Wasomi na Wanazuoni Tanzania watoa Tamko kali kulaani Ukoloni na Ukaburu mkongwe wa Israel kwa Wapalestina

Hamas imewaua wacheza disco.
Muhimu kuhusu huu mgogoro ni kuuchukulia kama internal dispute.
Kama una huruma usiwachochee Waarabu kupigana na Waisraeli sasa hivi.
Israel wana nuclear weapons nyingi sana.
Halafu kumbuka Israel walipokuwa wanabishana na Gaza last time. Balozi wa China Tel Aviv akawagombeza Waisraeli,wakamchinja.
Sasa wewe unataka tumuagize balozi wetu kule abishane na Natanyahu?
Kwa hiyo kwa sasa ichukuliwe kama internal conflict. Ndio jambo alikuwa anasisitiza sana Benedict XVI.
Sio kama vile Wapalestina jami. Lalonyo haki zao kwa sasa ni kama mwanamke katika ndoa.
 
Huku wakisaini waraka, Wanazuoni nchini, ambao ni Wahadhiri nguli wamelaani Vikali Occupation ya Waisrael kwa Wapalestina iliyodumu kwa miaka zaidi ya 75, inatopelekea Ghasia zisizoisha huko Palestine.

Wanazuoni wanasema kuwa wameshtushwa na ukatili endelevu wa Israel kwa watu wa Palestine uliodumu miaka mingi sana Na wamesema kuwa Kamwe hawatonyamazishwa.

Wanazuoni hao bila ya kujali Dini zao, Kabila zao, Jinsia zao wote kwa pamoja wamejumuika katika ubinadamu na kusema kuwa Manyanyaso ya Kikaburu ya Waisrael yanapaswa kukoma.

NB: Mimi pia nawaunga mkono. Chanzo kikuu cha vurugu huko Palestine siyo HAMAS, maana HAMAS imeanzishwa miaka 30 tu iliyopita lakini kabla ya hapo Israel ilikuwa ikiwafanyia ukatatili Wapalestina, lakini pia tatizo la msingi siyo uwepo wa HAMAS, ndiyo maana hata kule West bank HAMAS haipo lakini wapalestina wa huko nao pia wanauawa kila siku.

Tamko lao ni hili hapa chini.
Ingekuwa hekima kama wangeanza kwa kuukemea "ugaidi" uliotendwa na Hamas ndipo waikemee Israel. Kwa kuikemea Israel bila kuonesha kukerwa na ukatili uliotendwa na Hamas kunaweza kutafsiriwa kuwa ni upendeleo wa wazi.

Hamas waliwaua raia wasio na hatia, wakiwemo watoto. Inasemekana miongoni mwa waliouwa, kuna raia wachache wa kigeni. Kwa hiyo hata Watanzania wangeweza kuingia katika hiyo kadhia kama wangekutwa na Hamas maeneo waliyoyavamia.

Hao raia waliouawa walikuwa na kosa gani? Kama Hamas walikuwa na hasira na Serikali ya Israel, si wangevikabili vyombo vya dola kama Polisi na Jeshi la Ulinzi?

Waliwateka na wengine, si Wayahudi tu, bali hata raia wa Mataifa mengine.

Japo silaha za kivita hazimtofautishi raia na askari , lakini alau kidogo, Israel wameonesha ustaarabu kwa kutoa tahadhari juu ya maeneo wanayoyavamia, hivyo wahusika wanaweza kuchukua tahadhari. Ni tofauti na uvamizi uliofanywa na Hamas.

Kwa mtazamo wangu, tamko halijabalance. Limekaa kiuonevu.
 
Kweli kabisa.
 
Huku wakisaini waraka, Wanazuoni nchini, ambao ni Wahadhiri nguli wamelaani Vikali Occupation ya Waisrael kwa Wapalestina iliyodumu kwa miaka zaidi ya 75, inatopelekea Ghasia zisizoisha huko Palestine.

Wanazuoni wanasema kuwa wameshtushwa na ukatili endelevu wa Israel kwa watu wa Palestine uliodumu miaka mingi sana Na wamesema kuwa Kamwe hawatonyamazishwa.

Wanazuoni hao bila ya kujali Dini zao, Kabila zao, Jinsia zao wote kwa pamoja wamejumuika katika ubinadamu na kusema kuwa Manyanyaso ya Kikaburu ya Waisrael yanapaswa kukoma.

NB: Mimi pia nawaunga mkono. Chanzo kikuu cha vurugu huko Palestine siyo HAMAS, maana HAMAS imeanzishwa miaka 30 tu iliyopita lakini kabla ya hapo Israel ilikuwa ikiwafanyia ukatatili Wapalestina, lakini pia tatizo la msingi siyo uwepo wa HAMAS, ndiyo maana hata kule West bank HAMAS haipo lakini wapalestina wa huko nao pia wanauawa kila siku.

Tamko lao ni hili hapa chini.
Serikali ya Tanzania ivunje mahusiano na Serikali ya Israeli? Ili iweje?

Hili si sawa. Kama uhusiano uliopo unatunufaisha, hakuna sababu ya kuuvunja. Kwanza, ukivunjwa, nani atakayepata hasara zaidi kati ya Tanzania na Israeli? Nyerere alipouvunja miaka ile, ilisaidia nini?

Kuuvunja unaweza ukawa ni upuuzi mwingine. Na tena , atakayepata hasara zaidi ni Mtanzania na siyo Myahudi.

Nafahamu Israeli ilishaisadia Tanzania mambo kadhaa, lakini sina uhakika kama Tanzania ilishawahi kuisaidia Israeli kwa lolote. Sina uhakika kwa kweli!

1. Mwaka 1964 Israeli iliipa Tamzania msaada wa kuwatrain maofisa wake wa Jeshi!

2. Inasemekana, ni Wayahudi ndiyo walioijenga hospitali ya Bugando iliyopo jijini Mwanza. Nilisikia hivyo lakini sijathibitisha.

3. Inasemekana, Waisraeli walianzisha skimu ya umwagiliaji mkoani Mwanza lakini Nyerere alipowafukuza na hiyo miradi nayo ikajifia.

Hakuna sababu ya kuuvunja uhusiano na Israeli. Tusiwe wajinga kiasi hicho.

Tuwapataneshe kama tunaweza, lakini tusiununue ugomvi wao.
 
ZEKARIA 12:13

"Tena itakuwa siku hiyo, nitaifanya Yerusalemu kuwa jiwe la kuwalemea watu wa kabila zote; wote watakaojitwika jiwe hilo watapata jeraha nyingi; na mataifa yote ya dunia watakusanyika pamoja juu yake"
Huku wakisaini waraka, Wanazuoni nchini, ambao ni Wahadhiri nguli wamelaani Vikali Occupation ya Waisrael kwa Wapalestina iliyodumu kwa miaka zaidi ya 75, inatopelekea Ghasia zisizoisha huko Palestine.

Wanazuoni wanasema kuwa wameshtushwa na ukatili endelevu wa Israel kwa watu wa Palestine uliodumu miaka mingi sana Na wamesema kuwa Kamwe hawatonyamazishwa.

Wanazuoni hao bila ya kujali Dini zao, Kabila zao, Jinsia zao wote kwa pamoja wamejumuika katika ubinadamu na kusema kuwa Manyanyaso ya Kikaburu ya Waisrael yanapaswa kukoma.

NB: Mimi pia nawaunga mkono. Chanzo kikuu cha vurugu huko Palestine siyo HAMAS, maana HAMAS imeanzishwa miaka 30 tu iliyopita lakini kabla ya hapo Israel ilikuwa ikiwafanyia ukatatili Wapalestina, lakini pia tatizo la msingi siyo uwepo wa HAMAS, ndiyo maana hata kule West bank HAMAS haipo lakini wapalestina wa huko nao pia wanauawa kila siku.

Tamko lao ni hili hapa chini.
Ama kwa hakika wasomi wetu hawa wamejitwisha mzigo mzito sana ambapo wataishia tu kupata jeraha nyingi mioyoni mwao. Katika mambo ya kimwil unaweza kufanya propaganda, lakini kamwe si katika mambo ya kiroho.

Kila jambo katika dunia hii litakuja na kupita, lakini kamwe haitapita hata nukta moja ya Neno la kinabii litokalo kinywani mwa Bwana. Kila jambo Bwana alilolitamka kupitia kwa watumishi wake manabii, basi litakuja kwa majira na nyakati zake sahihi.
 
Alichofanya HAMAS ni kitu kibaya sana, laiti Israel isingekuwa inawaoccupy hawa Wapalestina, hayo mambo waliyofanya HAMAS yasingekuwepo. Root cause ya matatizo yote hapo middle east ni occupation ambayo Wapalestina wanasuffer sasa kwa miaka zaidi ya 75.
Hilo kundi la hamas issue sio Ardhi bali mambo ya itikadi za kidini na wao wanatumika tu,maamuzi ya Israel kuwazingira ni kwa akili ya usalama wake ,bila hivyo Israel itapokea mashamblizi kila Mara sababu wengine kiimani huamini ukiuwa yahudi unapata thawabu
 
Huku wakisaini waraka, Wanazuoni nchini, ambao ni Wahadhiri nguli wamelaani Vikali Occupation ya Waisrael kwa Wapalestina iliyodumu kwa miaka zaidi ya 75, inatopelekea Ghasia zisizoisha huko Palestine.

Wanazuoni wanasema kuwa wameshtushwa na ukatili endelevu wa Israel kwa watu wa Palestine uliodumu miaka mingi sana Na wamesema kuwa Kamwe hawatonyamazishwa.

Wanazuoni hao bila ya kujali Dini zao, Kabila zao, Jinsia zao wote kwa pamoja wamejumuika katika ubinadamu na kusema kuwa Manyanyaso ya Kikaburu ya Waisrael yanapaswa kukoma.

NB: Mimi pia nawaunga mkono. Chanzo kikuu cha vurugu huko Palestine siyo HAMAS, maana HAMAS imeanzishwa miaka 30 tu iliyopita lakini kabla ya hapo Israel ilikuwa ikiwafanyia ukatatili Wapalestina, lakini pia tatizo la msingi siyo uwepo wa HAMAS, ndiyo maana hata kule West bank HAMAS haipo lakini wapalestina wa huko nao pia wanauawa kila siku.

Tamko lao ni hili hapa chini.
Urusi ilipoivamia Ukraine na kuchinja waukraine kikatili kule Bucha, Lyman na kwingineko wakachukua miji ya Ukraine hatujauona huo waraka hao wanazuoni walilala?

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Huku wakisaini waraka, Wanazuoni nchini, ambao ni Wahadhiri nguli wamelaani Vikali Occupation ya Waisrael kwa Wapalestina iliyodumu kwa miaka zaidi ya 75, inatopelekea Ghasia zisizoisha huko Palestine.

Wanazuoni wanasema kuwa wameshtushwa na ukatili endelevu wa Israel kwa watu wa Palestine uliodumu miaka mingi sana Na wamesema kuwa Kamwe hawatonyamazishwa.

Wanazuoni hao bila ya kujali Dini zao, Kabila zao, Jinsia zao wote kwa pamoja wamejumuika katika ubinadamu na kusema kuwa Manyanyaso ya Kikaburu ya Waisrael yanapaswa kukoma.

NB: Mimi pia nawaunga mkono. Chanzo kikuu cha vurugu huko Palestine siyo HAMAS, maana HAMAS imeanzishwa miaka 30 tu iliyopita lakini kabla ya hapo Israel ilikuwa ikiwafanyia ukatatili Wapalestina, lakini pia tatizo la msingi siyo uwepo wa HAMAS, ndiyo maana hata kule West bank HAMAS haipo lakini wapalestina wa huko nao pia wanauawa kila siku.

Tamko lao ni hili hapa chini.
Activists! Nihilists! Idiots! Walikuwa wait Hamaa walipovamia na kuu maharusi?
 
Fatah wanapambana na HAMAS now.

Wanazuoni wanasemaje hapo
 
Wasomi uchwara Wamaasai wa Ngorongoro wananyanyaswa wapo kimya.

Ukisikia ipunguani ndio huu,mambo ya waarabu yanatuhusu nini ?.
 
Huku wakisaini waraka, Wanazuoni nchini, ambao ni Wahadhiri nguli wamelaani Vikali Occupation ya Waisrael kwa Wapalestina iliyodumu kwa miaka zaidi ya 75, inatopelekea Ghasia zisizoisha huko Palestine.

Wanazuoni wanasema kuwa wameshtushwa na ukatili endelevu wa Israel kwa watu wa Palestine uliodumu miaka mingi sana Na wamesema kuwa Kamwe hawatonyamazishwa.

Wanazuoni hao bila ya kujali Dini zao, Kabila zao, Jinsia zao wote kwa pamoja wamejumuika katika ubinadamu na kusema kuwa Manyanyaso ya Kikaburu ya Waisrael yanapaswa kukoma.

NB: Mimi pia nawaunga mkono. Chanzo kikuu cha vurugu huko Palestine siyo HAMAS, maana HAMAS imeanzishwa miaka 30 tu iliyopita lakini kabla ya hapo Israel ilikuwa ikiwafanyia ukatatili Wapalestina, lakini pia tatizo la msingi siyo uwepo wa HAMAS, ndiyo maana hata kule West bank HAMAS haipo lakini wapalestina wa huko nao pia wanauawa kila siku.

Tamko lao ni hili hapa chini.
Sema tamko la wavaa Kobazi.
 
Hamas walipofanya shambulizi la kushtukiza na kuua waisraeli zaidi ya elfu moja na wengine kuchukuliwa mateka hao wanazuoni walikuwa usingizini? wasituletee uchawa hapa, Israel ina haki ya kulipa kisasi kufuatia raia wao kuuawa na magaidi. Hizo laana zao kwa Israel ziwarudie wao wenyewe na vizazi vyao wenyewe, wasimshirikishe kila mtu wala kuishinikiza nchi.​
Polisi wetu waliuwawa kibiti Hao wanazuoni walikuwa Wapi??? takataka tuu
 
Back
Top Bottom