Wasomi na Wanazuoni Tanzania watoa Tamko kali kulaani Ukoloni na Ukaburu mkongwe wa Israel kwa Wapalestina

Kuna Walionunuliwa ili waioneshe Dunia eti hatutaki Parestine Wakung’utwe . Ni kweli hatukubali lakini Mpaka waombe Msamaha kwa Kuwachokoza Waisrael. Bila Kufanya hivuo sidhani kama Mabango ya Wasomi wa
mchongo waliookotwa wakila Unga Manzese TIPTOP eti wanapinga big nooooooooooo. Vita Hiyo Ombaneni Msamaha nyie wenyewe
 
Siyo kila mtu anafuata bible.
 
sraeli itaendelea kuwa Taifa teule kwa mujibu wa Maandiko.
Sio kweli baraka ile ya Abraham ipo kwa wanadamu wote wanaomfuata kristo not otherwise. Kasome Mathayo 11:11 kuhusu wana wa ufalme!! Pia wagalatia imechambua how Israel is not special anymore.
Hauna tofauti na wale wanaoamini Bikira Maria ni special kisa kumzaa yesu!! Mungu anaweza tumia hata mawe not necessarily ukiwa special or chosen one
Rejea alipomtumia kahaba kuokoa wayahudi!!
 
Soma vizuri maelekezo ya Yoshua walipoingia kaanani waliambiwa wawafanyeje wageni wa kaanani.
Ndio nakufundisha sasa kwamba wali spare kabila la GIBEONI.... hawakuwauwa na wakaweka ahadi kutoua Mcanaan tena!! Ndio maana walipotaka kuwauwa Mungu aliwapiga mapigon hao waisrael. Sasa nipe justification ya Mungu kuunga mkono mauaji yanayoendelea Palestina? Hao wayahudi waliweka oath kutokufanya genocide why nyie mnaosoma Bible mnaona kiimani eti kuuwawa wapalestina its okay? whilst Bible inasema it's punishable!!
 
Thubutu,waulize Hamas kinachowapata sasa hivi.Na kwa nini Palestina isipate misaada ya Kifedha na Kijeshi kama Mungu yupo upande wao?
Hujitambui, Mungu akiingilia kati hahitaji binadamu achukue utukufu. Mfano kwa Gideon alitaka askari wachache ili akishinda vita Utukufu uwe kwa Mungu sio binadamu. Ila siku hizi utasikia oh Israel wana silaha kali, ooh wana teknolojia kubwa sasa hapo Mungu anachukua utukufu gani? Mie nitaamini hao wayahudi wameshinda sababu ya Mungu siku wakiwa hawana msaada wa US wala military supremacy kama tu Vietnam ilipompiga US au Cuba kumdunda US hapo ndio unaweza sema Mungu aliwaokoa!!
 
Hamas ni magaidi wauliwe tu hakuna namna nyingine.Usipumbazwa na.mapenzi yako kwa dini ya mnyaazi.Auae kwa upanga lazima auliwe kwa upanga
 
Atukuzwe Baba na Mwana na Roho Mtakatifu kama Mwanzo na Sasa na siku zote milele na milele.Israel ni taifa teule kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
 
Uwe msomi usiwe ukizungumzia isael Palestin conflict ukiwa hapa Tanzania we unaleta udini uliokamili maana halituhusu kivingine
 
Wanazuoni uchwara wa bongo hii ni wanafiki tu hata simuoni uzuoni wao.wangekuwa kweli wanazuoni wangetuelimisha nn hasa chanzo cha mgogoro wenyewe.ya hapa nyumbani yameewashinda watayaweza ya Israel?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…