Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Watu wa Pwani walikuwa Waganga na Wacheza ngoma
Wachagga tumechafua karatasi hatuna dogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachagga tumechafua karatasi hatuna dogo.
Babu yangu mwanzilishi wa nyumba zote za kariakoo ndiye aliyewafundisha hao wachagga kuvaa kaptula za shuleKitambo sana. Wachaga hawana shughuli mbovu linapokuja swala la academic
Mohamed Said njoo ujibu hukuKuna yule mzee kila siku anasema Nyerere aliwanyima elimu watu wa dini yake anaikua hii list? Maana hapa ni Nyerere hajashika madaraka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
..wengi walioandikwa humo walikuwa watumishi wa wazalendo wa kwanza katika serikali baada ya kupata uhuru.N
diyo ushenzi ninaouchukia eti mtu ana master hiyo master imeleta impact ipi kwenye nchi hii? Hauwezi kumkuta mchina au mjapani anahangaika na hizi elimu uchwara but they are far away from us ambao kutwa kujisifia na vielimu uchwara vya kwenye makaratasi
MohamedsaidHao ndio walikuwa Wasomi Nchi hii kipindi tunapata Uhuru.
Wazee wa Pwani naona Ngoma ziliwanogea hamna hata mmoja.
View attachment 3169745