Wazee wangu wa Kariakoo siwaoni labda walikuwa wakicheza bao na kutafuna kashata.Hao ndio walikuwa Wasomi Nchi hii kipindi tunapata Uhuru.
Wazee wa Pwani naona Ngoma ziliwanogea hamna hata mmoja.
View attachment 3169745
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Hao ndio walikuwa Wasomi Nchi hii kipindi tunapata Uhuru.
Wazee wa Pwani naona Ngoma ziliwanogea hamna hata mmoja.
View attachment 3169745
Hii orodha ni ya wanywa mbege wakiwa wamekalia mawe! Haina uhalisiaHao ndio walikuwa Wasomi Nchi hii kipindi tunapata Uhuru.
Wazee wa Pwani naona Ngoma ziliwanogea hamna hata mmoja.
View attachment 3169745
Wacheza bao si waliona Elimu haina maana banaHii orodha ni ya wanywa mbege wakiwa wamekalia mawe! Haina uhalisia
Halafu tumeuchuna tu🤣🤣Wachagga tumechafua karatasi hatuna dogo.
🤣🤣 huwa show zetu ni za kimya kimya kama hatupo vileHii orodha ni ya wanywa mbege wakiwa wamekalia mawe! Haina uhalisia
Wachagga tumechafua karatasi hatuna do
kuna namna alikuwa na bifu la kichinichini.Alafu kwenye serikali yake hawakuwepo...kumbe vichwa vilikuwepo kibao tu
Hakuwa na bifu nao. Duniani kote jamii inayoleta majivuno huwa inatengwa kuepusha fujo, mfano mzuri Wayahudi kila kona duniani huwa inapita generation wanachukiwa.kuna namna alikuwa na bifu la kichinichini.
Story haikuishia hapo kina Mangi wote walirudi kufungua maduka.Wachagga tumechafua karatasi hatuna dogo.
Huyo alikuwa Tuntemeke Sanga.Kuna yule mwamba alikuwa na digrii 29 (6 doctorates!) hadi Juliasi akahamisha ofisi yake kwenda London. Nani yule?
INa maana hujui hata historia ya nchi yako hujui wakoloni walikuwa wanatawala vipi?Kuna yule mzee kila siku anasema Nyerere aliwanyima elimu watu wa dini yake anaikua hii list? Maana hapa ni Nyerere hajashika madaraka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hii ndio chuki yenyewe uliyoandika apa.Hakuwa na bifu nao. Duniani kote jamii inayoleta majivuno huwa inatengwa kuepusha fujo, mfano mzuri Wayahudi kila kona duniani huwa inapita generation wanachukiwa.
Anzia mwanzo wa uzi uone Wachaga wanavyojiona, hio ndio sababu utasema wanachukiwa. Jamii inayojivuna ukiipa madaraka inaleta machafuko nchi yeyote maana inajiona inaweza kila kitu peke yake na ndio ina akili sana wengine vilaza, na inabagua wengine. Unatakiwa uwe na watu kama Wakinga au Wabena huwezi sikia wanajivuna wala kuwaona wengine mbwa.
Hana hojaKuna yule mzee kila siku anasema Nyerere aliwanyima elimu watu wa dini yake anaikua hii list? Maana hapa ni Nyerere hajashika madaraka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Bwashe hii sio kamba kweli?Kuna yule mwamba alikuwa na digrii 29 (6 doctorates!) hadi Juliasi akahamisha ofisi yake kwenda London. Nani yule?
Hapa nilipo nadai Wachaga wengina nimesaidia Wachaga na nimesaidiwa nao pia.Hii ndio chuki yenyewe uliyoandika apa.
Ila sikushangai maisha ndivo yalivo maana Binadamu tuna wivu sana hasa wa kijinga.
Enzi nasoma Udsm na hadi leo Vyuo vingine vyote vilikuwa vinasema Udsm hamna Elimu ya maana wanakaririshwa tu lkn yote ni sababu pale ndio waliofaulu vizuri ndio walikuwa wanachaguliwa.
Huo n Mfano tu.
Naamini hata wewe una chuki na wachaga lakini ukiangalia hamna baya waliokufanyia labda ww ndio una mabaya mengi uliowafanyia.
Na Mwaisela yuko wapi hadi wodi Muhimbili ikaitwa jina lake!?Go do your research and you'll find out who Kyaruzi was. By the way, lots of colonial educated elites like Eli Anangisye Mwalulesya the founding father of SIDO, and Chief Kidaha who was educated at Oxford University are not on the list.
And others are:
Dr. Michael Lugazia
Dr. Wilbard Mwanjisi
Dr. Luciano Tsere
Dr. Joseph Mutahangarwa
Mr. Hamza Mwapachu.
Chief Abdallah Fundikira
Sasa hao wasomi wamefanya nini kwa nchi hii? Zaidi walikuwa machawa wa waingereza tu hamna cha maana wamefanya kwenye hii! Takataka haoHao ndio walikuwa Wasomi Nchi hii kipindi tunapata Uhuru.
Wazee wa Pwani naona Ngoma ziliwanogea hamna hata mmoja.
View attachment 3169745