Wasomi na Wanazuoni Tanzania watoa Tamko kali kulaani Ukoloni na Ukaburu mkongwe wa Israel kwa Wapalestina

Wana occupy nyumba yao?Au occupation imebadilika maana yake siku hizi?
 
Occupation ya wapi?
Mkuu ina maana hufahamu kuwa walowezi wa kiyahudi wanakalia West Bank kinyume na utaratibu? Hata Kibiblia hao wayahudi wali Co exist na makabila mengine na hata walipotaka kuwafukuza Mungu aliwaadhibu je kwanini sahivi hawataki Co existence?

2 Samweli 21:1
[1]Kulikuwa na njaa siku za Daudi muda wa miaka mitatu, mwaka kwa mwaka; naye Daudi akautafuta uso wa BWANA. BWANA akasema, Ni kwa ajili ya Sauli, na kwa nyumba yake yenye damu, kwa kuwa aliwaua hao Wagibeoni.
 
Stupid! Illegal occupation ya wapi?Mtu akiwa anapunga upepo nyumbani kwake utampangia kama avae bukta au msuli?
 
Ni maoni yao hatuwapingi ila wange balance story mana hamasi ni magaidi na waliua na kuteka raia.
 

Wapi uliona mandela akiua raia na kuwateka,acha kufananisha mandela na magaidi ya hamas,muwe mnatumia akili sio mihemko ya kijinga.
 
Holocaust Hitler aliwafanyia hivyo Kwa kuamini kuwa wao ni alien species ambao ni hatari Kwa mustakabali wa Dunia,that's why aliamua kuwaangamiza kabisa wasiwepo duniani, I guess like he was right,even though ule unyama ulikua hauna kifani

Alidanganywa na shehe muft hussein.
 

Ulitaka watumie ushahidi gani kama hiyo ni ardhi yao.
 

Soma vizuri maelekezo ya Yoshua walipoingia kaanani waliambiwa wawafanyeje wageni wa kaanani.
 
Umesahau Congo kuna vita, South Sudan kuna vita, Ethipia kuna vita, Ukraine kuna vita
 
Biblia mnaisomaje? Hii kitu haipo tena tokea Yesu amekuja. Hao wayahudi ni mpaka na wao wapate wokovu otherwise kuzimu kama yoyote yule. Hawana special treatment.
Atukuzwe Baba na Mwana na Roho Mtakatifu,Kama Mwanzo na Sasa na Siku zote milele na milele.Alilolitamka Mwenyezi Mungu sisi nani kubisha wakati Mungu mwenyewe aliteua Taifa moja la Israeli kuwa kiini cha ukombozi na kumjua yeye aliyeumba Mbingu na Nchi?Israeli itaendelea kuwa Taifa teule kwa mujibu wa Maandiko.
 
Taifa teule lina maashoga na wasagaji wa kutosha...
Wale ni wazungu waliovamia Palesstina kutoka Ujerumani
 
Kipigo mmekipata Kunguni nyie mlifikiri kuwa Israel ni Sudan.
 
Ndio teule la mungu wao
Kuna miungu mingi duniani
Hata wasukuma wana mungu wao
Na wao ni wateule pia
Nasadiki kwa Mungu mmoja Baba Mwenyezi muumba wa mbingu na dunia na kwa Yesu Kristo (Mungu wa Israel na si vinginevyo.)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…