Wasomi na Wanazuoni Tanzania watoa Tamko kali kulaani Ukoloni na Ukaburu mkongwe wa Israel kwa Wapalestina

Hao siyo wanazuoni.Waisraeli ni watu waungwana sana ila kwasasa wana taifa lenye nguvu sana na hawako tayari tena matukio ya kinyama kama holocost kujirudia.ukiwachezea wanakutwanga vilivyo.
Hao si wanazuoni
Kama ni wanazuoni basi wangelaani matukio ya kinyama ya Hamas
 
Huku wakisaini waraka, Wanazuoni nchini, ambao ni Wahadhiri nguli wamelaani Vikali Occupation ya Waisrael kwa Wapalestina iliyodumu kwa miaka zaidi ya 75, inatopelekea Ghasia zisizoisha huko Palestine.

Wanazuoni wanasema kuwa wameshtushwa na ukatili endelevu wa Israel kwa watu wa Palestine uliodumu miaka mingi sana Na wamesema kuwa Kamwe hawatonyamazishwa.

Wanazuoni hao bila ya kujali Dini zao, Kabila zao, Jinsia zao wote kwa pamoja wamejumuika katika ubinadamu na kusema kuwa Manyanyaso ya Kikaburu ya Waisrael yanapaswa kukoma.

Wapumbavu tu!

Badala ya kulaani vikali occupation ya ccm kwa watanzania iliyodumu kwa miaka zaidi ya 60, inayopelekea tabu zisizoisha hapa Tanzania, wapo busy na ya Israel na Palestina!

Badala ya kushtushwa na ukatili endelevu wa ccm kwa watu wa Tanzania uliodumu miaka mingi sana na waseme kuwa kamwe hawatonyamazishwa na policcm wala chombo kingine chochote cha dola, wala namna yoyote haramu, wao commitment yao wanaiweka kwa Palestina ambao hata hawatujui!

Badala kwa kutokujali dini zao, kabila zao, jinsia zao wote kwa pamoja wajumuike katika ubinadamu na kusema kuwa manyanyaso ya kikaburu ya ccm kwa wapinzani wao na watanzania kwa ujumla yanapaswa kukoma, wanaichimba mkwara mbuzi Israel! Yaani wanaishindwa ccm iliyo size yao, wanafikiria kuiweza Israel ambayo ni sawa na mtoto anayeutikisa mbuyu akitegemea utikisike, badala yake makalio yake ndo yanayotikisika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafahamu Israeli ilishaisadia Tanzania mambo kadhaa, lakini sina uhakika kama Tanzania ilishawahi kuisaidia Israeli kwa lolote. Sina uhakika kwa kweli!

1. Mwaka 1964 Israeli iliipa Tamzania msaada wa kuwatrain maofisa wake wa Jeshi!

2. Inasemekana, ni Wayahudi ndiyo walioijenga hospitali ya Bugando iliyopo jijini Mwanza. Nilisikia hivyo lakini sijathibitisha.

3. Inasemekana, Waisraeli walianzisha skimu ya umwagiliaji mkoani Mwanza lakini Nyerere alipowafukuza na hiyo miradi nayo ikajifia.

Hakuna sababu ya kuuvunja uhusiano na Israeli. Tusiwe wajinga kiasi hicho.

Tuwapataneshe kama tunaweza, lakini tusiununue ugomvi wao.
Hadi sasa Israeli wanasaidia Tanzania kufundisha vijana utaalamu wa kisasa kabisa wa kilimo..
 
Huku wakisaini waraka, Wanazuoni nchini, ambao ni Wahadhiri nguli wamelaani Vikali Occupation ya Waisrael kwa Wapalestina iliyodumu kwa miaka zaidi ya 75, inatopelekea Ghasia zisizoisha huko Palestine.

Wanazuoni wanasema kuwa wameshtushwa na ukatili endelevu wa Israel kwa watu wa Palestine uliodumu miaka mingi sana Na wamesema kuwa Kamwe hawatonyamazishwa.

Wanazuoni hao bila ya kujali Dini zao, Kabila zao, Jinsia zao wote kwa pamoja wamejumuika katika ubinadamu na kusema kuwa Manyanyaso ya Kikaburu ya Waisrael yanapaswa kukoma.

NB: Mimi pia nawaunga mkono. Chanzo kikuu cha vurugu huko Palestine siyo HAMAS, maana HAMAS imeanzishwa miaka 30 tu iliyopita lakini kabla ya hapo Israel ilikuwa ikiwafanyia ukatatili Wapalestina, lakini pia tatizo la msingi siyo uwepo wa HAMAS, ndiyo maana hata kule West bank HAMAS haipo lakini wapalestina wa huko nao pia wanauawa kila siku.

Tamko lao ni hili hapa chini.
Hao wanazuoni uchwara wamegubikwa na mihemko ya kidini na uchawa tu, hawana jipya.

Kuna matatizo lukuki Tanzania yanayosababishwa na watawala waovu, wanaogopa kuyasemea haya wanahangaika na mambo wasiyoyajua. Garbage!
 
Huku wakisaini waraka, Wanazuoni nchini, ambao ni Wahadhiri nguli wamelaani Vikali Occupation ya Waisrael kwa Wapalestina iliyodumu kwa miaka zaidi ya 75, inatopelekea Ghasia zisizoisha huko Palestine.

Wanazuoni wanasema kuwa wameshtushwa na ukatili endelevu wa Israel kwa watu wa Palestine uliodumu miaka mingi sana Na wamesema kuwa Kamwe hawatonyamazishwa.

Wanazuoni hao bila ya kujali Dini zao, Kabila zao, Jinsia zao wote kwa pamoja wamejumuika katika ubinadamu na kusema kuwa Manyanyaso ya Kikaburu ya Waisrael yanapaswa kukoma.

NB: Mimi pia nawaunga mkono. Chanzo kikuu cha vurugu huko Palestine siyo HAMAS, maana HAMAS imeanzishwa miaka 30 tu iliyopita lakini kabla ya hapo Israel ilikuwa ikiwafanyia ukatatili Wapalestina, lakini pia tatizo la msingi siyo uwepo wa HAMAS, ndiyo maana hata kule West bank HAMAS haipo lakini wapalestina wa huko nao pia wanauawa kila siku.

Tamko lao ni hili hapa chini.
Ungesema tu wanazuoni kutoka Muslim University of Morogoro acha kona kona
 
Ukiwauliza wanasema Israel ni Taifa Teule la Mungu,na HAMAS ni magaidi...

Those days back the ANC was named as a terrorist organization, Nelson Mandela was named as a Terrorist, simply because he was fighting for the rights of his citizens, Yasser Arafat was named as a terrorist as well plus his PLO a terrorist organization, before this attack of Hamas IDF imekuwa inaendelea na armed movements ya kuua wapelestine na kufanya illegal occupation katika ardhi Yao,hakuna aliejitokeza na kusema kwamba Palestinian have the rights to defend themselves,huo ni unafiki wa dunia hii.
 
Takataka Hao,, Bandari ilikuwa inabinafsishwa Wako kimya,,msumbiji magaidi yanaua Watu Wako kimyaaaa,, Nigeria Boko Haram wanatesa Watu Wako kimyaaaa..takataka kabisaaa
Sasa bandari SI mliwachukua wanaharakati wenzenu wilbroad na mwabukusi plus mdudee waliamshe kwani hamkutosheka na kazi Yao?
 
Wapumbavu tu!

Badala ya kulaani vikali occupation ya ccm kwa watanzania iliyodumu kwa miaka zaidi ya 60, inayopelekea tabu zisizoisha hapa Tanzania, wapo busy na ya Israel na Palestina!

Badala ya kushtushwa na ukatili endelevu wa ccm kwa watu wa Tanzania uliodumu miaka mingi sana na waseme kuwa kamwe hawatonyamazishwa na policcm wala chombo kingine chochote cha dola, wala namna yoyote haramu, wao commitment yao wanaiweka kwa Palestina ambao hata hawatujui!

Badala kwa kutokujali dini zao, kabila zao, jinsia zao wote kwa pamoja wajumuike katika ubinadamu na kusema kuwa manyanyaso ya kikaburu ya ccm kwa wapinzani wao na watanzania kwa ujumla yanapaswa kukoma, wanaichimba mkwara mbuzi Israel! Yaani wanaishindwa ccm iliyo size yao, wanafikiria kuiweza Israel ambayo ni sawa na mtoto anayeutikisa mbuyu akitegemea utikisike, badala yake makalio yake ndo yanayotikisika.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] nimecheka hapo kwenye makalio kutikisika ha ha ha ha !

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Hao siyo wanazuoni.Waisraeli ni watu waungwana sana ila kwasasa wana taifa lenye nguvu sana na hawako tayari tena matukio ya kinyama kama holocost kujirudia.ukiwachezea wanakutwanga vilivyo.
Hao si wanazuoni
Kama ni wanazuoni basi wangelaani matukio ya kinyama ya Hamas

Holocaust Hitler aliwafanyia hivyo Kwa kuamini kuwa wao ni alien species ambao ni hatari Kwa mustakabali wa Dunia,that's why aliamua kuwaangamiza kabisa wasiwepo duniani, I guess like he was right,even though ule unyama ulikua hauna kifani
 
Unamaanisha nini unaposema occupation?

Canan, ambayo inajumuisha Israel ya sasa na Palestina ya sasa, yote yalikuwa maeneo ya Wayahudi kabla ya uvamizi wa ufalme wa Babiloni. Baada ya uvamizi wa ufalme wa Babiloni, wayahudi walichukuliwa mateka na kupelekwa utumwani kwa miaka 70. Kisha walirudi kwenye ardhi yao. Baadaye Wayahudi wakasambaa Dunia nzima wakiyaacha maeneo yao bila ulinzi, wapalestina wakajimilikisha maeneo yote ya Wayahudi. Wayahudi waliporejea wakayachukua baadhi tu ya maeneo yaliyokuwa sehemu ya Canan, mengine wakayapoteza, ambayo yalichukuliwa na wapalestina na waarabu.

Kwa mazingira hayo, nani ame-occupy maeneo ya mwingine?

Upande wa wapalestina, kosa kubwa walilofanya, ni kuyapa nguvu makundi ya kigaidi ya Iran, kama Hamas na Hizbollah.
Unaleta story za stone age.

Ukileta habari hizo basi Wabantu inabidi warudi kwenye mapori ya Chad na Cameroon maana ndipo walipotoka.

Acha kuleta mambo ya zama za mawe za kale
 
shida ya huu mgogoro uliharibiwa na maslahi ya mataifa makubwa kutumia visingizio vya kibiblia ambavyo haviwezi kuwa facts au marejea katika kulitambua taifa la israel ambalo limetokana na mauaji ya kimbari miaka 75 iliyoopita.
ni muhimu kwa maazimio ya umoja wza mataifa ambayo marekani kwa kutmia kura yake ya turufu amekuwa akiyapinga kila mara yanapotaka kupitishwa.
 
Huku wakisaini waraka, Wanazuoni nchini, ambao ni Wahadhiri nguli wamelaani Vikali Occupation ya Waisrael kwa Wapalestina iliyodumu kwa miaka zaidi ya 75, inatopelekea Ghasia zisizoisha huko Palestine.

Wanazuoni wanasema kuwa wameshtushwa na ukatili endelevu wa Israel kwa watu wa Palestine uliodumu miaka mingi sana Na wamesema kuwa Kamwe hawatonyamazishwa.

Wanazuoni hao bila ya kujali Dini zao, Kabila zao, Jinsia zao wote kwa pamoja wamejumuika katika ubinadamu na kusema kuwa Manyanyaso ya Kikaburu ya Waisrael yanapaswa kukoma.

NB: Mimi pia nawaunga mkono. Chanzo kikuu cha vurugu huko Palestine siyo HAMAS, maana HAMAS imeanzishwa miaka 30 tu iliyopita lakini kabla ya hapo Israel ilikuwa ikiwafanyia ukatatili Wapalestina, lakini pia tatizo la msingi siyo uwepo wa HAMAS, ndiyo maana hata kule West bank HAMAS haipo lakini wapalestina wa huko nao pia wanauawa kila siku.

Tamko lao ni hili hapa chini.
naunga mkono tamko la wanazuoni mia kwa mia
 
Back
Top Bottom