Wasomi wa Tanganyika enzi za Uhuru 1961

Wasomi wa Tanganyika enzi za Uhuru 1961

Hao hamna chochote walichofanya na usomi wao wa makaratasi yaani for 63 year bado tunategemea misaada na mikopo halafu your are proud kwamba kuna watu walikuwa wasomi je usomi wao ulikuwa kwenye nini?
 
N
Wengi walikuwa mizinguo, uzungu mwingi.
diyo ushenzi ninaouchukia eti mtu ana master hiyo master imeleta impact ipi kwenye nchi hii? Hauwezi kumkuta mchina au mjapani anahangaika na hizi elimu uchwara but they are far away from us ambao kutwa kujisifia na vielimu uchwara vya kwenye makaratasi
 
Kuna yule mzee kila siku anasema Nyerere aliwanyima elimu watu wa dini yake anaikua hii list? Maana hapa ni Nyerere hajashika madaraka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Swali la msingi sana
 
Kwamba Nyerere hajaisaidia kitu hii Nchi?
Wewe una Elimu? Je umeisaidia nini Nchi mpaka saivi? Basi sio Nchi umesaidia nn Familia yako tu?
 
Una
Kwamba Nyerere hajaisaidia kitu hii Nchi?
Wewe una Elimu? Je umeisaidia nini Nchi mpaka saivi? Basi sio Nchi umesaidia nn Familia yako tu?
Kwamba mambo ambayo nimesaidia familia yangu nikuambie wewe? Wewe ni Nani? Miaka 63 tunategemea misaada halafu unakuja kujinasibu kwamba eti wenye elimu! Shit hole
 
Una
Kwamba mambo ambayo nimesaidia familia yangu nikuambie wewe? Wewe ni Nani? Miaka 63 tunategemea misaada halafu unakuja kujinasibu kwamba eti wenye elimu! Shit hole
Huna unaloweza wewe. Maisha yako yanakushinda usitake kusingizia yamesababishwa na wengine pambana utoke hapo kwa Mume wa Dada yako.
 
Tanzanians are overly obsessed with history. Disporportionately so.

And to make it worse, the obsession is often trivial, non intentional, non strategic.

The world is marching into the era if Artificial Intelligence, crypto currency, quantum computing, and all you care about is Wachagga wasomi walikuwa wangapi wakati wa uhuru?

I understand history is important, I love history myself, but why the trivial obsession?
 
Kuna yule mzee kila siku anasema Nyerere aliwanyima elimu watu wa dini yake anaikua hii list? Maana hapa ni Nyerere hajashika madaraka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Waisiharamu ni wapumbavu sikuzote milele daima hawana logic vichwani
 
Ukitaka kujua sababu kwa nini Wachagga walitangulia wengine kwenye elimu soma hivi vitabu. Vinapatikana kwenye app ya Maktaba Sauti. Ipo playstore.
Asili_na_habari_png_1_cropped.png
Desturi za wachagga cover.png
Kivais cover.jpg
zamani_cover_with_bgc.png
 
Back
Top Bottom