Wasomi na Wanazuoni Tanzania watoa Tamko kali kulaani Ukoloni na Ukaburu mkongwe wa Israel kwa Wapalestina

Wasomi na Wanazuoni Tanzania watoa Tamko kali kulaani Ukoloni na Ukaburu mkongwe wa Israel kwa Wapalestina

Huku wakisaini waraka, Wanazuoni nchini, ambao ni Wahadhiri nguli wamelaani Vikali Occupation ya Waisrael kwa Wapalestina iliyodumu kwa miaka zaidi ya 75, inatopelekea Ghasia zisizoisha huko Palestine.

Wanazuoni wanasema kuwa wameshtushwa na ukatili endelevu wa Israel kwa watu wa Palestine uliodumu miaka mingi sana Na wamesema kuwa Kamwe hawatonyamazishwa.

Wanazuoni hao bila ya kujali Dini zao, Kabila zao, Jinsia zao wote kwa pamoja wamejumuika katika ubinadamu na kusema kuwa Manyanyaso ya Kikaburu ya Waisrael yanapaswa kukoma.

NB: Mimi pia nawaunga mkono. Chanzo kikuu cha vurugu huko Palestine siyo HAMAS, maana HAMAS imeanzishwa miaka 30 tu iliyopita lakini kabla ya hapo Israel ilikuwa ikiwafanyia ukatatili Wapalestina, lakini pia tatizo la msingi siyo uwepo wa HAMAS, ndiyo maana hata kule West bank HAMAS haipo lakini wapalestina wa huko nao pia wanauawa kila siku.

Tamko lao ni hili hapa chini.
Kuna Walionunuliwa ili waioneshe Dunia eti hatutaki Parestine Wakung’utwe . Ni kweli hatukubali lakini Mpaka waombe Msamaha kwa Kuwachokoza Waisrael. Bila Kufanya hivuo sidhani kama Mabango ya Wasomi wa
mchongo waliookotwa wakila Unga Manzese TIPTOP eti wanapinga big nooooooooooo. Vita Hiyo Ombaneni Msamaha nyie wenyewe
 
Unamaanisha nini unaposema occupation?

Canan, ambayo inajumuisha Israel ya sasa na Palestina ya sasa, yote yalikuwa maeneo ya Wayahudi kabla ya uvamizi wa ufalme wa Babiloni. Baada ya uvamizi wa ufalme wa Babiloni, wayahudi walichukuliwa mateka na kupelekwa utumwani kwa miaka 70. Kisha walirudi kwenye ardhi yao. Baadaye Wayahudi wakasambaa Dunia nzima wakiyaacha maeneo yao bila ulinzi, wapalestina wakajimilikisha maeneo yote ya Wayahudi. Wayahudi waliporejea wakayachukua baadhi tu ya maeneo yaliyokuwa sehemu ya Canan, mengine wakayapoteza, ambayo yalichukuliwa na wapalestina na waarabu.

Kwa mazingira hayo, nani ame-occupy maeneo ya mwingine?

Upande wa wapalestina, kosa kubwa walilofanya, ni kuyapa nguvu makundi ya kigaidi ya Iran, kama Hamas na Hizbollah.
Siyo kila mtu anafuata bible.
 
sraeli itaendelea kuwa Taifa teule kwa mujibu wa Maandiko.
Sio kweli baraka ile ya Abraham ipo kwa wanadamu wote wanaomfuata kristo not otherwise. Kasome Mathayo 11:11 kuhusu wana wa ufalme!! Pia wagalatia imechambua how Israel is not special anymore.
Hauna tofauti na wale wanaoamini Bikira Maria ni special kisa kumzaa yesu!! Mungu anaweza tumia hata mawe not necessarily ukiwa special or chosen one
Rejea alipomtumia kahaba kuokoa wayahudi!!
 
Soma vizuri maelekezo ya Yoshua walipoingia kaanani waliambiwa wawafanyeje wageni wa kaanani.
Ndio nakufundisha sasa kwamba wali spare kabila la GIBEONI.... hawakuwauwa na wakaweka ahadi kutoua Mcanaan tena!! Ndio maana walipotaka kuwauwa Mungu aliwapiga mapigon hao waisrael. Sasa nipe justification ya Mungu kuunga mkono mauaji yanayoendelea Palestina? Hao wayahudi waliweka oath kutokufanya genocide why nyie mnaosoma Bible mnaona kiimani eti kuuwawa wapalestina its okay? whilst Bible inasema it's punishable!!
 
Thubutu,waulize Hamas kinachowapata sasa hivi.Na kwa nini Palestina isipate misaada ya Kifedha na Kijeshi kama Mungu yupo upande wao?
Hujitambui, Mungu akiingilia kati hahitaji binadamu achukue utukufu. Mfano kwa Gideon alitaka askari wachache ili akishinda vita Utukufu uwe kwa Mungu sio binadamu. Ila siku hizi utasikia oh Israel wana silaha kali, ooh wana teknolojia kubwa sasa hapo Mungu anachukua utukufu gani? Mie nitaamini hao wayahudi wameshinda sababu ya Mungu siku wakiwa hawana msaada wa US wala military supremacy kama tu Vietnam ilipompiga US au Cuba kumdunda US hapo ndio unaweza sema Mungu aliwaokoa!!
 
Alichofanya HAMAS ni kitu kibaya sana, laiti Israel isingekuwa inawaoccupy hawa Wapalestina, hayo mambo waliyofanya HAMAS yasingekuwepo. Root cause ya matatizo yote hapo middle east ni occupation ambayo Wapalestina wanasuffer sasa kwa miaka zaidi ya 75.
Hamas ni magaidi wauliwe tu hakuna namna nyingine.Usipumbazwa na.mapenzi yako kwa dini ya mnyaazi.Auae kwa upanga lazima auliwe kwa upanga
 
Sio kweli baraka ile ya Abraham ipo kwa wanadamu wote wanaomfuata kristo not otherwise. Kasome Mathayo 11:11 kuhusu wana wa ufalme!! Pia wagalatia imechambua how Israel is not special anymore.
Hauna tofauti na wale wanaoamini Bikira Maria ni special kisa kumzaa yesu!! Mungu anaweza tumia hata mawe not necessarily ukiwa special or chosen one
Rejea alipomtumia kahaba kuokoa wayahudi!!
Atukuzwe Baba na Mwana na Roho Mtakatifu kama Mwanzo na Sasa na siku zote milele na milele.Israel ni taifa teule kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
 
Uwe msomi usiwe ukizungumzia isael Palestin conflict ukiwa hapa Tanzania we unaleta udini uliokamili maana halituhusu kivingine
 
Huku wakisaini waraka, Wanazuoni nchini, ambao ni Wahadhiri nguli wamelaani Vikali Occupation ya Waisrael kwa Wapalestina iliyodumu kwa miaka zaidi ya 75, inatopelekea Ghasia zisizoisha huko Palestine.

Wanazuoni wanasema kuwa wameshtushwa na ukatili endelevu wa Israel kwa watu wa Palestine uliodumu miaka mingi sana Na wamesema kuwa Kamwe hawatonyamazishwa.

Wanazuoni hao bila ya kujali Dini zao, Kabila zao, Jinsia zao wote kwa pamoja wamejumuika katika ubinadamu na kusema kuwa Manyanyaso ya Kikaburu ya Waisrael yanapaswa kukoma.

NB: Mimi pia nawaunga mkono. Chanzo kikuu cha vurugu huko Palestine siyo HAMAS, maana HAMAS imeanzishwa miaka 30 tu iliyopita lakini kabla ya hapo Israel ilikuwa ikiwafanyia ukatatili Wapalestina, lakini pia tatizo la msingi siyo uwepo wa HAMAS, ndiyo maana hata kule West bank HAMAS haipo lakini wapalestina wa huko nao pia wanauawa kila siku.

Tamko lao ni hili hapa chini.
Wanazuoni uchwara wa bongo hii ni wanafiki tu hata simuoni uzuoni wao.wangekuwa kweli wanazuoni wangetuelimisha nn hasa chanzo cha mgogoro wenyewe.ya hapa nyumbani yameewashinda watayaweza ya Israel?
 
Back
Top Bottom