dodoma lakini baada ya muda alihamia katikati ya mji ili kupata abiria wa pande zote. Anasema wasomi wengi wanatembea na bahasha miaka hadi mitatu bila kupata kazi, kumbe wangeuza hata karanga zingewaingizia kipato badala ya kuzunguka na vyeti.
Hata hivyo, anasema mfanyabiashara msomi ni tofauti na asiyesoma, kwa kuwa ile elimu aliyonayo msomi anaitumia kufanya vizuri kwenye biashara zake. “Kuna wasomi wengi wanaendesha bajaji na bodaboda na wapo wengine wengi mtaani wanatafuta kazi, hawajajua kuwa kuna kazi ya kuendesha bajaji na kujipatia fedha kama walioajiriwa, hivyo niwatake waache kuchagua kazi,” alisema Mwasu alipozungumza na Mwananchi.
Mwasu alianza shughuli za usafirishaji abiria Desemba 2018 katika eneo la eneo la Royal Village, Dodoma lakini baada ya muda alihamia katikati ya mji ili kupata abiria wa pande zote. “Elimu yangu ni masters, lakini mshahara mdogo niliokuwa nalipwa ndio uliosababisha nikaamua kuacha kazi na kujishughulisha na biashara mbalimbali ikiwemo kuuza nguo na hatimaye nikaanza kuendesha bajaji,” anasema.
Mwasu, mama wa watoto wawili anasema mshahara aliokuwa analipwa ambao haukukidhi mahitaji yake wala kuendana na kiwango chake cha elimu, ulisababisha akaichukia ajira akaamua kujiajiri mwenyewe.Alisema mwaka 2009 alihitimu shahada ya sociology and political science nchini Kenya na baada ya hapo alirudi nchini na kufanya kazi katika NGOs mbalimbali.
Ilifopika mwaka 2011 aliamua kujiendeleza katika Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) huku akiendelea kufanya kazi. Alihitimu mwaka 2013 shahada ya uzamili katika utawa (Masters of public adminstration). Alisema wakati anafanya kazi kwenye shirika lisilo la kiserikali la Afnet alikuwa programme officer na field officer baada ya muda akahamia katika shirika jingine la Ngonedo ambapo alikuwa monitoring and evaluation officer (ufuatiliaji na tathmini).
Mwasu alisema katika kipindi alichofanya kazi hakuwa na mshahara uliokuwa unazidi Sh390,000 kwa mwezi, ambao amesema haukuwa unakidhi mahitaji yake. Alisema kipindi hicho anafanya kazi alikuwa na mtoto mdogo, hivyo kutokana na mahitaji yake kuwa mengi na mshahara mdogo alipomaliza shahada ya uzamili aliamua kuacha kazi na kuanzisha biashara mbalimbali ikiwemo kuuza nguo. “Hela hiyo haikuwa inakidhi mahitaji yangu, mwisho wa siku nikaona ili nisiingie kwenye vishawishi vya kuiba fedha ofisini ili kukidhi mahitaji, bora niache kazi, niliona ni bora kujiajiri mwenyewe kuliko kuajiriwa kwani nilichokuwa ninalipwa hakilingani na elimu yangu.
“Wakati huo nafanya kazi, nilikuwa nakusanya hela kidogo kidogo na kuna siku nilienda field, pesa niliyolipwa na zile akiba zangu nikaamua kuanzisha biashara kwa mtaji wa Sh400,000. Nilikwenda Kariakoo (Dar es Salaam na kuchukua mzigo wa nguo na kuja kuuza Dodoma.” Alisema Mwasu, biashara yake ilikuwa vizuri na alikuwa anaingiza fedha kuliko zile alizokuwa analipwa wakati ameajiriwa.
Biashara hiyo aliifanya kwa muda mrefu hadi akawa anasafiri kwenda China pamoja na wafanyabiashara wengine kuchukua mzingo wa nguo na kuuza nchini. “Katika biashara kuna kuinuka, lakini pia unaweza kushuka. Biashara yangu ilikuja kuwa mbovu nikawa napata hasara, si kila siku ni kupata faida, hasara kwa mfanyabiashara haikwepeki nawakati huo tayari nilikuwa nishapata mtoto wa pili. “Licha ya hasara hiyo, sikukata tamaa badala yake nikaamua kubadilisha kazi ya kufanya. Niliamua kuachana na biashara kabisa na kuwa dereva bajaj,” alisema.
Endelea kufahamu Kilichomfanya aendeshe bajaji na Manufaa yake pamoja na Changamoto aipatayo kupitia link >>> Mwasu, dereva wa bajaj mwenye shahada mbili
View attachment 1660415
Kwani Mmiliki wa uber alienda chuo kusomea udereva taksi?Kwa hiyo lienda Chuo ili ajekuwa Derev Bajaji?
Mbona hiyo kazi wala haihitaji hata kwenda Kindergaten
Elimu ikifutwa tanzania itapendeza zaidi au u aonaje mkuu.Mfano wa kuigwa, sio kila siku kulia lia na kulaumu tu, kumbe maisha yako unayo wewe mkononi mwako, yaani wewe ndiyo unatakiwa kuyafanya unavyotaka na si kusubiri hisani kutoka kwa mwingine
Unadhani kwanini ifutwe?Elimu ikifutwa tanzania itapendeza zaidi au u aonaje mkuu.
Asante kwa maoni yenye tija kwa wanyenyekevu wa moyo !To be honest hizi comments za graduates wa humu and I'm pretty sure wengine since 2015 na mpaka leo wapo nyumbani wanaendelea kuwa mategemezi.
Comments zao zinadharirisha mfumo wa elimu.
Yaani ni hopeless.
I'm telling you kama hutonyanyuka kutoka hapo kwenu basi tegemea ufike 50 hapohapo sababu ajira ni ndoto in this period.
Msomi anayejitambua ni yule anayechukua ideas na opportunities ndogo then kuzikuza or if wanna wake up rich then you better keep dreaming because that's not gonna happen.
Or subiri wenye akili wazikuze then utaenda kuomba job and getting paid.
To be honest hizi comments za graduates wa humu and I'm pretty sure wengine since 2015 na mpaka leo wapo nyumbani wanaendelea kuwa mategemezi.
Comments zao zinadharirisha mfumo wa elimu.
Yaani ni hopeless.
I'm telling you kama hutonyanyuka kutoka hapo kwenu basi tegemea ufike 50 hapohapo sababu ajira ni ndoto in this period.
Msomi anayejitambua ni yule anayechukua ideas na opportunities ndogo then kuzikuza or if wanna wake up rich then you better keep dreaming because that's not gonna happen.
Or subiri wenye akili wazikuze then utaenda kuomba job and getting paid.
To be honest hizi comments za graduates wa humu and I'm pretty sure wengine since 2015 na mpaka leo wapo nyumbani wanaendelea kuwa mategemezi.
Comments zao zinadharirisha mfumo wa elimu.
Yaani ni hopeless.
I'm telling you kama hutonyanyuka kutoka hapo kwenu basi tegemea ufike 50 hapohapo sababu ajira ni ndoto in this period.
Msomi anayejitambua ni yule anayechukua ideas na opportunities ndogo then kuzikuza or if wanna wake up rich then you better keep dreaming because that's not gonna happen.
Or subiri wenye akili wazikuze then utaenda kuomba job and getting paid.
Matusi ya nini ? Jenga hoja tukueleweWewe ni mjinga mmojawapo. Ingefaa basi tuwasifie wale ambao hawakusoma na wanaendesha bajaji na bodaboda kuliko huyu aliesoma halafu anaenda kuwaingilia wasiosoma . Msomi anatakiwa aongeze value kwenye jamii . Huyu Ameongeza value gani kwenye jamii hata yake tuuu. Takataka ya UDOM.
Mpe moyo anaweza kua kiuchumi na kesho na kesho anaanzisha big business
'started from the bottom"-drake
[emoji123][emoji123][emoji123]
[emoji57][emoji57]Upuuzi mtupu!
Endelea kuhorojoka hapo na masters yako ya kuendesha bajaji.
Kweliiiii hatukusomea kuendesha bajaji waache upuuzi.Tujifunze nini sasa? Toa ujinga hapa.
Hatukusomea kuendesha bajaji sisi.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Mkuu zuckeberg alijifunza IT tokea akiwa secondary (Middle school) huko ndio alijua softwares kibao tu na akawa mzuri kwenye software developong alafu chuo alisoma Harvard tofauti ni kwamba hakumaliza tu ila alisoma chuo.Unadhani kwanini asiweze?
Mkuu wewe hautoshi kujitolea mfano ndani ya graduates karibu mill 6 hauwezi fika hata asilimia .05.
Still narudia hamuwezi kufanana mipango na mwingine hata kama muwe na elimu sawa au elimu ya shule ilifundisha kuongea na superstars kama hauna mtaji?
Yeah ila Zuckerberg hakuibuka tu na company from nowhere.
And nani amekwambia Zuckerberg amesomea IT
Wakati hata chuo hakumaliza?