kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Tujitahidi ili tuweze kushindana kimataifa kama Kenya na Uganda. Tujikite kwanza kwenye lugha ya malkia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Changamoto accommodations tu kwenda kurudi unakuta unapiga moja tuJiandae na interview za mchujo nne. Ukifaulu unaenda hatua inayofuata. Ukifeli unaishia hapo.
Hapo unakuta mtu anatoka Kigoma kwenda kupiga usahili dodoma wa nafasi 1 ya bungeChangamoto accommodations tu kwenda kurudi unakuta unapiga moja tu
Hizi nafasi moja moja hazina wenyews kweli? Kwamba watu wanaenda kutimiza wajibu wa usailiasa si bora hivo ajira 500 walioomba 1000+, nafasi za bunge afisa utumishi mmoja wameita watu 625, wote inabidi wafike dodoma kwaajili ya usaili
Serikali nayo iangalie hilo suala, kuita watu wengi then nafasi 1, seriously....??
@wizara ya Elimu Ofisi ya Rais - Tamisemi Sekretarieti ya Ajira Wizara ya Afya Tanzania 01.
Inamaana Serikali haina mfumu mzuri wa Elimu wa kuzalisha watu wanaohitajika katika ajira hadi wahangaike na usaili?02. Wanaowafanyia watu usaili wenyewe walipatikanaje?03. Kwa kada za afya inamaana Sekretarieti ya Ajira hamuamini Tanzania Commission for Universities ,Vyuo na mabaraza TNMC Habari @TMCT General Pharmaceutical Council l wanayotunuku wasomi License baada ya kufaulu mitihani Yao ?
Je hao wanaofanyia wenzao Sasa hivi walipata hizo ajira zao Kwa mfumo gani
Bado hili linaenda kuwakandamiza na kuwaonea watoto wa kimasikini kwanza gharama za kufika kwenye Interview na pia hawana connection hili Bado tatizo Kuna kipindi kwenye kada ya ualimu walizingatia miaka ya kuhitimu ila kila mwanasiasa akiingia anakuja lake
Wenyenacho watabaki kuwa nacho tu kwakuwa mifumo inawabeba tu just imagine mtu kasoma shule ya kata anakuja kushindanishwa na mtu aliyesoma shule za kulipia mwisho wa siku hata akipata iyo kazi hawezi kwenda kijijini kufanya kaziin
Inabidi tu maana graduates ni wengi mno. Ila sasa mtu kamaliza chuo yuko mtaani miaka minne bila ajira hadi kaanza na kufanya mishe zingine ambazo hazihusiani na alichosomea ukimpa interview kweli unamtendea haki?@wizara ya Elimu Ofisi ya Rais - Tamisemi Sekretarieti ya Ajira Wizara ya Afya Tanzania 01.
Inamaana Serikali haina mfumu mzuri wa Elimu wa kuzalisha watu wanaohitajika katika ajira hadi wahangaike na usaili?02. Wanaowafanyia watu usaili wenyewe walipatikanaje?03. Kwa kada za afya inamaana Sekretarieti ya Ajira hamuamini Tanzania Commission for Universities ,Vyuo na mabaraza TNMC Habari @TMCT General Pharmaceutical Council l wanayotunuku wasomi License baada ya kufaulu mitihani Yao ?
Je hao wanaofanyia wenzao Sasa hivi walipata hizo ajira zao Kwa mfumo gani
Bado hili linaenda kuwakandamiza na kuwaonea watoto wa kimasikini kwanza gharama za kufika kwenye Interview na pia hawana connection hili Bado tatizo Kuna kipindi kwenye kada ya ualimu walizingatia miaka ya kuhitimu ila kila mwanasiasa akiingia anakuja lake
Wenyenacho watabaki kuwa nacho tu kwakuwa mifumo inawabeba tu just imagine mtu kasoma shule ya kata anakuja kushindanishwa na mtu aliyesoma shule za kulipia mwisho wa siku hata akipata iyo kazi hawezi kwenda kijijini kufanya kazi
Ni matesoHapo unakuta mtu anatoka Kigoma kwenda kupiga usahili dodoma wa nafasi 1 ya bunge
Kwa hili siwalaumu maana wakiita wachache mtasema wameita ndugu zao tu kwenye usahiliasa si bora hivo ajira 500 walioomba 1000+, nafasi za bunge afisa utumishi mmoja wameita watu 625, wote inabidi wafike dodoma kwaajili ya usaili
Serikali nayo iangalie hilo suala, kuita watu wengi then nafasi 1, seriously....??