Wasomi na Wanazuoni Tanzania watoa Tamko kali kulaani Ukoloni na Ukaburu mkongwe wa Israel kwa Wapalestina

Wasomi na Wanazuoni Tanzania watoa Tamko kali kulaani Ukoloni na Ukaburu mkongwe wa Israel kwa Wapalestina

Alichofanya HAMAS ni kitu kibaya sana, laiti Israel isingekuwa inawaoccupy hawa Wapalestina, hayo mambo waliyofanya HAMAS yasingekuwepo. Root cause ya matatizo yote hapo middle east ni occupation ambayo Wapalestina wanasuffer sasa kwa miaka zaidi ya 75.
Wana occupy nyumba yao?Au occupation imebadilika maana yake siku hizi?
 
Occupation ya wapi?
Mkuu ina maana hufahamu kuwa walowezi wa kiyahudi wanakalia West Bank kinyume na utaratibu? Hata Kibiblia hao wayahudi wali Co exist na makabila mengine na hata walipotaka kuwafukuza Mungu aliwaadhibu je kwanini sahivi hawataki Co existence?

2 Samweli 21:1
[1]Kulikuwa na njaa siku za Daudi muda wa miaka mitatu, mwaka kwa mwaka; naye Daudi akautafuta uso wa BWANA. BWANA akasema, Ni kwa ajili ya Sauli, na kwa nyumba yake yenye damu, kwa kuwa aliwaua hao Wagibeoni.
 
Ukiwauliza wanasema Israel ni Taifa Teule la Mungu,na HAMAS ni magaidi...

Those days back the ANC was named as a terrorist organization, Nelson Mandela was named as a Terrorist, simply because he was fighting for the rights of his citizens, Yasser Arafat was named as a terrorist as well plus his PLO a terrorist organization, before this attack of Hamas IDF imekuwa inaendelea na armed movements ya kuua wapelestine na kufanya illegal occupation katika ardhi Yao,hakuna aliejitokeza na kusema kwamba Palestinian have the rights to defend themselves,huo ni unafiki wa dunia hii.
Stupid! Illegal occupation ya wapi?Mtu akiwa anapunga upepo nyumbani kwake utampangia kama avae bukta au msuli?
 
Ni maoni yao hatuwapingi ila wange balance story mana hamasi ni magaidi na waliua na kuteka raia.
 
Ukiwauliza wanasema Israel ni Taifa Teule la Mungu,na HAMAS ni magaidi...

Those days back the ANC was named as a terrorist organization, Nelson Mandela was named as a Terrorist, simply because he was fighting for the rights of his citizens, Yasser Arafat was named as a terrorist as well plus his PLO a terrorist organization, before this attack of Hamas IDF imekuwa inaendelea na armed movements ya kuua wapelestine na kufanya illegal occupation katika ardhi Yao,hakuna aliejitokeza na kusema kwamba Palestinian have the rights to defend themselves,huo ni unafiki wa dunia hii.

Wapi uliona mandela akiua raia na kuwateka,acha kufananisha mandela na magaidi ya hamas,muwe mnatumia akili sio mihemko ya kijinga.
 
Holocaust Hitler aliwafanyia hivyo Kwa kuamini kuwa wao ni alien species ambao ni hatari Kwa mustakabali wa Dunia,that's why aliamua kuwaangamiza kabisa wasiwepo duniani, I guess like he was right,even though ule unyama ulikua hauna kifani

Alidanganywa na shehe muft hussein.
 
shida ya huu mgogoro uliharibiwa na maslahi ya mataifa makubwa kutumia visingizio vya kibiblia ambavyo haviwezi kuwa facts au marejea katika kulitambua taifa la israel ambalo limetokana na mauaji ya kimbari miaka 75 iliyoopita.
ni muhimu kwa maazimio ya umoja wza mataifa ambayo marekani kwa kutmia kura yake ya turufu amekuwa akiyapinga kila mara yanapotaka kupitishwa.

Ulitaka watumie ushahidi gani kama hiyo ni ardhi yao.
 
Mkuu ina maana hufahamu kuwa walowezi wa kiyahudi wanakalia West Bank kinyume na utaratibu? Hata Kibiblia hao wayahudi wali Co exist na makabila mengine na hata walipotaka kuwafukuza Mungu aliwaadhibu je kwanini sahivi hawataki Co existence?

2 Samweli 21:1
[1]Kulikuwa na njaa siku za Daudi muda wa miaka mitatu, mwaka kwa mwaka; naye Daudi akautafuta uso wa BWANA. BWANA akasema, Ni kwa ajili ya Sauli, na kwa nyumba yake yenye damu, kwa kuwa aliwaua hao Wagibeoni.

Soma vizuri maelekezo ya Yoshua walipoingia kaanani waliambiwa wawafanyeje wageni wa kaanani.
 
Hapa tanzania tu kuna vita dhidi ya Wamasai kufukuzwa kwao Ngorongoro na huko Nigeria, Sudan, Somalia, Tchad, Niger wananchi wanatekwa na wengine kuuliwa kisa dini ya Kiislam, yaani wahuni wanataka kuleta mataifa huru ya Kiislam ili jamii iishi maisha ya giza ya karne ya 7 ambapo watu walikuwa wanauana tu na kubakana bila chochote kufanyika kama vile waishivyo jamii ya Kitaleban huko Afghanstan, mbona hatuwasikii ndugu zetu Wanazuoni wakitoa neno kukemea huu ujinga? Waafrika kwa kweli tuna matatizo ya kiakili kabisa, unaacha yako unadakia yasiyokuhusu ili iweje?
Umesahau Congo kuna vita, South Sudan kuna vita, Ethipia kuna vita, Ukraine kuna vita
 
Biblia mnaisomaje? Hii kitu haipo tena tokea Yesu amekuja. Hao wayahudi ni mpaka na wao wapate wokovu otherwise kuzimu kama yoyote yule. Hawana special treatment.
Atukuzwe Baba na Mwana na Roho Mtakatifu,Kama Mwanzo na Sasa na Siku zote milele na milele.Alilolitamka Mwenyezi Mungu sisi nani kubisha wakati Mungu mwenyewe aliteua Taifa moja la Israeli kuwa kiini cha ukombozi na kumjua yeye aliyeumba Mbingu na Nchi?Israeli itaendelea kuwa Taifa teule kwa mujibu wa Maandiko.
 
Eti Taifa teule, hivi huu ujinga mtauacha lini nyie Kuku wa zabanga?

Taifa teule linapokea msaada wa kijeshi? Taifa teule linavamiwa na watu wake kuuwawa kama Kuku wasiokuwa na jinsia?

Kila mtu ni mteule wa Mungu, ondoeni huo ukoloni-mbuzi! Mbuzi wee
Taifa teule lina maashoga na wasagaji wa kutosha...
Wale ni wazungu waliovamia Palesstina kutoka Ujerumani
 
Eti Taifa teule, hivi huu ujinga mtauacha lini nyie Kuku wa zabanga?

Taifa teule linapokea msaada wa kijeshi? Taifa teule linavamiwa na watu wake kuuwawa kama Kuku wasiokuwa na jinsia?

Kila mtu ni mteule wa Mungu, ondoeni huo ukoloni-mbuzi! Mbuzi wee
Kipigo mmekipata Kunguni nyie mlifikiri kuwa Israel ni Sudan.
 
Ndio teule la mungu wao
Kuna miungu mingi duniani
Hata wasukuma wana mungu wao
Na wao ni wateule pia
Nasadiki kwa Mungu mmoja Baba Mwenyezi muumba wa mbingu na dunia na kwa Yesu Kristo (Mungu wa Israel na si vinginevyo.)
 
Back
Top Bottom