Wasomi na majobless wenzangu tujitahidi walau tuwe na watoto au familia

Wasomi na majobless wenzangu tujitahidi walau tuwe na watoto au familia

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
6,788
Reaction score
16,227
Kwenu vijana wenzangu tuliopoteza muda wetu vyuoni na matokeo yake leo tupo mitaani bila ajira rasmi tunapambana na hali zetu..nataka niwakumbushe kitu hivi mnamkumbuka kiongozi mkubwa wa serikali aliesema atahakikisha vijana wote wasio na kazi rasmi mjini wanarudi kulima na matajiri atahakikisha wanalima lami kwa meno, basi nawajuzeni kuwa kiongozi huyo hakuwa mwema kwa kijana yeyote yule msomi lengo lake kuu ilikuwa ni :

(1) Alifurahi sana kumuona kijana msomi na anaejitambua akiharibikiwa na maisha yaani anakosa dira. (2) Alifurahi sana kumuona kijana msomi na anaejitambua akimpigia magoti na kumnyenyekea ili Tu aweze kupata chochote kitu mfano ajira na mengineyo ndio maana kipindi hicho ili Tu upewe kipaumbele kwenye fursa flani ni lazima uwe na kadi ya ccm.
(3) Kuifanya elimu na juhudi yoyote Ile ya kijana ionekane bila yeye kuiwekea mikono si chochote kile.

Kwa hiyo vijana wenzangu tujitahidi walau hata tuwe na watoto watakaokuwa ni kumbukumbu zetu, nafahamu sana vijana tunapitia magumu mpaka tumeanzisha sera ya "kataa ndoa, ndoa ni wizi ndoa ni utaperi".
 
Kwenu vijana wenzangu tuliopoteza muda wetu vyuoni na matokeo yake leo tupo mitaani bila ajira rasmi tunapambana na hali zetu..nataka niwakumbushe kitu hivi mnamkumbuka kiongozi mkubwa wa serikali aliesema atahakikisha vijana wote wasio na kazi rasmi mjini wanarudi kulima na matajiri atahakikisha wanalima lami kwa meno, basi nawajuzeni kuwa kiongozi huyo hakuwa mwema kwa kijana yeyote yule msomi lengo lake kuu ilikuwa ni : ( 1) alifurahi sana kumuona kijana msomi na anaejitambua akiharibikiwa na maisha yaani anakosa dira. (2) Alifurahi sana kumuona kijana msomi na anaejitambua akimpigia magoti na kumnyenyekea ili Tu aweze kupata chochote kitu mfano ajira na mengineyo ndio maana kipindi hicho ili Tu upewe kipaumbele kwenye fursa flani ni lazima uwe na kadi ya ccm. (3) Kuifanya elimu na juhudi yoyote Ile ya kijana ionekane bila yeye kuiwekea mikono si chochote kile. Kwa hiyo vijana wenzangu tujitahidi walau hata tuwe na watoto watakaokuwa ni kumbukumbu zetu, nafahamu sana vijana tunapitia magumu mpaka tumeanzisha sera ya "kataa ndoa, ndoa ni wizi ndoa ni utaperi".
Usiwasumbue wapo VETA wakimaliza watakuja
 
Kipindi mama anaingia state alisema ataanzisha baraza la vijana, sijajua alifikia wapi. Malengo ya kuanzishwa kwa hilo baraza yalikuwa mazuri na makubwa sana kama yangetekelezwa.
 
pale ambapo chawa wanaisi vizuri kuliko wasomi, mkisanuliwa na wakina lissu mnawakaaaaaaaaa kimsingi graduatesmko wengi mno mtaani wala hamshindwi kulianzisha kama wenzenu Kenya mkiendelea kuwa kondoo mtazeekeea majumbani mwenu bila ajira wala familia.
 
Back
Top Bottom