Wasomi na vyuo haviaminiki ndomana Sasa hivi ajira mpaka interview (Usajili)

asa si bora hivo ajira 500 walioomba 1000+, nafasi za bunge afisa utumishi mmoja wameita watu 625, wote inabidi wafike dodoma kwaajili ya usaili

Serikali nayo iangalie hilo suala, kuita watu wengi then nafasi 1, seriously....??
Hizi nafasi moja moja hazina wenyews kweli? Kwamba watu wanaenda kutimiza wajibu wa usaili
 
Inabidi tu maana graduates ni wengi mno. Ila sasa mtu kamaliza chuo yuko mtaani miaka minne bila ajira hadi kaanza na kufanya mishe zingine ambazo hazihusiani na alichosomea ukimpa interview kweli unamtendea haki?
 
Mim kinacho nishangaza Ni issue ya kwenda kuvia hakika vyeti kwa mwanasheria au mahakamani, yaani hua sielewi Apo
 
asa si bora hivo ajira 500 walioomba 1000+, nafasi za bunge afisa utumishi mmoja wameita watu 625, wote inabidi wafike dodoma kwaajili ya usaili

Serikali nayo iangalie hilo suala, kuita watu wengi then nafasi 1, seriously....??
Kwa hili siwalaumu maana wakiita wachache mtasema wameita ndugu zao tu kwenye usahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…