Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Blaa blaaa hujui hata maana ya graduatewahitimu na waliopo vyuoni wote wanamatatizo
Cheki utetezi😂😂😂 mwambie unajua kutumia simu basi hayo mengine hayakuhusuKujua computer ni muhimu ili kuendana na ulimwengu, lakini kutokujua sio dhambi. Mama alinunua tv mwaka 2000 ila mpaka sasa hajui kuunganisha nyaya.. Experience ndio hufanya MTU kujua vitu.. Sawa kama hajawahi kuwa na hiyo computer atajulia wapi ivyo vitu? Labda kama anasoma computer..
Lugha unayotumia wewe na nani' unaongelea kitu hijui hata jina lakenaona ni aina ya lugha tunazo tumia ni touch ya laptop kwa lugha nyepesi
kaka tuwaombeee cv sikuizi wanaandaliwaNa swala la kuandika CV wengi linawashinda.
Wengine hata emails hawezi kutuma
huu mtindo wa kuwatukana graduate ambao ni jobless unaota mizizi nowadays hizi social media zimekuwa ni viwanja vya kuwa bulling haiwezekani kila mtu akijisikia tu anawashukia km mwewe..Habarini wana JF,
Nipo kazini katika office mojawapo hapa duniani.
Bhasi hivi karibuni wamekuja watoto wa field katika vyuo fulani vikubwa sana hapa Tanzania.
Vijana ni warembo na watanashati. Basi katika kuwaweka katika vitengo husika ili wajifunze utendaji, niliogopa vijana wa degree wanashindwa kuwasha computer, graduate hajui kutumia mouse ya computer au soft touch ya laptop.
Graduate hajue MS Word, Excel vitu ambavyo ni rare na ni common kujua
Graduate awezi ku-type kitu na ku-save vizuri.
Hali ni mbaya sana na sasa hivi interview kama za mabenki huwa mnafanya online kwa muda maalumu then una submit matokeo unapata. Hapo hapo je mtawezana na technolojia?
Naomba tuimbe wimbo wa taifa ubeti wa kwanza.
kuwa uyaonee sijatukana graduate mkuu tena nawapongeza na nawapenda sana kwani ata mimi nilikuwa graduatehuu mtindo wa kuwatukana graduate ambao ni jobless unaota mizizi nowadays hizi social media zimekuwa ni viwanja vya kuwa bulling haiwezekani kila mtu akijisikia tu anawashukia km mwewe..
hii sio nzuri kwa afya ya akili ya graduate na wale wa chini yao kama taifa hasa viongozi kemeeni hii tabia na sio nyie ndo kuwa wa kwanza kuwazomea vijana badala ya kuwaelekeza taratibu taratibu...
hivi mtu asome miaka zaidi ya 17 from standard 1 to university then awe mjinga mjinga hapana sio kweli..
hili taifa ni letu sote.
Acha awatetee ila ninacho amini hajakitana nao hao wa aina unayosema wewe ila siku akiwakitana ata amini unayo yasema amini usiami wahitimu wetu Wana katisha tamaakuwa uyaonee sijatukana graduate mkuu tena nawapongeza na nawapenda sana kwani ata mimi nilikuwa graduate
ila kuna baadhi ya graduate wamebweteka sana na hawapendi kujua vitu ambavyo kwao ni lazima wavijue
sasa kama umeitimu degree alafu kuanda CV hujui tunasemaje apo mkuu au unawatetea uku unajichumia dhambi
asemae ukweli huokoa wengi
muelekeza sasa ili siku nyingine ajue sio kumsimanga..kuwa uyaonee sijatukana graduate mkuu tena nawapongeza na nawapenda sana kwani ata mimi nilikuwa graduate
ila kuna baadhi ya graduate wamebweteka sana na hawapendi kujua vitu ambavyo kwao ni lazima wavijue
sasa kama umeitimu degree alafu kuanda CV hujui tunasemaje apo mkuu au unawatetea uku unajichumia dhambi
asemae ukweli huokoa wengi
Typing error hizo mkuu hata document inayotoka kwa mkuru unakuwa nazoinaonekana na wewe ni graduate naona uwandishi wako[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
MOUTH ya compuNter.Pamoja na kumiliki computer kwa zaidi ya miaka 10, mpaka leo hii sijui kutumia mouth ya compunter.
Naked Truth,mleta mada Katia chumvi kabisahuu mtindo wa kuwatukana graduate ambao ni jobless unaota mizizi nowadays hizi social media zimekuwa ni viwanja vya kuwa bulling haiwezekani kila mtu akijisikia tu anawashukia km mwewe..
hii sio nzuri kwa afya ya akili ya graduate na wale wa chini yao kama taifa hasa viongozi kemeeni hii tabia na sio nyie ndo kuwa wa kwanza kuwazomea vijana badala ya kuwaelekeza taratibu taratibu...
hivi mtu asome miaka zaidi ya 17 from standard 1 to university then awe mjinga mjinga hapana sio kweli..
hili taifa ni letu sote.