Wasomi na vyuo haviaminiki ndomana Sasa hivi ajira mpaka interview (Usajili)

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
304
Reaction score
1,054
@wizara ya Elimu Ofisi ya Rais - Tamisemi Sekretarieti ya Ajira Wizara ya Afya Tanzania 01.

Inamaana Serikali haina mfumu mzuri wa Elimu wa kuzalisha watu wanaohitajika katika ajira hadi wahangaike na usaili?02. Wanaowafanyia watu usaili wenyewe walipatikanaje?03. Kwa kada za afya inamaana Sekretarieti ya Ajira hamuamini Tanzania Commission for Universities ,Vyuo na mabaraza TNMC Habari @TMCT General Pharmaceutical Council l wanayotunuku wasomi License baada ya kufaulu mitihani Yao ?

Je hao wanaofanyia wenzao Sasa hivi walipata hizo ajira zao Kwa mfumo gani

Bado hili linaenda kuwakandamiza na kuwaonea watoto wa kimasikini kwanza gharama za kufika kwenye Interview na pia hawana connection hili Bado tatizo Kuna kipindi kwenye kada ya ualimu walizingatia miaka ya kuhitimu ila kila mwanasiasa akiingia anakuja lake

Wenyenacho watabaki kuwa nacho tu kwakuwa mifumo inawabeba tu just imagine mtu kasoma shule ya kata anakuja kushindanishwa na mtu aliyesoma shule za kulipia mwisho wa siku hata akipata iyo kazi hawezi kwenda kijijini kufanya kazi
 
lakini hata zamani inteview zilikuwepo na ndiyo maana neno interview lipo tangu dunia kuumbwa( mnao amini katika uumbaji)! Sema kwa sasa interview ni lazima maana vyuoni hakuna wanachosoma. Hakuna Lecturers, kuna vitu vinasimama mbele ya wanafunzi sijui mtaviitaje
 
Huo ni utaratibu wa kawaida kabisa.

Kuna exceptions huwa zinatokea ambapo usaili unakuwa hauna maana, mfano kama serikali inataka kuajiri lakini waombaji/wahitimu wakawa wachache kuliko nafasi zinazotakiwa.

Ila currently kila kada wahitimu wapo wengi kushinda nafasi za ajira zinazotoka, hivyo ili kuwe na fairness lazima mchuane kwenye usaili.
 
@wizara ya Elimu Ofisi ya Rais - Tamisemi Sekretarieti ya Ajira Wizara ya Afya Tanzania 01.

Inamaana Serikali haina mfumu mzuri wa Elimu wa kuzalisha watu wanaohitajika katika ajira hadi wahangaike na usaili?02. Wanaowafanyia watu usaili wenyewe walipatikanaje?03. Kwa kada za afya inamaana Sekretarieti ya Ajira hamuamini Tanzania Commission for Universities ,Vyuo na mabaraza TNMC Habari @TMCT General Pharmaceutical Council l wanayotunuku wasomi License baada ya kufaulu mitihani Yao ?

Je hao wanaofanyia wenzao Sasa hivi walipata hizo ajira zao Kwa mfumo gani

Bado hili linaenda kuwakandamiza na kuwaonea watoto wa kimasikini kwanza gharama za kufika kwenye Interview na pia hawana connection hili Bado tatizo Kuna kipindi kwenye kada ya ualimu walizingatia miaka ya kuhitimu ila kila mwanasiasa akiingia anakuja lake

Wenyenacho watabaki kuwa nacho tu kwakuwa mifumo inawabeba tu just imagine mtu kasoma shule ya kata anakuja kushindanishwa na mtu aliyesoma shule za kulipia mwisho wa siku hata akipata iyo kazi hawezi kwenda kijijini kufanya kazi
Usahili unafanyika kote duniani, hakuna mfumo wa kukuandaa wewe eti ukitoka chup unakuwa qualified haupo.

Wote tunaenda shule, lakini lazima tupate watu wanaofaa kwenye position husika.

Usaili unachuja wenye kupata mwenye uwezo na kumuweka hapo, suala la kusema unaonea watoto wa maskini ai hoja.
Unapomaliza chuo cheti hakina hala ya kuwa huyu ni mtoto wa masikini au tajiri
 
Ila currently kila kada wahitimu wapo wengi kushinda nafasi za ajira zinazotoka, hivyo ili kuwe na fairness lazima mchuane kwenye usaili.
Uko sahihi kabisa, kabisa kabisa. Huo ndio utaratibu, lakini wa tanzania watu wameshachaguliwa zamani , hii inakuwa gheresha kuepusha malalamiko
 
Watu mko 1000+ alafu ajira 500 au unataka wafanye sadakalawe
Au unataka wafanye kama wanacheza pakua mkwanja
asa si bora hivo ajira 500 walioomba 1000+, nafasi za bunge afisa utumishi mmoja wameita watu 625, wote inabidi wafike dodoma kwaajili ya usaili

Serikali nayo iangalie hilo suala, kuita watu wengi then nafasi 1, seriously....??
 
Kuna jamaa yangu mmoja ni mwalimu juzi ananiambia ameweka barua kuonyesha kuwa anajitolea kuongeza chance ya kupata kazi.Nikawambia bro jiandae na mkando hayo mambo psrs hayapo.

Kwenye ishu ya Interview kwa walimu serikali ilichelewa sana.Unawezaje kupata watu 10,000 kati ya graduates laki 2? Au walikuwa wanafanya kama wanavyochezesha mchongo pesa? Interview ni uwekezaji ko ku risk gharama ni kawaida.
 
@wizara ya Elimu Ofisi ya Rais - Tamisemi Sekretarieti ya Ajira Wizara ya Afya Tanzania 01.

Inamaana Serikali haina mfumu mzuri wa Elimu wa kuzalisha watu wanaohitajika katika ajira hadi wahangaike na usaili?02. Wanaowafanyia watu usaili wenyewe walipatikanaje?03. Kwa kada za afya inamaana Sekretarieti ya Ajira hamuamini Tanzania Commission for Universities ,Vyuo na mabaraza TNMC Habari @TMCT General Pharmaceutical Council l wanayotunuku wasomi License baada ya kufaulu mitihani Yao ?

Je hao wanaofanyia wenzao Sasa hivi walipata hizo ajira zao Kwa mfumo gani

Bado hili linaenda kuwakandamiza na kuwaonea watoto wa kimasikini kwanza gharama za kufika kwenye Interview na pia hawana connection hili Bado tatizo Kuna kipindi kwenye kada ya ualimu walizingatia miaka ya kuhitimu ila kila mwanasiasa akiingia anakuja lake

Wenyenacho watabaki kuwa nacho tu kwakuwa mifumo inawabeba tu just imagine mtu kasoma shule ya kata anakuja kushindanishwa na mtu aliyesoma shule za kulipia mwisho wa siku hata akipata iyo kazi hawezi kwenda kijijini kufanya kazi
Sema kwa kozi zenye professional na mnapata kupitia baraza inafikirisha sana aisee
 
Jiandae na usaili ndugu mwalimu Baraka acha kulia lia
 
Kawaida interview ni mbili yaani written na oral kwa fani zisizo na practicals mfano muhasibu,hr,law,procurement n.k

Na saili tatu kwa fani zenye practical
Written,practical na oral
Mfabo tehama,electrical.civil n.k
Kwaiyo kama nina recieved 4 nijiandae na interview 8 ambazo possibility zitafanyikia Dodoma?
 
@wizara ya Elimu Ofisi ya Rais - Tamisemi Sekretarieti ya Ajira Wizara ya Afya Tanzania 01.

Inamaana Serikali haina mfumu mzuri wa Elimu wa kuzalisha watu wanaohitajika katika ajira hadi wahangaike na usaili?02. Wanaowafanyia watu usaili wenyewe walipatikanaje?03. Kwa kada za afya inamaana Sekretarieti ya Ajira hamuamini Tanzania Commission for Universities ,Vyuo na mabaraza TNMC Habari @TMCT General Pharmaceutical Council l wanayotunuku wasomi License baada ya kufaulu mitihani Yao ?

Je hao wanaofanyia wenzao Sasa hivi walipata hizo ajira zao Kwa mfumo gani

Bado hili linaenda kuwakandamiza na kuwaonea watoto wa kimasikini kwanza gharama za kufika kwenye Interview na pia hawana connection hili Bado tatizo Kuna kipindi kwenye kada ya ualimu walizingatia miaka ya kuhitimu ila kila mwanasiasa akiingia anakuja lake

Wenyenacho watabaki kuwa nacho tu kwakuwa mifumo inawabeba tu just imagine mtu kasoma shule ya kata anakuja kushindanishwa na mtu aliyesoma shule za kulipia mwisho wa siku hata akipata iyo kazi hawezi kwenda kijijini kufanya kazi

Hoja ya mleta mada ni miongoni mwa sababu kwanini saili zinafanyika. Mleta mada, usaili haulengi kukosoa ubora wa elimu yetu. Usaili unalenga kuchuja watu wachache kati ya wengi kwa sababu ya uchache wa nafasi.

Wahitimu wote wako vizuri na ndio maana wamefaulu na kupewa vyeti. Lakini katika waliofaulu hao, kuna wengine wana uwezo mkubwa sana above average na wengine wana uwezo mzuri on average. Hivyo basi, ili kupata watumishi 5000 katika ya wahitimu 80,000 wanaotaka ajira, tunafanyishwa usaili uli kuwachuja na kuwapata watu hao.

Hii ni practice duniani kote sio Tanzania tu. Hata sekta binafsi wamekuwa wakifanyisha saili miaka yote ndugu zangu.​
 
Back
Top Bottom