Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 20,654
- 35,887
Wazee wangu wa Kariakoo siwaoni labda walikuwa wakicheza bao na kutafuna kashata.Hao ndio walikuwa Wasomi Nchi hii kipindi tunapata Uhuru.
Wazee wa Pwani naona Ngoma ziliwanogea hamna hata mmoja.
View attachment 3169745
Aione Mohamed Said kwa ufafanuzi zaidi.