Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
@wizara ya Elimu Ofisi ya Rais - Tamisemi Sekretarieti ya Ajira Wizara ya Afya Tanzania 01.
Inamaana Serikali haina mfumu mzuri wa Elimu wa kuzalisha watu wanaohitajika katika ajira hadi wahangaike na usaili?02. Wanaowafanyia watu usaili wenyewe walipatikanaje?03. Kwa kada za afya inamaana Sekretarieti ya Ajira hamuamini Tanzania Commission for Universities ,Vyuo na mabaraza TNMC Habari @TMCT General Pharmaceutical Council l wanayotunuku wasomi License baada ya kufaulu mitihani Yao ?
Je hao wanaofanyia wenzao Sasa hivi walipata hizo ajira zao Kwa mfumo gani
Bado hili linaenda kuwakandamiza na kuwaonea watoto wa kimasikini kwanza gharama za kufika kwenye Interview na pia hawana connection hili Bado tatizo Kuna kipindi kwenye kada ya ualimu walizingatia miaka ya kuhitimu ila kila mwanasiasa akiingia anakuja lake
Wenyenacho watabaki kuwa nacho tu kwakuwa mifumo inawabeba tu just imagine mtu kasoma shule ya kata anakuja kushindanishwa na mtu aliyesoma shule za kulipia mwisho wa siku hata akipata iyo kazi hawezi kwenda kijijini kufanya kazi