Wasomi wa karne hii ni vilaza, wanabebwa na vyeti vya chabo kuliko taaluma halisia

Wasomi wa karne hii ni vilaza, wanabebwa na vyeti vya chabo kuliko taaluma halisia

god bless you asikufungue rohoni tu bali machoni na kichwani pia
Nishafunguka zamani ndio maana sipendi kulaumu wengine kwa kutokujua maana maisha ni kujifunza na kusoma daily
 
Wewe una uzamani sana CV aindaliwi bali ina editiwa kama uliwai kukaa chini na kuandaa CV from scratch wewe ni Zinjastropus huwezi kuwa Modern man na nina mashaka kama unajua Computer
kama umeshafikia umri wa kuolewa olewa utazeekea nyumbani
 
Na atakuwa kaishia la Saba au form four failure's ambao huwa vinara wa kuponda wasomi, yeye ku feli na ukilaza wake atakimbilia kuponda wengine waliofaulu, hajui kila mtu alijifunza kutoka kwa wengine. Hafu kumbe ni jobless
Nijobless mkuu ,mouse yenyewe kashindwa kuandika ameedit.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba ufute kauli yako ya kuwajumlisha wote kwa sababu zifuatazo:

Huenda labda chuo hicho hawana kozi ya IT

Wengine pia unakuta hana hata uwezo wa kumiliki PC kwa sababu mbalimbali za kiuchumi. Mtu kama huyu akiwa na assignment anatypia simu au anapeleka stationary.

Au unakuta wengine hawana intetest kabisa na mambo ya kutumia copmuter....nia ndo inapelekea mtu kujua kitu.
 
we chenga kabisa computer vyuoni kunasomo maalumu kwa cozi zote labda wewe unatatizo mkuu
 
Habarini wana JF,

Nipo kazini katika office mojawapo hapa duniani.

Bhasi hivi karibuni wamekuja watoto wa field katika vyuo fulani vikubwa sana hapa Tanzania.

Vijana ni warembo na watanashati. Basi katika kuwaweka katika vitengo husika ili wajifunze utendaji, niliogopa vijana wa degree wanashindwa kuwasha computer, graduate hajui kutumia mouse ya computer au mouse ya laptop.

Graduate hajue MS Word, Excel vitu ambavyo ni rare na ni common kujua

Graduate awezi ku-type kitu na ku-save vizuri.

kuanda tu CV au kutuma application online ni kazi sana

Hali ni mbaya sana na sasa hivi interview kama za mabenki huwa mnafanya online kwa muda maalumu then una submit matokeo unapata. Hapo hapo je mtawezana na technolojia?

Naomba tuimbe wimbo wa taifa ubeti wa kwanza.

Ila simu janja wanajua kupost na kucomment
 
we chenga kabisa computer vyuoni kunasomo maalumu kwa cozi zote labda wewe unatatizo mkuu
Yaani kuna somo maalumu kwa Course zote' yaani unamaanisha Program kama za Education zinakuwa na Course kama 7 kila semester kwahiyo katika kila Course humo kuna somo la Computer huu mbona upupu umefika chuo kweli wewe
 
Chuo gani ambacho mwanafunzi aki graduate ndio anaenda Field ame-Graduate vipi na ajatimiza Course ya Field ??

Jibu swali tafadhari
Usitafute sababu. Kubaliana na ukweli. Graduates wengi ni below standard. Halafu wanapenda maisha class ya juu kwa muda mfupi. Lobbing ya vyeo bila hata ya kuwa na uzoefu.
I swear, kesi za uhujumu uchumi hazitakuja kukoma. Qualified personnel wengi wanaamua kustaafu. Hawataki matatizo
 
huu mtindo wa kuwatukana graduate ambao ni jobless unaota mizizi nowadays hizi social media zimekuwa ni viwanja vya kuwa bulling haiwezekani kila mtu akijisikia tu anawashukia km mwewe..

hii sio nzuri kwa afya ya akili ya graduate na wale wa chini yao kama taifa hasa viongozi kemeeni hii tabia na sio nyie ndo kuwa wa kwanza kuwazomea vijana badala ya kuwaelekeza taratibu taratibu...

hivi mtu asome miaka zaidi ya 17 from standard 1 to university then awe mjinga mjinga hapana sio kweli..

hili taifa ni letu sote.
Watu wa kwanza kulaumiwa wawe PCCB, maana ndio waliokuja na ripoti ya "rushwa ya ngono vyuoni''. What is the aftermath?
 
Habarini wana JF,

Nipo kazini katika office mojawapo hapa duniani.

Bhasi hivi karibuni wamekuja watoto wa field katika vyuo fulani vikubwa sana hapa Tanzania.

Vijana ni warembo na watanashati. Basi katika kuwaweka katika vitengo husika ili wajifunze utendaji, niliogopa vijana wa degree wanashindwa kuwasha computer, graduate hajui kutumia mouse ya computer au mouse ya laptop.

Graduate hajue MS Word, Excel vitu ambavyo ni rare na ni common kujua

Graduate awezi ku-type kitu na ku-save vizuri.

kuanda tu CV au kutuma application online ni kazi sana

Hali ni mbaya sana na sasa hivi interview kama za mabenki huwa mnafanya online kwa muda maalumu then una submit matokeo unapata. Hapo hapo je mtawezana na technolojia?

Naomba tuimbe wimbo wa taifa ubeti wa kwanza.
Shida inawezakua ni matumizi mabaya ya computer, unakuta mtu ana laptop badala ya kujifunza zile programmes za kumsaidia ofisini anacheza gamea, anangalia movie, anatumia sana mitandao ya kijamii kwa mambo ambayo hayana tija na maswala ya masomo.
 
Back
Top Bottom